Hata huko nako mwisho tutakwama kwa sababu ni walewaleUkiona mtu anaenda kuongea na the “London Club” (jumuiya ya mabenki) moja kwa moja jua upande wa pili (IMF/WD) kushakuwa kugumu.
Sio jambo jipya hata Dr Mpango sio muda mrefu alisema kuwa upande wa pili wamekuwa na masharti mengi wanatafuta wakopaji wengine.