[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Musiba njoo huku benki ya dunia wamekuja!!!. Akina Kinana, Nape na Membe wanaitumia benki ya dunia kuichafua serikali tukufu ya rais wa wanyonge. Benki ya dunia iache mara moja tabia za kuichonganisha serikali na wananchi.