Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,088
- 6,384
Baba V,naomba utangaze ndoa yangu na Lady doctor tafadhali.....Nawaangalia tu, with whom are you fighting that battle!?
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baba V,naomba utangaze ndoa yangu na Lady doctor tafadhali.....Nawaangalia tu, with whom are you fighting that battle!?
Baba V naomba uje kipande hii utangaze ndoa yangu....ole wako unifanyie mtima nyongo....
Baba V naomba utambue kuwa Mr Rocky ni ndugu yangu damu damu na tuna share vitu vingi ila kwenye wake hapana.....naomba usinibanie furaha yangu ya kuwa na my Lady doctor tasavali.......After what you and Mr Rocky have done to Mamndenyi...!??? no way..!! over my dead body, sikubali kutangaza ndoa inayokuhusu wewe tena unless ume prove beyond doubt kwamba umebadilika, what I see ni muendelezo wa mchezo wenu na Mr Rocky katika mchezo wenu wa kuwachezea wanawake kwa kupokezana kijiti kwa mtindo wa "HIT and RUN" kama mlivyofanya kwa Mamndenyi, I'm not ready to be a part of your dirty game kwa kuhalalisha habari yenu, najua lengo lenu na ndo maana Mr Rocky anapiga debe sana kwani anajua ukipiga wewe itafuata zamu yake, as for you Lady doctor kwa kuwa mapenzi ni upofu GO AT YOUR OWN RISK, you'll be solely responsible for whatever mess therein.. I keep my hands off.
Copy: watu8 , gfsonwin, Mamndenyi, Slave ..
Baba V,naomba utangaze ndoa yangu na Lady doctor tafadhali.....
After what you and Mr Rocky have done to Mamndenyi...!??? no way..!! over my dead body, sikubali kutangaza ndoa inayokuhusu wewe tena unless ume prove beyond doubt kwamba umebadilika, what I see ni muendelezo wa mchezo wenu na Mr Rocky katika mchezo wenu wa kuwachezea wanawake kwa kupokezana kijiti kwa mtindo wa "HIT and RUN" kama mlivyofanya kwa Mamndenyi, I'm not ready to be a part of your dirty game kwa kuhalalisha habari yenu, najua lengo lenu na ndo maana Mr Rocky anapiga debe sana kwani anajua ukipiga wewe itafuata zamu yake, as for you Lady doctor kwa kuwa mapenzi ni upofu GO AT YOUR OWN RISK, you'll be solely responsible for whatever mess therein.. I keep my hands off.
Copy: watu8 , gfsonwin, Mamndenyi, Slave ..
with due diligence i concur with your statement your honor.
Baba V naomba utambue kuwa Mr Rocky ni ndugu yangu damu damu na tuna share vitu vingi ila kwenye wake hapana.....naomba usinibanie furaha yangu ya kuwa na my Lady doctor tasavali.......
Soma msimamo wangu hapo juu, afu jana nimekuita uje utoe kauli juu ya hawa wanawake uliowazalisha na kuwatelekeza, maadam umerejea uje ubebe mzigo wako, ofisi ya mwenyekiti imeelemewa..
Baba V naomba utambue kuwa Mr Rocky ni ndugu yangu damu damu na tuna share vitu vingi ila kwenye wake hapana.....naomba usinibanie furaha yangu ya kuwa na my Lady doctor tasavali.......
Natambua ninyi ni ndugu damu damu na nyama nyama na kweli mnashea mengi, nakumbuka mlivyoshea Mamndenyi afu mkam dump, leo hii amebaki hajielewielewi maskini, siko tayari kuona member wangu mwingine anafanyiwa hivyo tena nikiwa nimebariki mimi.. no way.. labda uweze kunithibitishia kuwa umebadilika..
my sweet brodda.......
mie ni kibaraka tu kwa mwenykiti wetu ila ukweli umezidi kama mdudu toboatoboa..........hahahah!
Mkuu Baba V
Napenda kuchukua nafasi hii kukujulisha kuwa baada ya majadiliano ya muda mrefu na kupitia file la kila mmoja baina yangu na Dena Amsi na kupitia kifungu kwa kifungu na mabishano na majadiliano ya muda mrefu tukiwa strong room, hatimaye muafaka umefikiwa
Ndoa hii imerudi kama zamani na kwa taarifa ya wana CC wote Mr Rocky na Dena Amsi wamerudiana rasmi na ndoa hii naamini kwa sasa itakuwa imara kuliko ndoa zote za CC
Tumefikia maelewano haya baada ya kujadiliana na kuonekana kuwa wote tulikuwa tunahangaika na ndo maana tumeamua kuzika tofauti zetu na kuamua kuwa kitu kimoja
Kwa taarifa hii ndoa ya mashaka iliyokuwepo kati yangu na Mamndenyi imevunjika rasmi na Mamndenyi yuko huru kwenda kwa mtu yoyote anayemtaka
Taarifa hii iende kwa Erickb52, Bishanga, watu8, Blaki Womani, Preta, binamu zangu Passion Lady, Paloma, Madame B charming lady , mwalimu wangu gfsonwin, snowhite, sweetlady, kaka yangu SnowBall na HorsePower, AshaDii, Filipo, marejesho, stevoh, manoah, Slave, Mamndenyi, na wadau wote wa CC
Dena Amsi karibu sana kwenye himaya ya Mr Rocky
Natambua ninyi ni ndugu damu damu na nyama nyama na kweli mnashea mengi, nakumbuka mlivyoshea Mamndenyi afu mkam dump, leo hii amebaki hajielewielewi maskini, siko tayari kuona member wangu mwingine anafanyiwa hivyo tena nikiwa nimebariki mimi.. no way.. labda uweze kunithibitishia kuwa umebadilika..
Msimamo wako unaonesha kila dalili za kunionea mwana wa Adamu....ili tuende sawa naomba unitajie kila mwanamke na watoto niliomuachia.vinginevyo utakuwa unanifanyia fitna bin mafkuri shaitwani.
Unaona Baba V anacyotudhalilisha aise
Sasa nitatangaza kuyaunga mkono mapinduzi ya kumuondoa madarakani maana nimemuheshimu ila anageuka kuwa adui kwa kutuzushia kashfa
Baba V mimi na Vin Diesel hatuna tabia hiyo na kwa taarifa waone akina Arushaone king mswati na ETIckb52 wenye wake na nyumba ndogo kama utitiri na sio sisi vijana waadilifu kabisa tusio na doa haya maneno yako naomba uyafute kabisa
Copy mwalimu gfsonwin na Lady doctor
with due diligence i concur with your statement your honor.
Mpaka ndugu yangu na dada yangu mwalimu gfsonwin unanikana leo na kuungana na mwenyekiti mwenye personal interest Baba V ambaye unaona anavyotudhalilisha mimi na kaka yangu Vin Diesel
Kweli nimekosa wa kunitetea humu