UONGO,Baada ya kushtukia hilo, Gadaffi alisema mafuta ni madini, yatauzwa kwa wateja wao, hususan Marekani kwa kubadilishana na madini kama dhahabu. Baada ya beberu kuu kuona hilo, akaona kiama chake kimefika. Akaona bora amuwaishe huyo mwamba Gadaffi.
UONGO,
Hakuna nchi inaweza kukubali kurudi kwenye barter trade karne hii.
Mimi si mwanauchumi wa kusoma (ila wa mitaani tu), kwani ukikopa toka kwenye biashara yako mwenyewe ndio inakufanya usalimike kama umeshindwa kujilipa?Deni la US liko kwa sarafu yao dollar
Tanzania deni letu liko katika sarafu ya dollar, anachofanya Mmarekani anajikopesha mwenyewe na kujilipa. Ndomana tunasema economics hoax
Dah mr Q imekuaje umekula ban?Ukikopa halafu ukaenda kuzitumia kunyonya nchi za watu ukapata mara mbili basi wewe utakuwa na akili. Ila ukikopa halafu ndege zako baadae zikakamatwa sijui hapo inakuwaje
Ok, Tuendelee kuchangia. Wote tuna fursa ya kuchangia kwa kuwa kila anayekula anaujua uchumi japo kwa level tofauti.Sina
Sikukurupuka. Ila katika uchumi hata topic moja sijawahi kusoma mahala panaposema ukijikopa mwenyewe, ndio una unafuu. Tena hii kiuchumi ni mbaya sana, maana ukilegeza kamba ukidhani ni fedha yako ndio unakwenda kufilisika kabisaaaaaaa.Shida yako ni kwamba umekurupuka tu kuandika Topic bila kuijua Marekani kwa kina, Kwanza Marekani inadaiwa na nchi gani?
Na Kama ni Benki ya Dunia basi hilo siyo Deni,bali Marekani ilijikopa yenyewe,kwa sababu Benki ya Dunia ni Taasisi ya Marekani yenyewe ili kuikalia Dunia kiuchumi
ππππUkikopa halafu ukaenda kuzitumia kunyonya nchi za watu ukapata mara mbili basi wewe utakuwa na akili. Ila ukikopa halafu ndege zako baadae zikakamatwa sijui hapo inakuwaje
πππ kuna mkatoliki mmoja humu hataki kuambiwa ukweli kuwa dhehebu lake limeingiliwa na mashoga akanipiga banDah mr Q imekuaje umekula ban?
Hahahaπππ kuna mkatoliki mmoja humu hataki kuambiwa ukweli kuwa dhehebu lake limeingiliwa na mashoga akanipiga ban
Pole sana! Sijui unaweza kukata Rufaa! Maana hii kesi utashinda kwa 100%.πππ kuna mkatoliki mmoja humu hataki kuambiwa ukweli kuwa dhehebu lake limeingiliwa na mashoga akanipiga ban
Sina haja ujumbe uliwafikia. Na nnaamini aloyenipiga BAN atakuwa ni mmoja wao. I dont care akinipiga tena banPole sana! Sijui unaweza kukata Rufaa! Maana hii kesi utashinda kwa 100%.
Hili neno msaada toka kwa bepari liangaliwe upya. Kwa kawaida pepari hatoagi msaada, kwani kila anachotoa utalipa kwa namna moja au nyingine. Ila wanajisikia fahari kutumia neno msaada.Na bado mtawaomba wasaidie bajeti yenu
Zipo nchi zinafanya biashara hiyo, hasa kwa wale walio wekewa vikwazo vya uchumi. Iran isingeweza ku-survive bila hiyo biashara.UONGO,
Hakuna nchi inaweza kukubali kurudi kwenye barter trade karne hii.