Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
Your external debt is not $24.9B as you mentioned above. According to CBK it's KSh 2,721.60B which is roughly equal to $27B+.
CC:
Deni lenu ni $27bn....au mmpenunguza $3bn in months ?
View attachment 1164325
Mimi ndo nilitumia external debt ya 2018 manake hio ndo nilikua nakumbuka offhead manake nishawahi kuongelea hili jambo miezi kadhaa iliopita..
Wakati huo huo wa March, 2018, external Privat sector debt ilikua approximately $5.9B
Kenyan firms foreign debt now at Sh587bn
Kenya’s private sector foreign debt stands at Sh586.8 billion according to the first-ever survey of such liabilities, much lower than the initial estimate of about Sh850 billion.
Kumaanisha wakati huo, deni la nje la serekali lilikua 24.9 - 5.9 = $19B
Sasa vile umeonyesha kwamba Most recent CBK data ya 2019 inaonyesha imefika $27 hata tukibakisha hio Private sector debt hapokaribu na $6B ......
$27B - $6B = $21B
Tukichukua deni la serekali Tz ikiwa $16B vs $21B Kenya .... Bado hii tofaiti si kubwa ukilinganisha na tofauti ya GDP zetu, au tofauti ya internal revenue collections na vile Kenya inajulikana kwa kuchukua mikopo mingi..... Hio tofauti ya $5B tunaeza tukaiona kwa mkopo wa kujenga KM 600 za SGR kutoka Mombasa mpaka Naivasha... Lakini ukiangalia bado tuna mikopo mingi sana tumechukua e.g zaidi ya $500m kupanua bandari, $400m Kujenga mabarabara, $490m kujenga bomba jipya la mafuta ya petroli kutoka msa hadi Nrb... $2B Euroboand loan ya miradi tofauti tofauti... etc Sasa huko Tz miradi yenu kama 300km SGR na ma barabara na stima mnasema mnajenga na hela zenu, hii $16B deni la nje la serekali inaenda wapi ilhali kila mradi mkubwa mnajenga na hela zenu za ndani????