Hasara kivipi mbona unaropoka km umekalia moto???Mashamba yalinunuliwa hapa Bagamoyo...hio ni hasara.
SGR itakamilika mwaka Upi??[emoji23]
Ahahaahahahahahahahahahahahahaha brooo hii kitu imenivunja mbavu zangu.Role model
View attachment 1165361
So mwanajeshi wa Tz aliangushwa na risasi iliyopigwa umbali wa kilomita 10???Halafu naongea na bwege asiyejua yeyote.
Unazijua records za greatest range rifles zilizofanyika miaka ya nyuma??
British Corporal Craig Harrison alifyatua mtu kichwa kwa umbali wa 2.7 kilometers we unaniambia kuhusu 1.5 kilometers fala ww.
Rifle zako uchwara za KDF unazifananisha na za Wengine????
Kasome kwanza ndio urudi.
Na sniper alovunja record ya huyo mbritish ni Canadian soldier akifyatua kwa range ya 3.5 kilometers.
We unaniambia kuhusu 1.5 kilometers ndio maximum range ya rifle.
Hata Bagamoyo niliambiwa ningoje ikamilike.Hasara kivipi mbona unaropoka km umekalia moto???
Tarehe ya phase 1 A ni November mwaka huu we ngojea ikamilike ndio uongee.
Hata alkaeda, isis huingia miji kama ya London, New York Paris na kadhalika.Unachekesha ww.
Nani aliyeongoza brigade ya Congo???
Kama unajiweza Mbona hukuwanyamazisha Alshababs wameingia mpk westgate???
Kuna majeshi ya Uganda huko Somalia pia usinigeuze mtoto.
Huko Comoros na Congo licha ya kuwepo majeshi mengine brigade iliongozwa na TPDF.
Kaa ulijue hilo.
TPDF Ndio walikua frontlinier.
Na uliza AFD wanavyofyekwa huko sasa hivi.
Ndio maana wakawataka TPDF maawanaelewa how strong we are.
Bagamoyo imesitishwa kwasababu.Hata Bagamoyo niliambiwa ningoje ikamilike.
Hao Alqaeds,ISIS ni makundi ya USA hayo anayatumia for geopolitical reasons.Hata alkaeda, isis huingia miji kama ya London, New York Paris na kadhalika.
Sawa hiyo 3.5 kilometers ishavunjwa records zao na Masniper wa Delta Force mzee.So mwanajeshi wa Tz aliangushwa na risasi iliyopigwa umbali wa kilomita 10???
Wapi nimesema 1.5km?? Nimesema 1.6 miles ambayo ukifanya conversation inakuja 3.5 kilometers. Sasa Nani ndio bwege???
Lazima vijisababu dhidi ya BWAGAMOYO ila ukweli no kuwa fedha zilikosekana.Bagamoyo imesitishwa kwasababu.
Asa ww unalialia nn??
Si ndio ww uliyenena tukijenga hata centimetre 1 tukutag??
Tumeshajenga sasa zaid ya 50 kilometers .
We subir November ndio uongee.
Bagamoyo Nadhan ushaelezewa chanzo cha kusitishwa kwake.
Vile vile alshababe.Hao Alqaeds,ISIS ni makundi ya USA hayo anayatumia for geopolitical reasons.
Na wapo had majasusi wa CIA wakitoa mafunzo usiwachukulie poa.
Sasa unataka maanisha wanamgambo wa DRC Wana weapons advanced Sana Hadi wakawaangusha majeshi kwa kutumia sniper rifles zenye uwezo wa km10?Sawa hiyo 3.5 kilometers ishavunjwa records zao na Masniper wa Delta Force mzee.
Silaha daily zinakuwa advanced kuna rifle bro pengine hukuwahi kuziona.
Kwa mujibu wa report za jeshi hao wenyewe walipima lile tukio na kusema kuwa ile risas ilitoka range ya umbali huo.
Na siwez kuwakatalia ilhali kulikua na majeshi ya UN pia ya mataifa mengine.
Na alouliwa ni miongoni mwa mageneral wa jeshi letu.
Na wao ndio wamepima na kuleta conclusion hiyo.
Sijaropoka tu kwa matakwa yangu.
Bro hilo swali ungewauliza wanajeshi wa UN waloenda kuungana na JWTZ kutoa msaada Congo.Vile vile alshababe.
Sasa unataka maanisha wanamgambo wa DRC Wana weapons advanced Sana Hadi wakawaangusha majeshi kwa kutumia sniper rifles zenye uwezo wa km10?
Duuuh huu uongo unautoa wapi??Lazima vijisababu dhidi ya BWAGAMOYO ila ukweli no kuwa fedha zilikosekana.
Ingekuwa alshababe wapo Tz wangekuwa washa overrun Nchi nzima.Bro hilo swali ungewauliza wanajeshi wa UN waloenda kuungana na JWTZ kutoa msaada Congo.
Maana sio huyo tu alouliwa na rifle wapo wengine ila shooting range ni tofauti.
Mkuu hao Alshabab wavaa ndala wana nn???!!!
Kama sio nyie kutokuwa makini???
Propaganda za walioshindwa kuyafikia matunda tunawajua, wanasema kuwa ni mabichi.Duuuh huu uongo unautoa wapi??
China ilitaka ku finance mkopo wa ule mradi
Lakin mkopo ulikua nyonyez wakitaka waendeshe bandari miaka kadhaa ndio waikabidhi kwetu.
Hiko kitu mjomba Magu kakikataa.
Thubutu ya Munguuu.!!!!Ingekuwa alshababe wapo Tz wangekuwa washa overrun Nchi nzima.
Aya bro nadhan Umeona kinachowatokea Wakenya mradi wenu kuendeshwa na China kwa muda wa miaka 10.Propaganda za walioshindwa kuyafikia matunda tunawajua, wanasema kuwa ni mabichi.
Just imagine! Halafu ukiangalia faida yake ni miji ya Nairobi na Mombasa kukuua kiuchumi Tena kwa haraka na bila kusahau towns zilizokuwa hivi hivi kubadilika na kuwa kubwa bila kusahau ajira ya uchuuzi, usafiri na mengine mengi yatokanayo na SGR.Aya bro nadhan Umeona kinachowatokea Wakenya mradi wenu kuendeshwa na China kwa muda wa miaka 10.
Yani namaliza masomo yangu ya kuwa specialist of orthopedic ndio nyie mnarudishiwa mrad wenu wa sgr na China.
Korea????Flyover zote ni Grant kutoka kwa Jamhuri ya watu wa Korea.
January 2017 (if I rem correctly) Tanzania ilipokea loan ya $67m, alafu mda kidogo mkapokea ndege mnTatizo unaangalia kila media ya Tz na kuamin kilanunachoskia ..kwanza Deni letu halikuwa $16bn lilikuwa $19bn hyo 2017 mwishon...
DMDP 300mil usd loan
New Selender bridge 80% loan almost 120mil usd
Brt phase 2 loan 80% 160mil usd
Dar Port expansion 300mil usd loan
Ubungo Flyover 99mil usd loan
Hapo almost 1bil usd Loan zote hapo
Kuna project ni hela za ndani mfano phase 1 sgr Dar-Moro ni internal funds 1.2bn usd 100%
Kimara -Kibaha Highway ni internal funds
Buying new planes for ATC ni Goverment funds
New 67 district Hospitals ni goverment funds
Mtwara port expnasion 250mil usd ni govermnt funds
Moro-Singida 1.9bil usd 1.2bil usd ni loan ...700mil USD ni internal funds
Kwahzo project za juu hapo loans zinafika almost USD 2 bn ..hamna aliyebisha hatuchukui loans ..ila project nyingne nying ni funds za ndan..ushawai skia mtu anasema BRT au port expnasion ya Dar ni fedha za ndan?? ...