Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,643
mh!!mabwaku haya
tudumu PL na Ruttashobolwa
maana naona huku ni mtifuano tu khaaaa binamu?!!!
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mh!!mabwaku haya
tudumu PL na Ruttashobolwa
maana naona huku ni mtifuano tu khaaaa binamu?!!!
mh!!mabwaku haya
tudumu PL na Ruttashobolwa
maana naona huku ni mtifuano tu khaaaa binamu?!!!
Passion Lady binamu mbona hata pongezi hunipi aise si ulikuwa unasubiri taarifa kutoka strong room ndio hii bana
mh!!mabwaku haya
tudumu PL na Ruttashobolwa
maana naona huku ni mtifuano tu khaaaa binamu?!!!
Evelyn salt hana mpenz!!!!!
Dena Amsi kwa sasa hataki sharing kabisa anataka abaki mwenyewe ndo maana inakuwa ngumu hapo
Mkuu wangu kaka yangu Judgment nimeseek ushauri kwa washauri wengi tuu kabla ya kuchukua maamuzi ndo maana wakati anaondoka Dena Amsi alipokea talaka moja tuu maana anaweza rejea muda wowote ndo maana mkuu wanguSwaiba !
Mr rocky sio kama umekurupuka? Nway kichwa ya mtu serikali ya mtu!
Btw si ungetutaka ushauri swaiba zako bifoo hujavunja privias kopo?
Au umekua "advicesable proof ?"
........bila shaka hii ni copy maalum tu hauna maana mbaya!!!!