DENI LA TAIFA: Benki ya dunia yaitahadharisha Tanzania

Hata huko nako mwisho tutakwama kwa sababu ni walewale
 
Hahaha hawa benki ya dunia nia yao siyo nzuri. Tunajenga miundombinu kwa pesa za ndani, hizo pesa wanadai tumekopa lini?! Ili tufanye nini?!
Waitwe wajieleze kwanini wasifukuzwe nchini?! Sisi tukope banki ya dunia?! Wanampiga vita rais,Kwa kuwa anajenga miundo mbinu kwa pesa yetu ya ndani, lazima watakuwa wanatumiwa na CHADEMA kuidhalilisha serikali ya ccm, hawataweza.
 
lakini kwani hilo deni linapanda vip wakati miradi mingi tunaifanya kwa pesa zetu za makusanyo ya kodi +kubana matumizi still deni linapanda? how comes?
 
Hata huko nako mwisho tutakwama kwa sababu ni walewale
Halafu wanariba kubwa zaidi uzuri kwa wapenda kukopa irresponsibly wao hawapo sana concerned na mambo ya IMF au WB wenye wasi wasi ukitumia asilimia kubwa ya mapato kulipa deni utakosa hela za kutoa huduma muhimu za jamii na mwishowe IMF/WB wanaweza kukuhurumia kiasi cha deni.

Kwa upande wa banks wanachojali ni cash flow tu ya wewe kuweza kulipa na hakuna msamaha they can restructure debt lakini awajali sana shida zako hela yao lazima irudi kwa namna yoyote ile.
 

Nchi ya viwonders
 
Hatari
 
Watakuwa wanatumiwa na Zito na Mbowee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…