Dena Amsi na Mr Rocky

Dena Amsi na Mr Rocky

Mr Rocky wakati mna maugomvi yenu kutwa kucha kunikosesha usingizi kwa mashtaka, leo mmepatana hata karibu ya soda hamna!! Msije tena siku nyingine lolNawatakia kila la kheri.... na mkome kusikiza maneno ya watu...................

MwanajamiiOne subiri kwanza tunakumbikia ya mua kidogo halafu tutawakaribisha soda ila siwezi kukusahau bana we ni wa muhimu sana
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky una akili sana wewe!
copy: Mamndenyi nilikukanya uachane na ma handosome hukusikia,haya sasa yamekukuta na kwangu huwezi rudi maana siku hizi mi naruka na viji chicken spring,ya nini bwana kujitesa na hela nnayo.
copy: amu, Zion Daughter na Arabela ........jioni tukutane Ambrosia mkiweza njooni na kibibi Kongosho kisadie kulinda magari tutakuwa tunakitupia vipande vya kuku.

Bishanga najua wewe ni sitaki nataka na bado unamtaka Mamndenyi sema tuu tumwambie arudi maana alikuwa nyota yako bila yeye hela hupati
Slave na Lady doctor nini kinaendelea na huyo manoah na vipi ndoa yako na Evelyn Salt ndo iko icu au
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
hahahaa.... Na kametishika kweli....! Ila ndugu yangu unavyomuona Slave atanifaa? Maana nimeng'ang'aniwa na Chimbuvu nafanya mpango wa kujinasua then kuna kakijana cha kuleee kaskazini nakenyewe nahisi kukapenda ila kanavuta bangi mbayaaa, na sometime kanajifanya kalokole then kunanjemba moja kila kukicha yeye na mastres, stress na yeye, na yeye anataka kuniwowa.... Nashindwa nichague wapi mwenzio!!

chagua mwenye hela kushinda wengine
ila hako kavuta bangi achana nako usijetolewa
meno ya subuleni bure,kucheka kwako iwe adhabu!!
 
Back
Top Bottom