Dena Amsi na Mr Rocky

Dena Amsi na Mr Rocky

dah! kwanza niambie ilikuwwaje ukamuacha mandeny??

Tulikubaliana na Dena Amsi kusameheana ba kurudi kwenye mstari wa ndoa na kuheshimu ndoa maana tulishakula kiapo na chapaswa kuheshimiwa na tulee familia na nikaona ni uamuzi wa busara n mojawapo ya sharti ni kuachana na nyumba ndogo zote na kila aina ya baya na kusameheana na kufuta kumbukumbu zote za mabaya ya zamani ndo maana tukakubaliana kurudiana
Sasa hapo wewe ambaye unatuusia kudumisha ndoa na viapo vyetu kulikuwa na kosa au kulikuwa na haja ya kuendelea na nyumba ndogo wakati mshakubaliana na mwenzako
Sikuwa na namna zaidi ya kumwambia wazi Mamndenyi kuwa huu haukuwa uhusiano as long as ndoa yangu haikuvunjika kabisa was just separation na nilikuwa na haki ya kurudiana na Dena Amsi and that what we agree.
Je hili ni kosa mpaka Baba V atangaze kuwa sisi na Vin Diesel tuna makosa
 
Last edited by a moderator:
Ili kuweka kumbukumbu sahihi unaweza kutueleza ni lini ulimwacha Mamndenyi na kwa utaratibu upi na baada ya hapo ukapotelea wapi kabla ya kurejea juzi baada ya Mr Rocky kumtosa Mamndenyi..!? tuanzie hapo..
Mamndenyi anajua zaidi kilichotokea...nilimpeleka shamba na ndipo yote yalipoisha....nilirubuniwa na Paloma...:yell:
 
Last edited by a moderator:
Ili kuweka kumbukumbu sahihi unaweza kutueleza ni lini ulimwacha Mamndenyi na kwa utaratibu upi na baada ya hapo ukapotelea wapi kabla ya kurejea juzi baada ya Mr Rocky kumtosa Mamndenyi..!? tuanzie hapo..

Unataka kusemaje hapa Baba V kwamba tunashare mpaka wake kwa kuwa sisi ni ndugu au uba maana gani
 
Last edited by a moderator:
Unaona Baba V anacyotudhalilisha aise
Sasa nitatangaza kuyaunga mkono mapinduzi ya kumuondoa madarakani maana nimemuheshimu ila anageuka kuwa adui kwa kutuzushia kashfa
Baba V mimi na Vin Diesel hatuna tabia hiyo na kwa taarifa waone akina Arushaone king mswati na ETIckb52 wenye wake na nyumba ndogo kama utitiri na sio sisi vijana waadilifu kabisa tusio na doa haya maneno yako naomba uyafute kabisa
Copy mwalimu gfsonwin na Lady doctor

Naongea kwa facts na sio uzushi, unakumbuka Dena Amsi alikuja kwangu kunipa taarifa ya kuvunjika kwa ndoa yenu nawe ukaridhia na kutangaza ndoa na Mamndenyi na nikaibariki..!?? ongea kwa vigezo na usitishie kuning'oa uenyekiti, uenyekiti sikuukuta barabarani, I know how to play the game pal.. you wanna test it!??
 
Last edited by a moderator:
Tulikubaliana na Dena Amsi kusameheana ba kurudi kwenye mstari wa ndoa na kuheshimu ndoa maana tulishakula kiapo na chapaswa kuheshimiwa na tulee familia na nikaona ni uamuzi wa busara n mojawapo ya sharti ni kuachana na nyumba ndogo zote na kila aina ya baya na kusameheana na kufuta kumbukumbu zote za mabaya ya zamani ndo maana tukakubaliana kurudiana
Sasa hapo wewe ambaye unatuusia kudumisha ndoa na viapo vyetu kulikuwa na kosa au kulikuwa na haja ya kuendelea na nyumba ndogo wakati mshakubaliana na mwenzako
Sikuwa na namna zaidi ya kumwambia wazi Mamndenyi kuwa huu haukuwa uhusiano as long as ndoa yangu haikuvunjika kabisa was just separation na nilikuwa na haki ya kurudiana na Dena Amsi and that what we agree.
Je hili ni kosa mpaka Baba V atangaze kuwa sisi na Vin Diesel tuna makosa

Mbona haya yanakuja leo, !!??
 
Last edited by a moderator:
Naongea kwa facts na sio uzushi, unakumbuka Dena Amsi alikuja kwangu kunipa taarifa ya kuvunjika kwa ndoa yenu nawe ukaridhia na kutangaza ndoa na Mamndenyi na nikaibariki..!?? ongea kwa vigezo na usitishie kuning'oa uenyekiti, uenyekiti sikuukuta barabarani, I know how to play the game pal.. you wanna test it!??

Ukiwa mmoja wapo wa watu walioinitiate kuvunjika kwa ndoa yangu na Dena Amsi
Kwani kazi Ya mwenyekiti ni kuvunja ndoa au kuhakikisha kuwa ndoa za watu wake zinadumu na kuukua na kuwa mshauri na mwelekezi wa namna ya kudumisha ndoa
Uliniconsult kujua au kutaka kusikia upande wa pili kabla ya kuamua kutangaza kuvunjika kwa ndoa hiyo
Ulishauri nini kama mwenyekiti wakati ilipoletewa shauri hilo mezani kuwa Dena Amsi anataka utangaze kuvunjika kwa ndoa yake
Kama judge wa kesi ya kuvunjika kwa ndoa huwa hasikikizu upande mmoja tuu huwa anaita pande zote tena baada ya kuhakikisha kuwa wanandoa wamepita kwa washenga waona misikitini au makanisani na mpaka kwa mabaraza ya usuluhishi ndio inaenda kwa judge wewe ulihakikishabhayo yanefuatwa au uliamua tuu kwa kuwa interest zako zilikutuma kuwa huo ulikuwa muda muafaka wa kufanya kile moyo wako umependa kuvunja ndoa za wanachama wako
Ulikuwa na uhakikka kama Mamndenyi ilikuwa ni ndoa halali au ilikuwa ni funika kombe mwanaharamu apite au kuziba ombwe lililokuwepo wakati wanandoa wanatafajari mustakabali wao
Je ulihakikisha kuwa vigezo na masharti yalizingatiwa wakati wa hiyo ndo yangu na Mamndenyi au ilikuwa tuu ndoa ya mud fulani wakati pande mbili zilireconcile kuangalia kama zinaweza kuponya majeraha na kurudiana something which kimefanyika kwa sasa kati yangu na Dena Amsi
Badala ta kufurahia kurudi kwa ndoa naona unaweka kauzibe kutaka mahusiano nje ya ndoa yaendeleee
Mwenyekiti!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mbona haya yanakuja leo, !!??

Ulitaka yaje lini ?
Uliyaulizia Baba V au kwa kuwa uliisikiliza upande mmoja tuu na kuamua kutangaza kile moyo wako uliamua
Haya yalitakiwa uyajue kabla ya kufikia kutangaza ndoa imevunjika ila kwa kuwa hukutaka kusikia madhara yake ndo haya sasa
 
Last edited by a moderator:
Go go go Erickb52 its your time you gonna bit them its ur chance the slogan say HIT AND RUN kifanyio umepewa bure toa bure hureeeee
 
Last edited by a moderator:
Vin Diesel njoo huku bana ujiteteteee usionewe na Baba V ambaye anaonekana bias kwa maamuzi yake mengine na anapendelea kwenye kuchukua maamuzi mazito
 
Last edited by a moderator:
Vin Diesel hapa ni kuchukua maamuzi unafanya kile ambacho wapaswa kufanya bila kumshirikisha mwenyekiti Baba V
 
Last edited by a moderator:
Arushaone jukwaaa la stress hapana nenda mwenyewe aise kuoe hakufai kabisa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom