- Thread starter
- #681
Be keaful Vin Diesel ni mume halali wa KOKUTONA.
KOKUTONA amwachie nani Erickb52 wakati wana ndoa hao
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Be keaful Vin Diesel ni mume halali wa KOKUTONA.
sisemi tena
my sweet brodda.......
mie ni kibaraka tu kwa mwenykiti wetu ila ukweli umezidi kama mdudu toboatoboa..........hahahah!
naomba niweke kumbukumbu sawa....sina tabia hiyo tena,nimebadilika mwenyekiti kibri.
Vin Diesel njoo huku bana ujiteteteee usionewe na Baba V ambaye anaonekana bias kwa maamuzi yake mengine na anapendelea kwenye kuchukua maamuzi mazito
Vin Diesel hapa ni kuchukua maamuzi unafanya kile ambacho wapaswa kufanya bila kumshirikisha mwenyekiti Baba V
Unamkosea adabu chairman wetu Baba V mbele yetu sio??
Lady doctor nafikiri kaka yangu Vin Diesel ameshatangaza hapo kuwa tayari amewahi achana na hao akina Arushaone sijui Chimbuvu sijui kula kulala Slave na penda penda manoah
Arushaone haya bana ila mbona Lady doctor hajakupapatikia wala kukuanzishia siredi
Katavi kwa Mamndenyi huyo king mswati alishajaribu ila nafikiri alitokewa na za uso
Vin Diesel dah uongozi wa hicho chama inabidi ubadilike bana kuna penda penda humu ndani kama Slave na manoah kila siku wanawowa na kuacha
manoah mbona cv zishaharibika maana wewe na Slave mshaingia kwenye chama la penda penda kujitoa ni isssue aise labda maafishwe kwa jiki
Vin Diesel kuna kidudumtu kinaitwa Arushaone kinakunyang'anya mke hapa ukiwa unaona hivi hivi