Dena Amsi na Mr Rocky

Dena Amsi na Mr Rocky

Kipenzy changu sosoliso............niseme nini zaidi ya nakupenda na nakumiss huku niliko! natamani ningekuwa karibu yako unidekeze mie..........:A S kiss:!!

Nakupenda sana pia mtima wa nyongo yangu Paloma.. Wewe ndo wanifanya nione raha ya kuishi hapa duniani..
Najua wako wengi wanaochachawa na mahaba yetu.. Kamwe hawataweza.. Watabaki kama pweza wakiwa wanapwelea..
 
Last edited by a moderator:
Paloma my lovely binamu nimekuudhi nini tena. Nakupenda sana binamu yaani niombee sana nikae salama na my wife wangu Dena Amsi
Nilizunguka koooote ila kwa Dena Amsi nimerudi nimekuwa mpole ghafla
 
ananenipenda ni mupenzi wangu wa roho sosoliso tu! si unaona hapo huu! na wewe mpende mkeo!
ipo siku ntakwambia lakini si leo.....
 
Last edited by a moderator:
Msiniharibie mumeee.....!!
Yaani katika watu wote The secretary umemuona Erickb52 anamfaaa Lady doctor
Yule ni mwenyekiti wa chama cha penda penda na ana wake kama wanne niwajuao kuna Kipipi kuna Chocs kuna Arabela kuna @yhhna sasa hapo unataka mtoto mzuri kama Lady doctor aende kwa huyo jamaa
Kaka yangu Vin Diesel ndo anamfaa huyu mrembo Lady doctor bana
Vin Diesel achana na bab v bana wewe fanya makeke chukua mtoto mzuri huyo mpaka Baba V aje ashtuke ndoa ishafungwa bomani
Lady doctor kaka huyo anakuja kwako na full power za kuwa mume bora bana mfanye awasahau masharobaro akina Arushaone na Slave
 
We umetumwa au??
 
ananenipenda ni mupenzi wangu wa roho sosoliso tu! si unaona hapo huu! na wewe mpende mkeo!
ipo siku ntakwambia lakini si leo.....

Unakataaa hata upendo wa ndugu binamu yangu Paloma nitakukana wewe
 
Last edited by a moderator:
Umekosa la kusema sio???!!

La kusema mbona yapo mengi sana yaani nikiamua hapa naweza jaza page mia hapa naongea tuu
Yaani huwa siishiwi la kusema Kipipi wala usikasirike
 
Last edited by a moderator:
La kusema mbona yapo mengi sana yaani nikiamua hapa naweza jaza page mia hapa naongea tuu
Yaani huwa siishiwi la kusema Kipipi wala usikasirike

hilo limeisha hebu sema jingine tena
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom