Dena Amsi na Mr Rocky



Kuna dalili zote kwamba ujio wangu huu utaniletea neema za kutosha....Haleluyaaaa.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Naona kupotea kwangu kunafanya wageni wote waliokuja kugeuka wenyeji na sasa ndio wananikaribisha nyumbani kwangu....hatari sana..
Chuga nitakuja mkuu....lazima nitoe taarifa
 
Ndo hapo sasa Vin Diesel wewe hapa ni mgeni so angalia na tembea kwa step usije jikwaaa aise
 
Last edited by a moderator:
Katavi umesahau kuwa huyu jamaa ni king mswati wa chit chat yeye haulizwi ni wangapi ila anasubiri muda wake wa kuongeza mpya
Kumbe Arushaone ndio zake maana kila anayetajwa lazima apige mkwara kuwa ni wake na ana mpango naye. Nashangaa sijui kwa nini sisi tunaomgombea Mamndenyi hatupigwi mkwara...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…