Waungwana husema "Jasiri hafichi asili"...hili naliona kwako Mr Penda Penda...naona unafuata nyayo za Erickb52 na Vin Diesel
Heri mimi niliye singo na sibabaishwi na albam.
Ile kofia ya Ufalme umemkabidhi nani?Heri mimi niliye singo na sibabaishwi na albam.
Baba V toka lini ukawa mtabiri bana wacha zako wewe. Sema na wewe ulikuwa unatamani ni lini ndoa hii itavunjika
Arushaone ndyofu ya monday ni balaa aise unaweza kuiikuta unaingia ofcn kesho macho yanaona mawenge mbili unaona tatu
Baba V imekuwaje tena mbona unaniruka kimanga
Kipaji Halisi umeshindwa deal nilikupa aise mpaka umemruhusu Slave arudi mbio
Dena Amsi love you
. . . . Mkuu Kipaji Halisi mimi sipogo huko tena. . . . . Nakaribia kupadrishwa!.