Kipenzy changu sosoliso............niseme nini zaidi ya nakupenda na nakumiss huku niliko! natamani ningekuwa karibu yako unidekeze mie..........:A S kiss:!!
Yaani katika watu wote The secretary umemuona Erickb52 anamfaaa Lady doctor
Yule ni mwenyekiti wa chama cha penda penda na ana wake kama wanne niwajuao kuna Kipipi kuna Chocs kuna Arabela kuna @yhhna sasa hapo unataka mtoto mzuri kama Lady doctor aende kwa huyo jamaa
Kaka yangu Vin Diesel ndo anamfaa huyu mrembo Lady doctor bana
Vin Diesel achana na bab v bana wewe fanya makeke chukua mtoto mzuri huyo mpaka Baba V aje ashtuke ndoa ishafungwa bomani
Lady doctor kaka huyo anakuja kwako na full power za kuwa mume bora bana mfanye awasahau masharobaro akina Arushaone na Slave
Hivi kuna kamchezo gani hapa mana sielewi elewi shem

The secretary nakuangalia tuu unamfanyia promo mume wangu Erickb52..umetumwa ee!!Go go go Erickb52 its your time you gonna bit them its ur chance the slogan say HIT AND RUN kifanyio umepewa bure toa bure hureeeee
Bishanga hajaonekana nyumbani mwezi sasa.. Hajui mkewe The secretary anakula nini wala mtoto anahudumiwaje.. Unafanya mchezo na madeni wewe..!The secretary nakuangalia tuu unamfanyia promo mume wangu Erickb52..umetumwa ee!!
Kulikoni huko kwako na Bishanga imekuwaje maana naona haupo sawa
Mkuu wakati naondoka sikuaga....sasa kuna raia wakijua nipo hapa moto utaniwakia.....lile jukwaa la chini najua mod wake ni Evelyn Salt....
Mhhh wala sijatumwa na sina mpango wa kutumwa si nimesema kweli Kipipi aise mbona umekuwa mkali ghafla
nimekumiss sana my ex boyfriend!!!!!!!!!
La kusema mbona yapo mengi sana yaani nikiamua hapa naweza jaza page mia hapa naongea tuu
Yaani huwa siishiwi la kusema Kipipi wala usikasirike