Dena Amsi na Mr Rocky

Dena Amsi na Mr Rocky

Mkuu Kaizer wenyeviti na makamu wao wanajipendelea na kujihalalishia wao wenyewe na ndoa zao hazipiti ukaguzi wala taarifa
Hapa tunaambiwa tuu Arushaone na Lady doctor wamefunga ndoa
Wakati za kwetu mpaka usote na kuwa scrutinized mbaya na mwishowe utaambiwa na Baba V ndoa yako siikubali
Hivi nani anayepitisha ruhusa ya ndoa ya mwenyekiti maana na yeye ni binadam

Nashangaa....uyu Arushaone ana matatizo ujue.. Lady doctor hebu come kwa PM nikwambie ktu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom