Dena Amsi na Mr Rocky

Dena Amsi na Mr Rocky

At malaika beach resort...... Slave and Evelyn Salt

images

ila mmh..! Mbona kama kiroho kinaniuma... Kah!!!! Ila kaniambia amekuja kukupa taraka
 
Last edited by a moderator:
Mamndenyi sijui atakua katika hali gani muda huu. Nadhani ni muda muafaka na yeye kunitafuta ili tuweze kuwa pamoja kwa kipindi chote kilichobaki. Mamndenyi mlango upo wazi, hayatatokea yaliyotokea kati yako na Mr Rocky.

I waiting for you my dear.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Baba V
Napenda kuchukua nafasi hii kukujulisha kuwa baada ya majadiliano ya muda mrefu na kupitia file la kila mmoja baina yangu na Dena Amsi na kupitia kifungu kwa kifungu na mabishano na majadiliano ya muda mrefu tukiwa strong room, hatimaye muafaka umefikiwa
Ndoa hii imerudi kama zamani na kwa taarifa ya wana CC wote Mr Rocky na Dena Amsi wamerudiana rasmi na ndoa hii naamini kwa sasa itakuwa imara kuliko ndoa zote za CC
Tumefikia maelewano haya baada ya kujadiliana na kuonekana kuwa wote tulikuwa tunahangaika na ndo maana tumeamua kuzika tofauti zetu na kuamua kuwa kitu kimoja
Kwa taarifa hii ndoa ya mashaka iliyokuwepo kati yangu na Mamndenyi imevunjika rasmi na Mamndenyi yuko huru kwenda kwa mtu yoyote anayemtaka
Taarifa hii iende kwa Erickb52, Bishanga, watu8, Blaki Womani, Preta, binamu zangu Passion Lady, Paloma, Madame B charming lady , mwalimu wangu gfsonwin, snowhite, sweetlady, kaka yangu SnowBall na HorsePower, AshaDii, Filipo, marejesho, stevoh, manoah, Slave, Mamndenyi, na wadau wote wa CC
Dena Amsi karibu sana kwenye himaya ya Mr Rocky

Kwa kweli nimepokea kwa masikitoko hii taarifa... Mr Rocky hebu fikiria mara mbili mbili!!!
 
Last edited by a moderator:
Bwana shem naona umekaa kimya kama vile hujui alichonitenda Asnam nikiwa jela, kama ameweza kuutendea hivi mti mbichi itakuaje kwa mti mkavu....!????

Amekutenda nini mdogo wangu??? Si haba utakuwa umemuanza...halahala, usinifanye nifunge safari kutoka uku M23 nije bongo #beWARNED
 
Back
Top Bottom