Dena Amsi na Mr Rocky

watu8 kupenda na kupendwa raha mbaya mkuu yaani wacha tuu hapa nimerudi nyumbani

mkuu mbona hukunishirikisha kama mjumbe wa amani? mi nahisi umemrubuni kwa mbumba si kwa ridhaa yake ndio maana ilienda kuongelea strong room, ngoja aje hapa adhibitishe usimfinyie macho.

Dena Amsi kauli yako muhimu sana asije kuwa anakusema sema menyewe tusikie umekubali mitala?
 
Arushaone kweli asili haachi asili yake
Nilijua mtaji wako ndo umeishia pale kumbe ilikuwa ni kasehem tuu ka mtaji wa biashara
Komaa bana urudishe mtaji uliopotea
Lady doctor usimsikilize huyu Arushaone king mswati wa chit chat atakupoteza anao wengi kama wale nyumbu wa serengeti akiacha leo kesho ana kifaa kipya mkubali tuu ndugu yangu Vin Diesel ambye yuko single na ametulia sana na ana mshiko wa haja
Jiwe Linaloishi hebu pitia piti humu utaona majibu ya Dena Amsi my wife wngu aise
Arushaone kwani nimemsema nini huyo mkeo mtarajiwa Mamndenyi maana unamtetea kama vile amekuteua kuwa msemaji wake
 
Last edited by a moderator:

Haujiamini kumbe. Nilikusihi toa huu uzi lakini ukaamua kutimiza mapenzi ya upande mmoja. Usipoangalia utakukosti.
 
Last edited by a moderator:
Haujiamini kumbe. Nilikusihi toa huu uzi lakini ukaamua kutimiza mapenzi ya upande mmoja. Usipoangalia utakukosti.

Mbona unanitishia maisha aise maana naona vitisho vingi sana wakati hii ni chit chat nothing for real na kinachoongelewa hapa hakina uhusiano na maisha ya kawaida Mamndenyi
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…