Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani misaada anatoa bure? Ukiona anatoa misaada nchi fulani ujue kunakitu anagain in return,au kunajambo lake anataka litekelezwe kutoka kwenye hiyo nchi kama ushoga, marekani hana misaada ya bure nandio maana nchi anazoshindwa kupata anachokitaka kwa mgongo wakutoa misaada hutumia nguvu zakijeshi ili tu apate anachokitaka!Kwanza ndio nchi ya kwanza duniani kwa kutoa misaada .........hakuna kama marekani............akisema sitoi misaada miezi 6 tu anakuwa adaiwi hata nukta
Mkuu hizi slums zipo wapi mkuu?MTEGEMEWA WA DUNIA NDANI HALI NI HII
View attachment 2861432
View attachment 2861433
View attachment 2861434
Mkuu hizi slums zipo wapi mkuu?
Haelewi Hakuna free lunch kwa mzungukwani misaada anatoa bure? Ukiona anatoa misaada nchi fulani ujue kunakitu anagain in return,au kunajambo lake anataka litekelezwe kutoka kwenye hiyo nchi kama ushoga, marekani hana misaada ya bure nandio maana nchi anazoshindwa kupata anachokitaka kwa mgongo wakutoa misaada hutumia nguvu zakijeshi ili tu apate anachokitaka!
Shida yako ni kwamba umekurupuka tu kuandika Topic bila kuijua Marekani kwa kina, Kwanza Marekani inadaiwa na nchi gani?Ukistaajabu ya Musa, utashangaa ya Farao.
Deni la Marekani kwa takwimu za 2023, limefikia $34 trilioni. Kiwango hiki kinaifanya Marekani kuwa kinara wa deni kubwa kabisa duniani. Kumbe hata matajiri wanakopa!
Chanzo:
Reuters
https://www.reuters.com/world/us/total-us-public-debt-tops-34-trillion...
US public debt tops $34 trln as Congress heads into funding fight
The U.S. federal government's total public debt has reached $34 trillion for the first time, the U.S. Treasury Department reported on Tuesday as members
My take: Ukiukumbatia ubebari, raha yake ni kukopa. Japo kulipa ni majanga.
Kweli wewe ni Dudu pengine aina ya mende,kwa hiyo Marekani inafilisika halafu Tanzania inatajirika , pathetic kabisa.Halafu wanakimbilia kuomba visa nchi inayokaribia kufilisika! Pathetic!
Kama siyo Raslimali,madeni ni mkojo?Madeni siyo rasilimali.
Marekani inadaiwa na nchi nyingiShida yako ni kwamba umekurupuka tu kuandika Topic bila kuijua Marekani kwa kina, Kwanza Marekani inadaiwa na nchi gani?
Na Kama ni Benki ya Dunia basi hilo siyo Deni,bali Marekani ilijikopa yenyewe,kwa sababu Benki ya Dunia ni Taasisi ya Marekani yenyewe ili kuikalia Dunia kiuchumi
Kama siyo Raslimali,madeni ni mkojo?
Acha kujitoa ufahamu kisa unaichukia Marekani
Hapo umesema. Tatizo la binadamu huangalia ya leo tu, ya kesho yatajulikana kesho.Halafu wanakimbilia kuomba visa nchi inayokaribia kufilisika! Pathetic!
Hii ni hatari, ndio maana wanbembelezana. Mara Taiwan, mara ndege na maputo ya ujasusi. Lakini s-power akiwaza inabidi amwite Chini na wakae kitako kuzungumza.Marekani inadaiwa na nchi nyingi
China inamdai matrillioni
![]()
China is in default on a trillion dollars in debt to US bondholders. Will the US force repayment?
Now that the relationship with China has soured and the People’s Republic of China has become the greatest adversarial threat to the U.S. and Western security, policymakers should revisit thi…thehill.com
Nani alimlazimisha afanye hivyo, si uroho wake tu.Funding of wars across the world ndio imechangia kiasi kikubwa
Trump Alishastuka, alilalama sana kwenye hilo. Mbeleni msitegemee tena hayo, kwani uwezekano wa bwana yuleee kurudi white house ni mkubwa.Na Marekani ndiye mchangiaji mkubwa wa bajeti za mashirika yote ya UN.
Wataalam kama wewe ndio tunaowataka hapo. Tupe mikoba ya National Accounts, ili nasi wa practical za mitaani tufunguke.Mimi naongelea kiutaalam, siyo kihisia, kihusuda au huba.
Sijui kama unafahamu kitu (National Accounts) Balance Sheet.
Una CPA?1. Deni la Marekani liko kwa Dola za Marekani.
2. Deni la Marekani sehemu kubwa ni deni LA ndani, Deni la watoa huduma na wafabiashara wa ndani, Mfano Boeing. Boeing hata akiiuzia Serikali ndege ya kijeshi ya Dola million 100 kwa mkono, Tanzania huku tunanua ndege Boeing kwa Dola million 110, % ya hela yetu itaenda kwenye Kodi ya Serikali ya Marekan, kwa hiyo Deni lao sio rahisi kuwa baya sana
Mimi naongelea kiutaalam, siyo kihisia, kihusuda au huba.
Sijui kama unafahamu kitu (National Accounts) Balance Sheet.
Nini kitakachotokea Kwa USD?Wataalam kama wewe ndio tunaowataka hapo. Tupe mikoba ya National Accounts, ili nasi wa practical za mitaani tufunguke.
SinaUna CPA?
Ngoja nasi tuchapishe. Kwa maana tumewaiga kuwa mabepari, hivyo hata hilo nalo litawezekana.
Deni la US liko kwa sarafu yao dollar
Tanzania deni letu liko katika sarafu ya dollar, anachofanya Mmarekani anajikopesha mwenyewe na kujilipa. Ndomana tunasema economics hoax