Kwani The secretary ameachana na Bishanga????
Hahahaha
na uhamie huko huko ulizani ukiongea kwa sauti ya chini siwezi sikia eeee??
Bishanga huyu dogo anakuletea zengwe kwa mkeo ujue.
M/S MGC LLC on duty.
Saaaaaaaafiiiiiii
Ndo umkamate sasa akamatike
kinehe mwanike!?
mhola no ngw'ana mayo, kinehe o'bebe?
Subiri muda kidogo Lady doctor ndoa yako na Vin Diesel itatangazwa