Dena Amsi na Mr Rocky

Dena Amsi na Mr Rocky

Vin Diesel njoo huku bana ujiteteteee usionewe na Baba V ambaye anaonekana bias kwa maamuzi yake mengine na anapendelea kwenye kuchukua maamuzi mazito

Kazi ya kupiga debe wanasiasa imekushinda mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Kwako Baba V tafadhali muweke Vin Diesel mahali panapostahili aache kumangamanga!!!

binamu Mr Rocky...........umeniuzi kiasi chako. hata hivyo nakuombea pumziko jema ndani ya himaya ya mkeo Dena Amsi. Mpendane kwelikweli wabaya waadhirike. wifi Dena Amsi, karibu kwetu, sisi ndo mawifizo...............

Kipenzy changu sosoliso............niseme nini zaidi ya nakupenda na nakumiss huku niliko! natamani ningekuwa karibu yako unidekeze mie..........:A S kiss:!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom