The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,537
Fanya fasta anzisha siredi umjulishe Baba V kuhusu ndoa yako kabla Arushaone hajaaamka mkuu Vin Diesel
Too late Mr Rocky namwanzishia Erickb52 alizoea kutongoza sasa anajibebea mke kiulaini kama kuku vile Erickb52 usilale lale lale Erickb52 usilale bado mapambano mi nitakuwa campaign manager wako nitamwagia Lady doctor swaga za kichina hadi atakutaka tu na asipokutaka utampakata utampa maji kwenye kata atatakata atakutaka!
Baba V nikimuanzishia sredi mie atanijia juu....ana visa na mie utadhani nilimchukulia mke....inabidi tupange mpango mkakati wa kumbeba Lady doctor kwa ndoa ya bomani....Fanya fasta anzisha siredi umjulishe Baba V kuhusu ndoa yako kabla Arushaone hajaaamka mkuu Vin Diesel
Mie natangaza ndoa na naomba ridhaa yako taarifa zimfikie mwenyekiti....
usijali huwa akipata kitu kipya huwa anawaachawe The secretary huyo Erickb52 kinyang'anyiro hakimuhusu.... Ye sitayari anawake me nataka single boys tu!!
nimeshasema alioko tayari na atangaze ila vigezo na masharti vizingatiwe otherwise sitoona hatari kuvunja ndoa kama havijazingatiwa
Too late Mr Rocky namwanzishia Erickb52 alizoea kutongoza sasa anajibebea mke kiulaini kama kuku vile Erickb52 usilale lale lale Erickb52 usilale bado mapambano mi nitakuwa campaign manager wako nitamwagia Lady doctor swaga za kichina hadi atakutaka tu na asipokutaka utampakata utampa maji kwenye kata atatakata atakutaka!
Baba V nikimuanzishia sredi mie atanijia juu....ana visa na mie utadhani nilimchukulia mke....inabidi tupange mpango mkakati wa kumbeba Lady doctor kwa ndoa ya bomani....
Tatizo kaka Vin Diesel hapa mna conflict of interest na Baba V lazima akuanzishie visa na hatakubali kutangaza au kukubali ndoa yako hapo ni wewe uamue kujilipua
Mmhhhh sosoliso unamuongelea huyu huyu binamu yangu Paloma au mwingine
Kweli mchina anafanya kazi
Mbona husband wake alikuwa Vin Diesel akaaachika ndo akaja kwako sasa huo unanihii ulitoka wapi au mchina kafanya kazi
Mhhhh hebu Vin Diesel atuambie hapa au alikuwa nae wanakaa kama kaka na dada
Kwa kifupi naona sosoliso kaona pengo ila kaamua kuliita mwanya.....
Kweli ile sabuni ya ndimu inafanya kazi.....
Mtasema sana lakini ukweli ndio huo.. Yaani kitu na box.. Napata starehe mpaka kumoyo..
Nakumbuka Paloma aliniambia Vin Diesel alikuwa anamkimbia kila akimuona..
Mtasema sana lakini ukweli ndio huo.. Yaani kitu na box.. Napata starehe mpaka kumoyo..
Nakumbuka Paloma aliniambia Vin Diesel alikuwa anamkimbia kila akimuona..
Mr Rocky naomba utazame vifungu vyote vya sheria ili tukiingia kwenye legal battle na Baba V iwe rahisi kushinda...Hapa Vin Diesel tangaza mwenyewe umpe taarifa mwenyekiti kuwa umefunga ndoa na Lady doctor yeye akitoka huko anakutana na taarifa hapa sebuleni bila chenga
Ukisubiri atangaze atatangaza ya kwake na Lady doctor ushangae
Yaani bro kila kitu kimekamilika na Baba V hana jeuri ya kuzuia ndoa yako hapa maana hana ushahidi wa kisheria kuproove kuwa una makosa au kuna tatizo
nimeshasema alioko tayari na atangaze ila vigezo na masharti vizingatiwe otherwise sitoona hatari kuvunja ndoa kama havijazingatiwa