Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,028
nasikia wewe ni baunsa...... Naomba uwe bodigadi wangu basi
Hako ka kaskazini ni pasua kichwa, kakikufunua sketi maramoja tu kanatoka nduki, ndo maana walikapa jina la yule mfalme wa swaziland..
Mr Rocky wakati mna maugomvi yenu kutwa kucha kunikosesha usingizi kwa mashtaka, leo mmepatana hata karibu ya soda hamna!! Msije tena siku nyingine lolNawatakia kila la kheri.... na mkome kusikiza maneno ya watu...................
Mr Rocky una akili sana wewe!
copy: Mamndenyi nilikukanya uachane na ma handosome hukusikia,haya sasa yamekukuta na kwangu huwezi rudi maana siku hizi mi naruka na viji chicken spring,ya nini bwana kujitesa na hela nnayo.
copy: amu, Zion Daughter na Arabela ........jioni tukutane Ambrosia mkiweza njooni na kibibi Kongosho kisadie kulinda magari tutakuwa tunakitupia vipande vya kuku.
Bishanga najua wewe ni sitaki nataka na bado unamtaka Mamndenyi sema tuu tumwambie arudi maana alikuwa nyota yako bila yeye hela hupati
Slave na Lady doctor nini kinaendelea na huyo manoah na vipi ndoa yako na Evelyn Salt ndo iko icu au
Bishanga najua wewe ni sitaki nataka na bado unamtaka Mamndenyi sema tuu tumwambie arudi maana alikuwa nyota yako bila yeye hela hupati
Slave na Lady doctor nini kinaendelea na huyo manoah na vipi ndoa yako na Evelyn Salt ndo iko icu au
Hakyanani sasa Mamndenyi mnataka kumfanya kibaiskeli sasa, yaani mnapokezana kijiti kama hamna akili nzuri, pale mahali patabaki mahali kweli...!?
Kabla hajaja kwako alikuwa kwa Vin Diesel, yaani majangaBaba V hahahahah nimecheka hpa ila si alikuwa kwa Bishanga kabla hajaja kwangu na anarudi kwake
Vin Diesel yalimshinda na Arushaone pia
Matatizo gani Evelyn Salt ?hapana, nna matatizo nataka unisaidie
hahahaa.... Na kametishika kweli....! Ila ndugu yangu unavyomuona Slave atanifaa? Maana nimeng'ang'aniwa na Chimbuvu nafanya mpango wa kujinasua then kuna kakijana cha kuleee kaskazini nakenyewe nahisi kukapenda ila kanavuta bangi mbayaaa, na sometime kanajifanya kalokole then kunanjemba moja kila kukicha yeye na mastres, stress na yeye, na yeye anataka kuniwowa.... Nashindwa nichague wapi mwenzio!!
Shikamoo mume mwenza
Kabla hajaja kwako alikuwa kwa Vin Diesel, yaani majanga