Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 43,242
- 60,939
sweetlady kweli Mamndenyi nimekuachieni mtu wenu bhana
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sweetlady maaamuzi mazuri sana hayo
Nawatakia mazungumzo mema na nia yenu ikapate kufanikiwa
Hapo unashahili hongera sana maana ulikoenda kwa Nicas Mtei sharobaeo yule hakuna la maana bora urudi tuu nyumbani kwa nitonye
Ile kofia ya Ufalme umemkabidhi nani?
unaona eeeh
Nimeona dear..... Ndio ujue kuwa mume wa mtu ni sumu lol.... Mimi pia nawachora tu wanaomkodolea mijicho nitonye......siku wakisikia tumerudiana sijui wataweka wapi nyuso zao..... Wamesahau kuwa mke na mume huwa hawaachani teh