Bishanga hajaonekana nyumbani mwezi sasa.. Hajui mkewe The secretary anakula nini wala mtoto anahudumiwaje.. Unafanya mchezo na madeni wewe..!
Vin Diesel ushamalizana nae au bado mnazungushana
Si huyo mwenyekiti wenu Baba V anaweka kauzibe hataki kuoruhusu ndoa yenu we malizana nae huko huko bana
Hivi kuna kamchezo gani hapa mana sielewi elewi shem
Em nisaidie
Hivi kuna kamchezo gani hapa mana sielewi elewi shem
Em nisaidie
Niishie wapi sasa hebu niambie Kipipi hapa hapa niliposhika au pengine
na uhamie huko huko ulizani ukiongea kwa sauti ya chini siwezi sikia eeee??nimekumiss sana my ex boyfriend!!!!!!!!!
Paloma,mie ninamangamanga wapi? kumpenda Lady doctor ndio kosa?
Chezeya mume wewe!
Kwani The secretary ameachana na Bishanga????Shem wee acha tu. Kuna kajamaa kanataka kumkuwadia mumeo Erickb52 kwa yule mrembo aitwaye The secretary.
Haya tena majangaaaBishanga hajaonekana nyumbani mwezi sasa.. Hajui mkewe The secretary anakula nini wala mtoto anahudumiwaje.. Unafanya mchezo na madeni wewe..!
Kwani The secretary ameachana na Bishanga????