DENI LA TAIFA: Benki ya dunia yaitahadharisha Tanzania

DENI LA TAIFA: Benki ya dunia yaitahadharisha Tanzania

Hatuwafagilii mabeberu sisi. Kama madiwani tunawanunua kwa hela zetu sisi wenyewe miradi midogo midogo ndio itatufanya tukope? Nchi yetu ni donor country! Tunawadai S.Afrika na Namibia hela nyingi sana.
 
"Hata hivyo, Benki ya Dunia inasema uwiano wa deni la Taifa na pato la taifa (GDP) kwa mwaka 2018 ulikuwa asilimia 40.1 zikiongezeka kutoka asilimia 37 za mwaka uliotangulia. Pamoja na ukweli huo, uwiano huo ni chini ya ukomo wa asilimia 70 unaopendekezwa kimataifa."

Hii ni kauli inayotumika sana kutetea ongezeko la deni la taifa. Hata hivyo kwa maoni yangu nchi inaweza kushindwa kulipa deni hata kama haijafikia hizo asilimia 70. Pale ambapo miradi unayoifanya haitachochea kuuaji wa uchumi kwa kasi ya matumizi ya kawaida katika nchi unahitaji mkwamo kidogo kushindwa kulipa deni. Na ukishapata changamoto moja tu itaathiri ukuaji wa uchumi na kuleta athari ambayo yaweza kuea endelevu na nchi ikashindwa kujitoa.

Hii ni sawa na mtu binafsi, unakopa deni pengine ni asilimia 40 ya mapato yako (ambayo inaweza kuwa mshahara wako). Mwezi mmoja au zaidi unajikuta una matatizo ambayo yanakufanya ushindwe kulipa (km ugonjwa au kitu kingine kinachoathiri mapato yako). Kumbuka deni lako na riba vinaendelea kuongezeka. Ikiwa deni hilo halikuwekwa katika uzalishaji utajikuta na tatizo la kudumu.

Nchi zetu hizi zinazoitwa zinaendelea, wakati mwingi tinaingizwa katika misukosuko ya kiuchumi bila kujijua. Ndiyo maana naunga kauli ya WB kuwa makini na madeni haya. Yataturejesha kwenye uchumi wa kitumwa. Binafsi sizipendi hizi Taasisi za kimataifa, na hasa WB na IMF kwa sababu hazitendi kusaidia nchi masikini kuondoka katika umasikini. Wakikusifia kuwa uchumi wako unakua kumbuka wana kitu wanakitaka au wanataka ukope zaidi ili ufikie sehemu uwe watumwa wa hilo deni. Wakikuonya kuhusu deni, jiadhari.
 
Watanzania wote tunatumia choo kimoja cha kike. ndo maana mabeberu wanatsutua wakijua huwa hatujitambui.
 
Aaaah si ndio maana Mkuu.Kagame aliwataka viongozi wa Africa tuwaangalie hawa jamaa kwa jicho makin na most of time tuwapuuzie kwa takwimu zao.
Hao kila siku wanakuja na takwimu zao tusha wazoea
 
Njaa tupu huku, ndio sababu tunaomba mahindi tani milioni moja, ili tusiendelee kufa njaa.
Si mkule tu kinyesi ndugu.
Sisi huku Kenya tunanunua Mahindi kutoka kwenu kwa hivyo sioni vile sisi tutawauzia mahindi. Pole kwa njaa Kali huko Tz ningeomba Zambia iwauzie Mahindi msikufe kwa kula Kinyesi.
 
Aaaah si ndio maana Mkuu.Kagame aliwataka viongozi wa Africa tuwaangalie hawa jamaa kwa jicho makin na most of time tuwapuuzie kwa takwimu zao.
Ndio umetoka shule kuelimishwa elimu ya madrassa...kwani huko hamfunzwi kutumia akili bali kutumia makalio
 
MK254, hivi kwanini Wakenya mnapenda sana kujilinganisha na TZ wakati nyie kiwango chenu cha ushindani ni USA?

Hatujilinganishi ila tunawakumbushia kila siku kwamba mpo ligi ya chini, tatizo mnapenda kujiweka muonekane kwenye level yetu.
Ipo siku mtapasuka mkiendelea kushindana na ndovu...
 
Ndio umetoka shule kuelimishwa elimu ya madrassa...kwani huko hamfunzwi kutumia akili bali kutumia makalio
Ni kawaida yenu kutukana.
Endelea kutukana.Mwenye akili timamu anaelewa nilichoandika mfa njaa wa Turkana ww.
 
Utampongeza wewe hakuna ulazima wowote wa kujenga sgr dreamliner na hata stiglaz kwa sasa
Why bcoz hakuna mzigo wowote kanda hiyo Wala growth rate ya cargo sio kubwa kuhitaji sgr
Pili ukuaji wa sekta ya umeme yaani consumption rate ya umeme sio kubwa kiasi kuhitaji megawati 2100 za trions of money,ushahidi ni Kenya yenye uchumi mkubwa twice ours na connectivity kubwa tena ya viwanda lakini consumption iko chini ya megawati 2000 likewise Ethiopia so stiglaz ya nn wakati huu tu uliopo una surplus.Kwa nini tusiwe tunawekeza mid sized Hydro zilizoko Njombe? Ili baadae sana uchumi ulivuka gdp ya 100 USD ndio tufikirie kuwekeza huko?
Tatu sikuona sababu za msingi kufufua shirika la atcl kwa cash money na kwa haraka ikizingatiwa kwamba watu wa Tzn ni maskini hakuna wapanda ndege tungesubiri tufikie uchumi wa kati ndio tufanye hayo hata hasara na kutoa ruzuku kwa hayo mashirika ingekuwa kidogo kuliko sasa
Mwisho hayo mapesa yangewekezwa kuimarisha barabara kila kona ya nchi na kuifungua plus biashara, viwanda,kilimo,utalii,uvuvi,ufugaji,strategic airports na bandari yangeleta tija zaidi kwenye uchumi kuliko ambavyo yamevuruga uchumi na yatakuwa white elephants kwa miaka mingi ijayo coz lazima pesa zitafutwe upya kuwezesha hizo sekta ili hiyo miradi iweze kuwa na tija.Imagine mtu anajenga daraja la bln 700 la show off tutafika kweli?
Siku Disney Park ya kwanza inafunguliwa the brain behind it Walter Disney kwa bahati mbaya alifariki siku chache kabla.

Kwenye sherehe ya uzinduzi kaka wa marehemu Roy aliulizwa na waandishi it’s a shame Walter is not here to witness this beautiful park. Jibu lake lilikuwa hapana mimi na nyie leo ndio tunaona uzuri wa hii park, lakini Walter huu uzuri alishauona kichwani kwake kabla hata ya tofali moja kujengwa ndio maana tuko hapa asingeona hilo hii theme park isingekuwepo hapa.

Infrastructure projects sijui unaanzia wapi unamalizia wapi to give you a perspective ni watu waliojenga railway ndio waliofanya US ipae kiuchumi, ni watu waliojenga canals ndio waliofanya industrialisation iwezekane Europe yaani infrastructure ndio backbone ya uchumi.

Huko mbeleni watu wakianza kutumia SGR
na kupata umeme wakiambiwa nani alifanya hayo ndio watamshukuru Magu, kwa ivyo ni bora kwasasa ajenge tu mi sioni sababu ya yeye kuelezea linapokuja swala ya miundombinu ni kujenga tu.
 
Ili tuendelee tunahitaji mambo manne tu nayo ni;

1)Watu
2)Ardhi
3)Siasa safi.na
4)Uongozi bora.

Haya tulikaririshwa sana na walimu wa UPE.tangu shule ya msingi mpaka chuo kikuu. ndo ilikuwa siasa ya nchi yetu. mnatuchanganya sasa, tushike lipi kama hamtaki tena tuongezeke idadi yetu, haya tizama China mbona ina watu wengi na siyo Maskini?. Juzi tu mmeona matusi ya India kafanya safari ya gharama kubwa kuelekea kaskazini ya mwezini watawasili Septemba, na ni wengi kwa idadi hatari, hapa tunalishwa matango poli tu and its Utterly Miseducation endemic corruptions in Africa hii.

Hivi hawa Easy going professors wa Bongo wanakubalianaga nini huko kwenye vikao vya Breeton wood na wazungu?, wanaendaga kuvembewa na kutoa ushuzi tu na kusinzia baasi! hawana guts za ku-argue, eti wanachelea kuvuliwa u-professor wao. hawako upande wetu, wanatumiwa tu. hawana maana kabisa, tupelekage vijana smart wenye elimu ya kati. huyu Wangwe huyu heee!! aibu sana hiki cheo. wanajisikiaaa ufahari initial name zao kuitwa Pof; so!! and so!! ole wenu ashike madaraka kichaa anawavua zote. kila afanyaye mabadiliko ya msingi nchini ndo apewe rasmi u-professor. SO SAD TO PROFESSOR-SIZE IN THE SLAM'S HEAPS OF TRASHES AND WALKING COMFORTABLY.

Ukitoa zile NPP award za literatures, politics nk, hatuna hard core science Nobel prizes award. kama vile, Chemistry, Physiology or Medicine hatuna Africa yoote ya weusi. sana tumepata km ile ya kukariri theories za wazungu alopewa Denis Mukengere. ndiyo hawa maprof; vilaza wetu wanazitamani pia. sijui wamekula maharage ya wapi?
 
Kwani kiwango cha juu (mwisho) cha kukopa ni ngapi? Pia, kwani idani ya juu (mwisho) ya madeni ni ngapi?
 
Watanzania huwa mnatusema sana kuhusu madeni, nyie mnajisifia kufanya kila kitu kwa pesa zenu za ndani, sasa inakuaje Benki kuu inawasema na kuwatahadharisha.
Bora sisi tuna mikopo lakini tupo kwenye uchumi wa kati, lakini ujilimbikize mikopo na bado unatajwa kwenye mataifa maskini, ni hatari sana..
-------------------------

Licha ya Serikali kutekeleza miradi mikubwa ya maendeleo inayotarajia kuboresha masisha ya wananchi, Benki ya Dunia imetahadharisha kuhusu ukopaji unaofanywa na Serikali.

These are productive project no problem, mfano Rufiji ikiisha ina uwezo wa kirudisha pessa yake yenyewe
 
Mla kinyesi wa Tz we [emoji16][emoji16]
Oh pole yako waliokula kinyesi ni familia moja huko Bukoba tena ni cha mbuzi na alokula ni mtoto mdogo wa wahanga wa hyo familia kwa kukosa uvumilivu pind mkubwa wao aendapo tafuta chakula.
Hii ni gap kubwa kulinganisha na the entire Turkana kufa njaa.
 
Musiba hebu angalia hawa mabeberu wameanza tena kutuchokonoa hebu waanike madudu yao hapa. Ishauri CCM iachane nayo ingombanisha Viongozi na wananchi wao. Tanzania hatuna shida na deni, SGR na Sigler's tunajenga na hela yetu watuache bana.
 
Oh pole yako waliokula kinyesi ni familia moja huko Bukoba tena ni cha mbuzi na alokula ni mtoto mdogo wa wahanga wa hyo familia kwa kukosa uvumilivu pind mkubwa wao aendapo tafuta chakula.
Hii ni gap kubwa kulinganisha na the entire Turkana kufa njaa.
So Bukoba is your Tukana 😂😂😂
 
So Bukoba is your Tukana [emoji23][emoji23][emoji23]
Try to hide your stupidity sometimes.
Tabu ya njaa ya familia moja usilinganishe na ukanda mzima.
Turkana nzima is known for hunger and famine while Tanzania some families are facing hunger.
Can you measure the difference over there??
And in Tanzania there is only hunger (in need of food) but no famine (extremely shortage of food ) while Kenya there is in need of food (hunger) and extremely shortage of food (famine ).
Can you see some difference over there??
 
Back
Top Bottom