Dena Amsi na Mr Rocky

Dena Amsi na Mr Rocky

tatizo la Vin Diesel anataka tufunge ndoa bomani wakati mi nataka kanisani

Si huyo mwenyekiti wenu Baba V anaweka kauzibe hataki kuoruhusu ndoa yenu we malizana nae huko huko bana
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
utaanzia wapi kunikana.........wakati ukiwa na majanga unakimbilia kwangu!!! haya nikane kama utaweza!

Naanza hapa hapa Paloma nakupenda sana binamu na nakumissije
Aaaaah hivi ulisema nikukane eehhhh
Hebu futa haraka hiyo ya juu fasta kabla hawajaona
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom