Ummayed
JF-Expert Member
- May 21, 2019
- 6,155
- 2,580
Ahahhahhaahhaah aseee.Kama nilivyo sema hapo juu, Tz haifai kukumbwa na njaa wala utapiamlo unlike Arid Turkana. So hio tayari inaonyesha udhaifu na umaskini wenu.
Huwezi ukalinganisha Egypt na Kenya. All Cities and human habitation have been along the mighty Nile for thousands of Centuries. Northern Kenya has seosonal or non existent rivers.
Mchezo wa dondi tushanyakua dhahabu je nyinyi?
Kijeshi pia tuko ranked juu yenu Kama kawaida so bisha na stats afu tuko Somalia nyie hampo kwa uoga.
Mchezo mnaitushinda ni wa mdomo tu. Nionyeshe Jambo moja mnalotushinda hata moja using statistics sio mdomo tafadhali. Povu ruksa.
Hata Iran yupo ranked wa 11 among elite forces lakin kawazidi mabeberu kwa uwezo wa kivita.
China ranked no.3 lakini ana vinu vya ballistic ambavyo vingine vya siri US hajui na haviwez.
Uwezo wa kijeshi ni kwa action sio statistics tu.
India imekuwa ranked ya nne ila kijeshi inaburutwa na Pakistan ya 20 huko.
Kipimo cha jeshi ni uwezo wa kivita na ushindaji wa. Vita sio statistics tu za kipuuzi.
JWTZ kuna list moja ya most elite forces top 30 JWTZ Iliwekwa ya 25 na sikuona jeshi la taifa lingine la Africa isipokuwa JWTZ tu.
Na waliweka kipimo cha uwezo wa ushindaji vita.
Kdf mmeshinda mission ipi km sio kuiba mikate tu Westgate ??