Dena Amsi na Mr Rocky

Dena Amsi na Mr Rocky

Last edited by a moderator:
Too late Mr Rocky namwanzishia Erickb52 alizoea kutongoza sasa anajibebea mke kiulaini kama kuku vile Erickb52 usilale lale lale Erickb52 usilale bado mapambano mi nitakuwa campaign manager wako nitamwagia Lady doctor swaga za kichina hadi atakutaka tu na asipokutaka utampakata utampa maji kwenye kata atatakata atakutaka!

we The secretary huyo Erickb52 kinyang'anyiro hakimuhusu.... Ye sitayari anawake me nataka single boys tu!!
 
Last edited by a moderator:
Arushaone acha kabisa kumsema kaka yangu
Sio domo zege bana anajua sana mitongozo yote hapa si unajua katoka buzwagi sasa hata kiswahili chake kimeharibika ndo maana
Arushaone anataka kunichafua kisiasa...hajui wewe ni ndugu yangu na wanifahamu vyema....
 
Last edited by a moderator:
Mie natangaza ndoa na naomba ridhaa yako taarifa zimfikie mwenyekiti....

nimeshasema alioko tayari na atangaze ila vigezo na masharti vizingatiwe otherwise sitoona hatari kuvunja ndoa kama havijazingatiwa
 
nimeshasema alioko tayari na atangaze ila vigezo na masharti vizingatiwe otherwise sitoona hatari kuvunja ndoa kama havijazingatiwa

Nimetoa tangazo dogo la kuweka nia....acha nijipange na Mr Rocky pamoja na kamati ya ufundi namna ya kutimiza azma hii.....
 
Last edited by a moderator:
Too late Mr Rocky namwanzishia Erickb52 alizoea kutongoza sasa anajibebea mke kiulaini kama kuku vile Erickb52 usilale lale lale Erickb52 usilale bado mapambano mi nitakuwa campaign manager wako nitamwagia Lady doctor swaga za kichina hadi atakutaka tu na asipokutaka utampakata utampa maji kwenye kata atatakata atakutaka!

Yaani katika watu wote The secretary umemuona Erickb52 anamfaaa Lady doctor
Yule ni mwenyekiti wa chama cha penda penda na ana wake kama wanne niwajuao kuna Kipipi kuna Chocs kuna Arabela kuna @yhhna sasa hapo unataka mtoto mzuri kama Lady doctor aende kwa huyo jamaa
Kaka yangu Vin Diesel ndo anamfaa huyu mrembo Lady doctor bana
Vin Diesel achana na bab v bana wewe fanya makeke chukua mtoto mzuri huyo mpaka Baba V aje ashtuke ndoa ishafungwa bomani
Lady doctor kaka huyo anakuja kwako na full power za kuwa mume bora bana mfanye awasahau masharobaro akina Arushaone na Slave
 
Last edited by a moderator:
Baba V nikimuanzishia sredi mie atanijia juu....ana visa na mie utadhani nilimchukulia mke....inabidi tupange mpango mkakati wa kumbeba Lady doctor kwa ndoa ya bomani....

Tatizo kaka Vin Diesel hapa mna conflict of interest na Baba V lazima akuanzishie visa na hatakubali kutangaza au kukubali ndoa yako hapo ni wewe uamue kujilipua
 
Last edited by a moderator:
Mmhhhh sosoliso unamuongelea huyu huyu binamu yangu Paloma au mwingine
Kweli mchina anafanya kazi
Mbona husband wake alikuwa Vin Diesel akaaachika ndo akaja kwako sasa huo unanihii ulitoka wapi au mchina kafanya kazi
Mhhhh hebu Vin Diesel atuambie hapa au alikuwa nae wanakaa kama kaka na dada

Kwa kifupi naona sosoliso kaona pengo ila kaamua kuliita mwanya.....

Kweli ile sabuni ya ndimu inafanya kazi.....

Mtasema sana lakini ukweli ndio huo.. Yaani kitu na box.. Napata starehe mpaka kumoyo..
Nakumbuka Paloma aliniambia Vin Diesel alikuwa anamkimbia kila akimuona..
 
Last edited by a moderator:
Hapa Vin Diesel tangaza mwenyewe umpe taarifa mwenyekiti kuwa umefunga ndoa na Lady doctor yeye akitoka huko anakutana na taarifa hapa sebuleni bila chenga
Ukisubiri atangaze atatangaza ya kwake na Lady doctor ushangae
 
Last edited by a moderator:
Mtasema sana lakini ukweli ndio huo.. Yaani kitu na box.. Napata starehe mpaka kumoyo..
Nakumbuka Paloma aliniambia Vin Diesel alikuwa anamkimbia kila akimuona..

Mhhh sosoliso umeibukia wapi au ulipigwa mkwara kuwa usionekane humu
Mhhhh hebu sema taratibu bana maana watu tuna taarifa zote nyeti
 
Mr Rocky naomba utazame vifungu vyote vya sheria ili tukiingia kwenye legal battle na Baba V iwe rahisi kushinda...
Yaani bro kila kitu kimekamilika na Baba V hana jeuri ya kuzuia ndoa yako hapa maana hana ushahidi wa kisheria kuproove kuwa una makosa au kuna tatizo
Yale ni maneno yake tuu yasiyo n ushahidi wowote wewe endelea na mipango yako
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom