HOJA Deni la Daraja la Kigamboni (Mwalimu Nyerere) litaisha lini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Nimeona hawa watangazaji wa Wasafi wakigusia kuhusu Daraja la Mwalimu Nyerere na kuhoji deni la ujenzi litaisha lini, kwa maana ya tozo zinazokusanywa kila siku, sasa ni lini deni la ujenzi wa daraja hilo litakuwa limekwisha.

Kwanza tufahamu kuwa Daraja la Kigamboni halikujengwa kwa mkopo wa kawaida wa serikali. Badala yake, lilijengwa kupitia mkataba wa aina ya DBFOT (Design, Build, Finance, Operate and Transfer). Chini ya mfumo huu, mwekezaji hubuni mradi, huujenga, hufadhili gharama za ujenzi, huendesha mradi na hukusanya mapato kwa kipindi kilichokubaliwa kabla ya kuukabidhi kwa serikali.

Soma: Tozo kwenye daraja la Nyerere Kigamboni zashushwa kwa bodaboda na bajaji. Bodaboda sasa kuvuka ni Tsh 300

Katika mradi huu, Serikali ya Tanzania ilichangia takribani asilimia 40 ya gharama za ujenzi, huku NSSF ikichangia takribani asilimia 60. Kutokana na uwekezaji huo, daraja liliwekwa mfumo wa tozo (toll) ili NSSF irejeshe fedha ilizowekeza pamoja na gharama za uendeshaji na matengenezo.

Kwa mujibu wa makubaliano ya mradi, kipindi cha ukusanyaji wa tozo ni miaka 30 tangu daraja lianze kutumika. Kwa kuwa daraja lilifunguliwa mwaka 2016, kipindi hicho kinatarajiwa kuendelea hadi takribani mwaka 2046, isipokuwa makubaliano hayo yabadilishwe rasmi.

Tozo zinazolipwa hutegemea aina ya chombo cha usafiri:

Pikipiki:
Kuanzia Tsh. 300/-
Bajaji: Kuanzia Tsh. 5,00/-
Gari dogo binafsi: Tsh. 1,500 kwa safari moja.
Mabasi, Malori na magari makubwa: Hutozwa viwango vya juu zaidi kulingana na aina na uzito wa gari.

Pia kuna mfumo wa bando (bundle passes) kwa watumiaji wa mara kwa mara ambao hupunguza gharama kwa kila safari.

Ni muhimu kufahamu kuwa fedha zinazokusanywa si ulipaji wa “deni la taifa” kwa maana ya mkopo wa kawaida, bali ni urejeshaji wa uwekezaji wa NSSF chini ya makubaliano ya mradi. Hadi sasa, hakuna tangazo rasmi la kubadilisha kipindi cha miaka 30 au kutangaza tarehe tofauti ya kusitisha tozo.

Gharama za Mradi wa Daraja la Kigamboni (Daraja la Mwalimu Nyerere)

Kwa mujibu wa taarifa za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), gharama ya awali ya mradi wa Daraja la Kigamboni pamoja na barabara zake za kuunganisha, kama ilivyoainishwa kwenye Mkataba wa Ufadhili wa mwaka 2014, ilikuwa Dola Milioni 143.50, sawa na takribani Tsh. Bilioni 238.71 kwa thamani ya fedha wakati huo. Gharama hiyo baadaye ilirekebishwa mwaka 2016 na kufikia takribani Tsh. Bilioni 328.90.

DARAJA LA KIGAMBONI 2.png

Mgawanyo wa Gharama

Kwa kuwa mradi ulitekelezwa kwa mfumo wa ubia kati ya NSSF na Serikali, mgawanyo ulikuwa:

NSSF – asilimia 60
Serikali ya Tanzania – asilimia 40

Gharama ya Awali USD milioni 143.50 (takriban TZS bilioni 238.71)
Gharama Iliyorekebishwa (2016) Takriban TZS bilioni 328.90

Hoja ya Malipo ya Serikali kwa NSSF

Ripoti ya CAG ilieleza kuwa kutokana na uwezo mdogo wa kifedha wa Serikali wakati wa utekelezaji, NSSF ilifadhili gharama yote ya mradi kwa wakati huo, na Serikali ilikubali kuirejeshea NSSF sehemu yake ya mchango pamoja na gharama zinazohusiana na kuchelewa kwa malipo (riba).

Ripoti ya CAG 2019/20 (Ukurasa wa 147):

CAG alieleza kuwa licha ya kuwepo kwa Finance Agreement, Mkataba wa Uendeshaji (Concession Agreement) uliotakiwa kusainiwa kati ya Wizara ya Ujenzi na NSSF ulikuwa haujasainiwa, jambo lililoibua hoja kuhusu uhalali wa uendeshaji wa daraja na ukusanyaji wa tozo.

Screenshot 2026-08-04 101148.png

Mradi huu ni mfano wa ubia kati ya Serikali na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF). Kwa kuwa daraja lilifunguliwa mwaka 2016, kipindi cha miaka 30 cha uendeshaji wa NSSF kinatarajiwa kufikia karibu mwaka 2046.

Aliyekuwa Naibu Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Patrobas Katambi, alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Kigamboni, Dkt. Faustine Ndugulile, bungeni Agosti 27, 2024.

Alisema:

"Hadi Julai 2024, katika miaka tisa ya uendeshaji, Tsh. Bilioni 102.18 zimekusanywa kupitia tozo mbalimbali." Pia alieleza kuwa, kwa mujibu wa upembuzi yakinifu, mradi unatarajiwa kurejesha Tsh. Bilioni 334 ndani ya kipindi cha miaka 30 kabla ya kukabidhiwa Serikalini.

​
Hata hivyo, kuondolewa au kusitishwa rasmi kwa tozo kutaamuliwa kulingana na masharti ya mikataba, urejeshaji wa gharama, na maamuzi ya kiserikali.
 
binafsi sioni tatizo la kuchaji kutumia daraja hata kama siyo kulipia deni, msisahau kuna repair na matengenezo ya daraja pia na hiyo yote ina gharama kubwa ila ilipaswa kuwe na uwazi wa hiyo pesa inakokwenda na jinsi inavyotumika kuwe na auditing kama inatumika kutunza miundo mbinu ya daraja kwangu ni sawa ila kama inakwenda mifukoni mwa irani ambapo uwezekano upo basi hapo sio sawa …
 
binafsi sioni tatizo la kuchaji kutumia daraja hata kama siyo kulipia deni, msisahau kuna repair na matengenezo ya daraja pia na hiyo yote in gharama kubwa ila tatizo ni kwamba ilipaswa kuwe na uwazi hiyo pesa inakokwenda na jinsi inavyotumika kuwe na auditing kama inatumika kutunza miundo mbinu ya daraja kwangu ni sawa ila kama inakwenda mifukoni mwa irani ambapo uwezekano upo basi hapo siyo sawa …
Nashangaa watu wanaopinga kulipia daraja. Hata hao watangazaji hawajui kuwa michango yao ndio imejenga hilo daraja na lazima irudi vinginevyo mafao yao yapo hatarini. Nasema hivi nikiwa nalipa hapo darajani tangu limefunguliwa.
 
watanzagiza wengi hawajazoea kulipia huduma na hawaelewi maana yake wanaona vitu wanafikiri ni bure, kumbe hakuna kitu cha bure dunia hii someone has to pay somewhere.

cha muhimu tu kuwe na auditing ili ijulikane fedha inakokwenda na kwamba inafanya yale ambayo imekusudiwa, kwa mfano bila ya matengenezo linaweza kubomoka na kufungwa na gharama ya kulijenga upya ikawa kubwa zaidi, sasa fedha za repair zitatokea wapi? ni lazima mtu alipie …
 
Nimeona hawa watangazaji wa Wasafi wakigusia kuhusu Daraja la Mwalimu Nyerere na kuhoji deni la ujenzi litaisha lini, kwa maana ya tozo zinazokusanywa kila siku, sasa ni lini deni la ujenzi wa daraja hilo litakuwa limekwisha.

Kwanza tufahamu kuwa Daraja la Kigamboni halikujengwa kwa mkopo wa kawaida wa serikali. Badala yake, lilijengwa kupitia mkataba wa aina ya DBFOT (Design, Build, Finance, Operate and Transfer). Chini ya mfumo huu, mwekezaji hubuni mradi, huujenga, hufadhili gharama za ujenzi, huendesha mradi na hukusanya mapato kwa kipindi kilichokubaliwa kabla ya kuukabidhi kwa serikali.

Soma: Tozo kwenye daraja la Nyerere Kigamboni zashushwa kwa bodaboda na bajaji. Bodaboda sasa kuvuka ni Tsh 300

Katika mradi huu, Serikali ya Tanzania ilichangia takribani asilimia 40 ya gharama za ujenzi, huku NSSF ikichangia takribani asilimia 60. Kutokana na uwekezaji huo, daraja liliwekwa mfumo wa tozo (toll) ili NSSF irejeshe fedha ilizowekeza pamoja na gharama za uendeshaji na matengenezo.

Kwa mujibu wa makubaliano ya mradi, kipindi cha ukusanyaji wa tozo ni miaka 30 tangu daraja lianze kutumika. Kwa kuwa daraja lilifunguliwa mwaka 2016, kipindi hicho kinatarajiwa kuendelea hadi takribani mwaka 2046, isipokuwa makubaliano hayo yabadilishwe rasmi.

Tozo zinazolipwa hutegemea aina ya chombo cha usafiri:

Pikipiki:
Kuanzia Tsh. 300/-
Bajaji: Kuanzia Tsh. 5,00/-
Gari dogo binafsi: Tsh. 1,500 kwa safari moja.
Mabasi, Malori na magari makubwa: Hutozwa viwango vya juu zaidi kulingana na aina na uzito wa gari.

Pia kuna mfumo wa bando (bundle passes) kwa watumiaji wa mara kwa mara ambao hupunguza gharama kwa kila safari.

Ni muhimu kufahamu kuwa fedha zinazokusanywa si ulipaji wa “deni la taifa” kwa maana ya mkopo wa kawaida, bali ni urejeshaji wa uwekezaji wa NSSF chini ya makubaliano ya mradi. Hadi sasa, hakuna tangazo rasmi la kubadilisha kipindi cha miaka 30 au kutangaza tarehe tofauti ya kusitisha tozo.

Gharama za Mradi wa Daraja la Kigamboni (Daraja la Mwalimu Nyerere)

Kwa mujibu wa taarifa za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), gharama ya awali ya mradi wa Daraja la Kigamboni pamoja na barabara zake za kuunganisha, kama ilivyoainishwa kwenye Mkataba wa Ufadhili wa mwaka 2014, ilikuwa Dola Milioni 143.50, sawa na takribani Tsh. Bilioni 238.71 kwa thamani ya fedha wakati huo. Gharama hiyo baadaye ilirekebishwa mwaka 2016 na kufikia takribani Tsh. Bilioni 328.90.

Mgawanyo wa Gharama

Kwa kuwa mradi ulitekelezwa kwa mfumo wa ubia kati ya NSSF na Serikali, mgawanyo ulikuwa:

NSSF – asilimia 60
Serikali ya Tanzania – asilimia 40

Gharama ya Awali USD milioni 143.50 (takriban TZS bilioni 238.71)
Gharama Iliyorekebishwa (2016) Takriban TZS bilioni 328.90

Hoja ya Malipo ya Serikali kwa NSSF

Ripoti ya CAG ilieleza kuwa kutokana na uwezo mdogo wa kifedha wa Serikali wakati wa utekelezaji, NSSF ilifadhili gharama yote ya mradi kwa wakati huo, na Serikali ilikubali kuirejeshea NSSF sehemu yake ya mchango pamoja na gharama zinazohusiana na kuchelewa kwa malipo (riba).

Ripoti ya CAG 2019/20 (Ukurasa wa 147):

CAG alieleza kuwa licha ya kuwepo kwa Finance Agreement, Mkataba wa Uendeshaji (Concession Agreement) uliotakiwa kusainiwa kati ya Wizara ya Ujenzi na NSSF ulikuwa haujasainiwa, jambo lililoibua hoja kuhusu uhalali wa uendeshaji wa daraja na ukusanyaji wa tozo.

Mradi huu ni mfano wa ubia kati ya Serikali na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF). Kwa kuwa daraja lilifunguliwa mwaka 2016, kipindi cha miaka 30 cha uendeshaji wa NSSF kinatarajiwa kufikia karibu mwaka 2046. Hata hivyo, kuondolewa au kusitishwa rasmi kwa tozo kutaamuliwa kulingana na masharti ya mikataba, urejeshaji wa gharama, na maamuzi ya kiserikali.
Wenye fedha waliombwa idhini?

Fedha za NSSF ni za watu waliochangia, si za NSSF wala za serikali.
 
binafsi sioni tatizo la kuchaji kutumia daraja hata kama siyo kulipia deni, msisahau kuna repair na matengenezo ya daraja pia na hiyo yote in gharama kubwa ila tatizo ni kwamba ilipaswa kuwe na uwazi hiyo pesa inakokwenda na jinsi inavyotumika kuwe na auditing kama inatumika kutunza miundo mbinu ya daraja kwangu ni sawa ila kama inakwenda mifukoni mwa irani ambapo uwezekano upo basi hapo siyo sawa …
Hapo Kenya (Mombasa) kuna daraja kubwa zaidi ya hilo la kigamboni na ni free kwa vyombo vyote vya moto.

Sasa sisi ilipaswa itazamwe namna ya kufanya kuhusu huo uwekezaji wa NSSF unawekwa namna gani kuendelea kutoza miaka yote hiyo ni namna gani inavyoonesha mawazo yetu bado ni mgando kiasi gani.
 
Nashangaa watu wanaopinga kulipia daraja. Hata hao watangazaji hawajui kuwa michango yao ndio imejenga hilo daraja na lazima irudi vinginevyo mafao yao yapo hatarini. Nasema hivi nikiwa nalipa hapo darajani tangu limefunguliwa.
watanzagiza wengi hawajazoea kulipia huduma na hawaelewi maana yake wanaona vitu wanafikiri ni bure, kumbe hakuna kitu cha bure dunia hii someone has to pay somewhere.

cha muhimu tu kuwe na auditing ili ijulikane fedha inakokwenda na kwamba inafanya yale ambayo imekusudiwa, kwa mfano bila ya matengenezo linaweza kubomoka na kufungwa na gharama ya kulijenga upya ikawa kubwa zaidi, sasa fedha za repair zitatokea wapi? ni lazima mtu alipie …
Watu wanalipa kodi tayari, kama serikali imetenga Trillion 1 kwa ajili ya safari tu je imeshindwa kutenga hata billion 50 kila mwaka kulipia tolls za Hill daraja kwa ajili ya wananchi?

Tumekosa tu vipaumbele ila kama kugawa ma-V8 mapya kabisa kwa wagombea wa urais tumeweza, hatuwezi shindwa daraja
 
Nimeona hawa watangazaji wa Wasafi wakigusia kuhusu Daraja la Mwalimu Nyerere na kuhoji deni la ujenzi litaisha lini, kwa maana ya tozo zinazokusanywa kila siku, sasa ni lini deni la ujenzi wa daraja hilo litakuwa limekwisha.

Kwanza tufahamu kuwa Daraja la Kigamboni halikujengwa kwa mkopo wa kawaida wa serikali. Badala yake, lilijengwa kupitia mkataba wa aina ya DBFOT (Design, Build, Finance, Operate and Transfer). Chini ya mfumo huu, mwekezaji hubuni mradi, huujenga, hufadhili gharama za ujenzi, huendesha mradi na hukusanya mapato kwa kipindi kilichokubaliwa kabla ya kuukabidhi kwa serikali.

Soma: Tozo kwenye daraja la Nyerere Kigamboni zashushwa kwa bodaboda na bajaji. Bodaboda sasa kuvuka ni Tsh 300

Katika mradi huu, Serikali ya Tanzania ilichangia takribani asilimia 40 ya gharama za ujenzi, huku NSSF ikichangia takribani asilimia 60. Kutokana na uwekezaji huo, daraja liliwekwa mfumo wa tozo (toll) ili NSSF irejeshe fedha ilizowekeza pamoja na gharama za uendeshaji na matengenezo.

Kwa mujibu wa makubaliano ya mradi, kipindi cha ukusanyaji wa tozo ni miaka 30 tangu daraja lianze kutumika. Kwa kuwa daraja lilifunguliwa mwaka 2016, kipindi hicho kinatarajiwa kuendelea hadi takribani mwaka 2046, isipokuwa makubaliano hayo yabadilishwe rasmi.

Tozo zinazolipwa hutegemea aina ya chombo cha usafiri:

Pikipiki:
Kuanzia Tsh. 300/-
Bajaji: Kuanzia Tsh. 5,00/-
Gari dogo binafsi: Tsh. 1,500 kwa safari moja.
Mabasi, Malori na magari makubwa: Hutozwa viwango vya juu zaidi kulingana na aina na uzito wa gari.

Pia kuna mfumo wa bando (bundle passes) kwa watumiaji wa mara kwa mara ambao hupunguza gharama kwa kila safari.

Ni muhimu kufahamu kuwa fedha zinazokusanywa si ulipaji wa “deni la taifa” kwa maana ya mkopo wa kawaida, bali ni urejeshaji wa uwekezaji wa NSSF chini ya makubaliano ya mradi. Hadi sasa, hakuna tangazo rasmi la kubadilisha kipindi cha miaka 30 au kutangaza tarehe tofauti ya kusitisha tozo.

Gharama za Mradi wa Daraja la Kigamboni (Daraja la Mwalimu Nyerere)

Kwa mujibu wa taarifa za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), gharama ya awali ya mradi wa Daraja la Kigamboni pamoja na barabara zake za kuunganisha, kama ilivyoainishwa kwenye Mkataba wa Ufadhili wa mwaka 2014, ilikuwa Dola Milioni 143.50, sawa na takribani Tsh. Bilioni 238.71 kwa thamani ya fedha wakati huo. Gharama hiyo baadaye ilirekebishwa mwaka 2016 na kufikia takribani Tsh. Bilioni 328.90.

Mgawanyo wa Gharama

Kwa kuwa mradi ulitekelezwa kwa mfumo wa ubia kati ya NSSF na Serikali, mgawanyo ulikuwa:

NSSF – asilimia 60
Serikali ya Tanzania – asilimia 40

Gharama ya Awali USD milioni 143.50 (takriban TZS bilioni 238.71)
Gharama Iliyorekebishwa (2016) Takriban TZS bilioni 328.90

Hoja ya Malipo ya Serikali kwa NSSF

Ripoti ya CAG ilieleza kuwa kutokana na uwezo mdogo wa kifedha wa Serikali wakati wa utekelezaji, NSSF ilifadhili gharama yote ya mradi kwa wakati huo, na Serikali ilikubali kuirejeshea NSSF sehemu yake ya mchango pamoja na gharama zinazohusiana na kuchelewa kwa malipo (riba).

Ripoti ya CAG 2019/20 (Ukurasa wa 147):

CAG alieleza kuwa licha ya kuwepo kwa Finance Agreement, Mkataba wa Uendeshaji (Concession Agreement) uliotakiwa kusainiwa kati ya Wizara ya Ujenzi na NSSF ulikuwa haujasainiwa, jambo lililoibua hoja kuhusu uhalali wa uendeshaji wa daraja na ukusanyaji wa tozo.

Mradi huu ni mfano wa ubia kati ya Serikali na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF). Kwa kuwa daraja lilifunguliwa mwaka 2016, kipindi cha miaka 30 cha uendeshaji wa NSSF kinatarajiwa kufikia karibu mwaka 2046. Hata hivyo, kuondolewa au kusitishwa rasmi kwa tozo kutaamuliwa kulingana na masharti ya mikataba, urejeshaji wa gharama, na maamuzi ya kiserikali.
Tozo bei rahisi sana hiyo,Congo wajapan sijui wachina wamejenga barabara zao kila sehemu sasa wao Tozo zao hakuna iliyo chini ya dola 50 na nyingine hadi dola 300 ile ya kasumbalesa..kutoka kasumbalesa mpk Kolwezi kwenda na kurudi unatoa Peage(tozo) hadi $ 2000
 
Acha uwongo, China sehemu gani raia wanalipa tozo ya daraja?
 
binafsi sioni tatizo la kuchaji kutumia daraja hata kama siyo kulipia deni, msisahau kuna repair na matengenezo ya daraja pia na hiyo yote in gharama kubwa ila tatizo ni kwamba ilipaswa kuwe na uwazi hiyo pesa inakokwenda na jinsi inavyotumika kuwe na auditing kama inatumika kutunza miundo mbinu ya daraja kwangu ni sawa ila kama inakwenda mifukoni mwa irani ambapo uwezekano upo basi hapo siyo sawa …
Kuna tatizo kubwa.

Kwamba wananchi hatulipi kodi maeneo mengine ambazo zingetosha kugharama hilo daraja?
 
Wabongo kila kitu uwa ni kulia lia tu na kulalamika, hawajui kua hayo madaraja sehemu nyingi duniani yanalipiwa hivyo na kuna barabara pia zinalipiwa kila unapokatiza kwenye hizo barabara. Hivi maintanances za hilo daraja mnadhani serikali itazitoa wapi watu wasipolipa?? Tatizo wabongo hawasafiri kuona dunia inaendaje wao wakisha enda Mlimani city na kidimbwi, samaki samaki basi wanaona wamemaliza.
 
Nashangaa watu wanaopinga kulipia daraja. Hata hao watangazaji hawajui kuwa michango yao ndio imejenga hilo daraja na lazima irudi vinginevyo mafao yao yapo hatarini. Nasema hivi nikiwa nalipa hapo darajani tangu limefunguliwa.
Unataka tuchangie nini zaidi ya kodi tunazotozwa katika mambo mengi? Au huoni hilo kuwa ni kuchangia. Na vipo tozo ya TANROADS katika kila lita ya diesel au petrol tunayonunua, bado haitoshi tu kwamba tunachangia?

Na kama ni halali sisi kuchangia hili daraja zaidi ya tozo za TANROADS na kodi, kwa nini hatuchangii kupita kwenye flyovers na madaraja mengine nchini?
 
Wabongo kila kitu uwa ni kulia lia tu na kulalamika, hawajui kua hayo madaraja sehemu nyingi duniani yanalipiwa hivyo na kuna barabara pia zinalipiwa kila unapokatiza kwenye hizo barabara. Hivi maintanances za hilo daraja mnadhani serikali itazitoa wapi watu wasipolipa?? Tatizo wabongo hawasafiri kuona dunia inaendaje wao wakisha enda Mlimani city na kidimbwi, samaki samaki basi wanaona wamemali.
Acha hizo za kujifanya ni mzalendo sana. Huu ni ukamuaji tu wa serikali kwa wananchi wake. Tunachangia sana, na kodi zote za miundo mbinu ya barabara serikali ilisema itaweka tozo kwenye kila lita ya petroli na diesel. Kuchangia daraja hili ni kutozwa kodi ya barabara mara mbili
 
Kwanza tufahamu kuwa Daraja la Kigamboni halikujengwa kwa mkopo wa kawaida wa serikali. Badala yake, lilijengwa kupitia mkataba wa aina ya DBFOT (Design, Build, Finance, Operate and Transfer). Chini ya mfumo huu, mwekezaji hubuni mradi, huujenga, hufadhili gharama za ujenzi, huendesha mradi na hukusanya mapato kwa kipindi kilichokubaliwa kabla ya kuukabidhi kwa serikali.
Mambo ya Kafulila haya
 
Nimeona hawa watangazaji wa Wasafi wakigusia kuhusu Daraja la Mwalimu Nyerere na kuhoji deni la ujenzi litaisha lini, kwa maana ya tozo zinazokusanywa kila siku, sasa ni lini deni la ujenzi wa daraja hilo litakuwa limekwisha.

Kwanza tufahamu kuwa Daraja la Kigamboni halikujengwa kwa mkopo wa kawaida wa serikali. Badala yake, lilijengwa kupitia mkataba wa aina ya DBFOT (Design, Build, Finance, Operate and Transfer). Chini ya mfumo huu, mwekezaji hubuni mradi, huujenga, hufadhili gharama za ujenzi, huendesha mradi na hukusanya mapato kwa kipindi kilichokubaliwa kabla ya kuukabidhi kwa serikali.

Soma: Tozo kwenye daraja la Nyerere Kigamboni zashushwa kwa bodaboda na bajaji. Bodaboda sasa kuvuka ni Tsh 300

Katika mradi huu, Serikali ya Tanzania ilichangia takribani asilimia 40 ya gharama za ujenzi, huku NSSF ikichangia takribani asilimia 60. Kutokana na uwekezaji huo, daraja liliwekwa mfumo wa tozo (toll) ili NSSF irejeshe fedha ilizowekeza pamoja na gharama za uendeshaji na matengenezo.

Kwa mujibu wa makubaliano ya mradi, kipindi cha ukusanyaji wa tozo ni miaka 30 tangu daraja lianze kutumika. Kwa kuwa daraja lilifunguliwa mwaka 2016, kipindi hicho kinatarajiwa kuendelea hadi takribani mwaka 2046, isipokuwa makubaliano hayo yabadilishwe rasmi.

Tozo zinazolipwa hutegemea aina ya chombo cha usafiri:

Pikipiki:
Kuanzia Tsh. 300/-
Bajaji: Kuanzia Tsh. 5,00/-
Gari dogo binafsi: Tsh. 1,500 kwa safari moja.
Mabasi, Malori na magari makubwa: Hutozwa viwango vya juu zaidi kulingana na aina na uzito wa gari.

Pia kuna mfumo wa bando (bundle passes) kwa watumiaji wa mara kwa mara ambao hupunguza gharama kwa kila safari.

Ni muhimu kufahamu kuwa fedha zinazokusanywa si ulipaji wa “deni la taifa” kwa maana ya mkopo wa kawaida, bali ni urejeshaji wa uwekezaji wa NSSF chini ya makubaliano ya mradi. Hadi sasa, hakuna tangazo rasmi la kubadilisha kipindi cha miaka 30 au kutangaza tarehe tofauti ya kusitisha tozo.

Gharama za Mradi wa Daraja la Kigamboni (Daraja la Mwalimu Nyerere)

Kwa mujibu wa taarifa za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), gharama ya awali ya mradi wa Daraja la Kigamboni pamoja na barabara zake za kuunganisha, kama ilivyoainishwa kwenye Mkataba wa Ufadhili wa mwaka 2014, ilikuwa Dola Milioni 143.50, sawa na takribani Tsh. Bilioni 238.71 kwa thamani ya fedha wakati huo. Gharama hiyo baadaye ilirekebishwa mwaka 2016 na kufikia takribani Tsh. Bilioni 328.90.

Mgawanyo wa Gharama

Kwa kuwa mradi ulitekelezwa kwa mfumo wa ubia kati ya NSSF na Serikali, mgawanyo ulikuwa:

NSSF – asilimia 60
Serikali ya Tanzania – asilimia 40

Gharama ya Awali USD milioni 143.50 (takriban TZS bilioni 238.71)
Gharama Iliyorekebishwa (2016) Takriban TZS bilioni 328.90

Hoja ya Malipo ya Serikali kwa NSSF

Ripoti ya CAG ilieleza kuwa kutokana na uwezo mdogo wa kifedha wa Serikali wakati wa utekelezaji, NSSF ilifadhili gharama yote ya mradi kwa wakati huo, na Serikali ilikubali kuirejeshea NSSF sehemu yake ya mchango pamoja na gharama zinazohusiana na kuchelewa kwa malipo (riba).

Ripoti ya CAG 2019/20 (Ukurasa wa 147):

CAG alieleza kuwa licha ya kuwepo kwa Finance Agreement, Mkataba wa Uendeshaji (Concession Agreement) uliotakiwa kusainiwa kati ya Wizara ya Ujenzi na NSSF ulikuwa haujasainiwa, jambo lililoibua hoja kuhusu uhalali wa uendeshaji wa daraja na ukusanyaji wa tozo.

Mradi huu ni mfano wa ubia kati ya Serikali na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF). Kwa kuwa daraja lilifunguliwa mwaka 2016, kipindi cha miaka 30 cha uendeshaji wa NSSF kinatarajiwa kufikia karibu mwaka 2046.

Aliyekuwa Naibu Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Patrobas Katambi, alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Kigamboni, Dkt. Faustine Ndugulile, bungeni Agosti 27, 2024.

Alisema:

"Hadi Julai 2024, katika miaka tisa ya uendeshaji, Tsh. Bilioni 102.18 zimekusanywa kupitia tozo mbalimbali." Pia alieleza kuwa, kwa mujibu wa upembuzi yakinifu, mradi unatarajiwa kurejesha Tsh. Bilioni 344 ndani ya kipindi cha miaka 30 kabla ya kukabidhiwa Serikalini.

Hata hivyo, kuondolewa au kusitishwa rasmi kwa tozo kutaamuliwa kulingana na masharti ya mikataba, urejeshaji wa gharama, na maamuzi ya kiserikali.
Asante kwa taarifa
 
Acha kukurupuka kama una bunzi makalioni wapi ambapo nimesema China wanalipa Tozo ya daraja?
Hata ulichokiandika huitambui, nitakusaidiaje?

Jitahidi utembee uone vitu kisha ujifunze kuandika baadae kuongea, itakusaidia maishani.
 
Back
Top Bottom