Deni la Taifa in and out, kinachoumiza sio kukopa ni matumizi ya kinachokopwa

Naanto Mushi

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
6,236
Reaction score
15,677
Hii dhana ya deni la taifa huwa inawapa shida sana watu wengi.

Shida kubwa inakuja kwenye usahihi wa upimaji wa deni la taifa.

Kuna njia mbili za kuangalia deni la taifa.

1. Absolute term - hii ni kama Ndugai alichofanya leo. Kuangalia deni la taifa kama namba mfano ni kusema deni limefika Trillioni 70. Madhara ya kuangalia deni in absolute term ni kwamba haitoi picha halisi na haisemi maana yake ni nini?.. Wala haiwezi kukuambia kama deni ni kubwa au dogo. Hichi ndo kafanya Ndugai leo.. anasema deni linakuwa kwa kasi limefika Trillioni 70.. So, what does it mean? Je ni kubwa au ni dogo? Na kwanini?

Ukiangalia absolutely huwezi kamwe kujijibu hayo maswali hapo juu.

Njia ya pili ya kuangalia deni la taifa ni

2. Relative terms - hapa ni unafananisha deni la taifa na pato la taifa (GDP). Kwa mfano, ikiwa deni la Taifa ni Trillioni 70 na pato la taifa ni Trillioni 145 maana yake in relative terms deni la taifa litakuwa 70/145 au 48% ambayo ki masuala ya mikopo hiyo bado ni stahimilivu ki nadharia, ukichukulia mfano kama una mshahara wa Sh. 145k na unadeni la Sh. 70k maana yake ni kwamba unaweza wa kulipa unachodaiwa na bado ukabakiwa na salio la karibu nusu.

Idea hapa ni kwamba kasi ya ukuaji wa GDP kama ni kubwa itafuta kabisa impact za deni kwa nchi, ila vice versa is true, GDP ikidondoka deni lazima litakuua.

Kwa maana hiyo, ukiwa unamulika in relative terms, ni kweli deni la taifa linaweza kukua in absolute terms mfano kutoka 70 Trillioni to 80 Trillioni to 90 Trillioni.. So hapo Ukitumia jicho la Ndugai maana yake deni linapaa, lakini ukiangalia in relative terms, kama GDP yaani pato la taifa nalo linakuwa kwa kasi kubwa kuliko ukuaji wa deni la taifa maana yake ile ratio ya deni la taifa to GDP itakuwa inashuka hata kama deni la taifa linakuwa in absolute terms.

Hivo basi, swali kubwa la kuulizwa siku zote ni' ..... Je, uchumi wetu unakuwa kwa kasi kuzidi deni la taifa?

Hilo ndilo swali ambalo Ndugai na watanzania wote tunapaswa kuuliza.. Maana yake kama uchumi haukui kwa kasi kuzidi ukuaji wa deni la taifa, then ni kweli kwamba tunaelekea kwenye debt crisis kama hofu ya Ndugai na watanzania wengine. Yaani debt crisis itakuwa ni kwamba pato la nchi halitaweza kuhimili madeni yanayokopwa na impact ya hichi kitu huwa ni mpasuko wa kiuchumi wa nchi husika, madhara yake huwa hayapimiki.

Kwa maana hiyo basi, kama tumeelewana kwenye hoja namba moja kuhusu tafsiri haswa ya deni la taifa, nataka kugusia hoja yangu namba mbili, ambayo ndiyo haswa shida kubwa mimi binafsi nnayoiona kwenye deni la taifa la Tanzania.

"Matumizi ya kinachokopwa"

Matumizi ya deni ndo mchawi mkubwa wa deni la taifa la Tanzania.

Kwa sababu ni aina ya matumizi ya mkopo ambayo itakuambia kwamba, mikopo unayokopa itakuza uchumi (GDP) au la. Angalia mfano hapa chini tuelewane vema

Mfano. mwalimu mwenye mshahara wa laki 7 anaweza kukopa Milioni 10 benki kwa mkopo wa makato ya laki 3 kwa mwezi.

Kuna utofauti mkubwa wa kati ya haya matumizi ya mkopo ambayo ni possible kwa mwalimu

1. Kununua gari la kutembelea - Hii haitakuza uchumi wa mwalimu kwasababu gari ambalo amenunua mwalimu halitaweza kutengeneza kipato kwa sababu lenyewe litakuwa linataka kuhudumiwa kila mwezi. Mafuta, service etc, ukichanganya hizi gharama na marejesho ya mkopo, unaona kabisa kwamba mkopo aliokopa mwalimu utakuwa ni chanzo cha kurudisha maendeleo yake nyuma. Maana mshahara ukitoka, akitoa laki 3 ya kulipa mkopo, pesa ya service, pesa ya mafuta, kodi ya nyumba... Tayari habakiwi na chochote... anaendelea kuwa masikini mwenye misururu ya madeni.

2. Lakini vipi kama mwalimu akitumia mkopo wake wa milioni 10 kununua uba au taxi au daladala? maana yake ni kwamba amewekeza mkopo wake kwenye wealth generating mashine ambayo kwanza itatoa ajira, itampa kipato yeye mwenyewe na atafanya maendeleo yake mwenyewe.. Yes in relative term deni au mkopo aliokopa mwalimu utakuwa umezaa utajiri kwa mwalimu na madhara ya hilo deni wala hayawezi kamwe kumuumiza mwalimu.

Tafasiri
Mfano wa kwanza. Mwalimu kachukua mkopo ambao matumizi yake hayana economic benefit.

At national level, haina tofauti na Magufuli kukopa na kujenga uwanja chato..no economic benefit.. kuna project chungu mbovu za dizaini hiyo katika nchi yetu tunazishughudia kila siku...

Most of these loans, huwa inaishia kwenye Operating expenses na white elephant projects ambazo huwa hazina mchango kwenye kukuza uchumi wa nchi directly.. Kama kununua mindege ile.. return yake uki compare na projects cost unaona kabisa ni mimba kwenye uchumi...

Ili kukuza uchumi wa nchi inatakiwa mikopo ielekezwe kwenye capital expenditure na tena kuwe na feasibility study za kutosha na wananchi tupewe mda wa kuchambua na kutoa maoni juu ya matumizi ya mikopo ili tuone kama itakuza uchumi au la.

Hayo ni kwa ufupi tu hili suala jinsi lilivo.

Ukiingia deep sana, utaanza kujiuliza, Je, wabunge ambao ndio wanapitisha hizi matumizi ya mikopo, wanaelewa kiasi gani?

Je, demokrasia ya kuwapata ipoje?

Kuna mlolongo mrefu sana, na kwa mfumo uliopo Tanzania kwa sasa, ni kweli kabisa hatutakwepa a debt crisis.. ni suala la muda tu.
 
... awamu ya 5 haikuwahi kukopa popote kwa ajili ya kuendeshea iwe shughuli za kiutawala au kimaendeleo maana fedha zilikuwepo tena fedha za ndani! Ghafla deni limefikaje 70 tr/-? Tunaomba majibu ya hili.
 
Hii dhana ya deni la taifa huwa inawapa shida sana watu wengi.

Shida kubwa inakuja kwenye usahihi wa upimaji wa deni la taifa. Kuna njia mbili za kuangalia deni la taifa.

1. Absolute term - hii ni kama Ndugai alichofanya leo. Kuangalia deni la taifa kama namba mfano ni kusema deni limefika Trillioni 70. Madhara ya kuangalia deni in absolute term ni kwamba haitoi picha halisi na haisemi maana yake ni nini?.. Wala haiwezi kukuambia kama deni ni kubwa au dogo. Hichi ndo kafanya Ndugai leo.. deni linakuwa kwa kasi limefika Trillioni 70.. So, what does it mean? Je ni kubwa au ni dogo? Na kwanini?

Ukiangalia absolutely huwezi kamwe kujijibu hayo maswali hapo juu.

Njia ya pili ya kuangalia deni la taifa ni

2. Relative terms - hapa ni unafananisha deni la taifa na pato la taifa (GDP). Kwa mfano, ikiwa deni la Taifa ni Trillioni 70 na pato la taifa ni Trillioni 145 maana yake in relative terms deni la taifa litakuwa 70/145 au 48% ambayo ki masuala ya mikopo hiyo bado ni stahimilivu ki nadharia, ukichukulia mfano kama una mshahara wa Sh. 145k na unadeni la Sh. 70k maana yake ni kwamba unaweza wa kulipa unachodaiwa na bado ukabakiwa na salio la karibu nusu.

Kwa maana hiyo, ukiwa unamulika in relative terms, ni kweli deni la taifa linaweza kukua in absolute terms mfano kutoka 70 Trillioni to 80 Trillioni to 90 Trillioni.. Ukitumia jicho la Ndugai maana yake deni linapaa, lakini ukiangalia in relative terms, kama GDP yaani pato la taifa nalo linakuwa kwa kasi kubwa kuliko ukuaji wa deni la taifa maana yake ile ratio ya deni la taifa to GDP itakuwa inashuka hata kama deni la taifa linakuwa in absolute terms.

Hivo basi, swali kubwa la kuulizwa siku zote ni 'Je, uchumi wetu unakuwa kwa kasi kuzidi deni la taifa?

Hilo ndilo swali ambalo Ndugai na watanzania wote tunapaswa kuuliza.. Maana yake kama uchumi haukui kwa kasi kuzidi ukuaji wa deni la taifa, then ni kweli kwamba tunaelekea kwenye debt crisis kama hofu ya Ndugai na watanzania wengine. Yaani debt crisis itakuwa ni kwamba pato la nchi halitaweza kuhimili madeni yanayokopwa na impact ya hichi kitu huwa ni mpasuko wa kiuchumi wa nchi husika, madhara yake huwa hayapimiki.

Kwa maana hiyo basi, kama tumeelewana kwenye hoja namba moja kuhusu tafsiri haswa ya deni la taifa, nataka kugusia hoja yangu namba mbili, ambayo ndiyo haswa shida kubwa mimi binafsi nnayoiona kwenye deni la taifa la Tanzania.

"Matumizi ya kinachokopwa"
Matumizi ya deni ndo mchawi mkubwa wa deni la Tanzania. Kwa sababu ni aina ya matumizi ya mkopo ambayo itakuambia kwamba, mikopo unayokopa itakuza uchumi (GDP) au la.

Mfano. mwalimu mwenye mshahara wa laki 7 anaweza kukopa Milioni 10 benki kwa mkopo wa makato ya laki 3 kwa mwezi.

Kuna utofauti mkubwa wa kati ya haya matumizi ya mkopo ambayo ni possible.

1. Kununua gari la kutembelea - Hii haitakuza uchumi wa mwalimu kwasababu gari ambalo amenunua mwalimu halitaweza kutengeneza kipato kwa sababu lenyewe litakuwa linataka kuhudumiwa kila mwezi. Mafuta, service etc, ukichanganya hizi gharama na marejesho ya mkopo, unaona kabisa kwamba mkopo aliokopa mwalimu utakuwa ni chanzo cha kurudisha maendeleo yake nyuma. Maana mshahara ukitoka, akitoa laki 3 ya kulipa mkopo, pesa ya service, pesa ya mafuta, kodi ya nyumba... Tayari habakiwi na chochote... anaendelea kuwa masikini mwenye misururu ya madeni.

2. Lakini vipi kama mwalimu akitumia mkopo wake wa milioni 10 kununua uba? maana yake amewekeza mkopo wake kwenye wealth generating mashine ambayo kwanza itatoa ajira, itampa kipayo yeye mwenyewe na atafanya maendeleo yake mwenyewe.. Yes in relative term deni au mkopo utakuwa umezaa utajiri kwa mwalimu.

Mfano wa kwanza. Mwalimu kachukua mkopo ambao matumizi yake hayana economic benefit. At national level, haina tofauti na Magufuli kukopa na kujenga uwanja chato..no economic benefit.. kuna project chungu mbovu za dizaini hiyo katika nchi yetu..

Most of these loans, huwa inaishia kwenye Operating expenses ambazo huwa hazina mchango kwenye kukuza uchumi wa nchi.

Ili kukuza uchumi wa nchi inatakiwa mikopo ielekezwe kwenye capital expenditure na tena kuwe na feasibility study za kutosha na wananchi tupewe mda wa kuchambua na kutoa maoni.

Hayo ni kwa ufupi tu hili suala jinsi lilivo.

Ukiingia deep sana, utaanza kujiuliza, Je, wabunge ambao ndio wanapitisha hizi matumizi ya mikopo, wanaelewa kiasi gani?

Je, demokrasia ya kuwapata ipoje?

Kuna mlolongo mrefu sana, na kwa mfumo uliopo Tanzania kwa sasa, ni kweli kabisa hatutakwepa a debt crisis.. ni suala la muda tu.
Asiyetaka kuelewa aache mwenyewe...Umeeleza vizuri vya kutosha...Mimi ninachoona watu tupo kishabiki na makundi bila kujali madhara yanayotukabili mbele ya safari...Huko tukiingia kwenyw crisis sijui nani ataulizwa?

Tanzania tuna shida ya kupenda makundi na kutetea wapendwa wetu bila kujali madhara mapana ya ki nchi...Neno uzalendo ni la kisiasa, wengi ni wachumia tumbo zaidi bila kuona mbali...Maana hata ukiwa mchumia tumbo kama unaogopa madhara ya wote huwezi kushabikia mambo ya aibu kama haya
 
😁😁😁
16407039515591.jpg
16407039395440.jpg
 
Thanks mkuu nimejaribu kuweka in simple terms. Hii subject matter ya deni la taifa ni pana mno mno mno..

Na wasichoelewa viongoz wengi wa kiafrika ni kwamba madeni huwa ni silaha ya kuangamiza hizi nchi especially nchi zisizofuata demokrasia.

Wazungu ni kweli wanaumizwa sana na uvunjifu wa haki za binadamu Tanzania lakini jiulize mbona WB na IMF na mashirika mengine wanazidi kuikopesha Tanzania?

Maana yake ni kwamba wanataka wakujaze madeni kiasi kwamba iwe rahisi huko mbeleni kukupiga vikwazo vya kiuchumi.
 
Ndiyo kusema hao wahuni waliotoka mapangoni hawajaona miradi iliyofanywa na awamu ya ^tar-know^?
Swali sio kutumia fedha za mikopo kujenga hayo sijui madude dude.. mauwanja etc.

Swali ni je, unawekeza kwenye economic viable projects?

Mfano labda kujenga bwawa la kufua umeme na SGR are these really economic viable projects?..

Maana yake ikiwa dunia inaelekea kwenye global warming, ukitokea ukame na maji yakiwa kidogo, maana yake hilo bwawa la umeme ni mimba..

So utakuwa unalipa mkopo wa watu halafu bado unabaki na mashida ya umeme..
 
Kuna mlolongo mrefu sana, na kwa mfumo uliopo Tanzania kwa sasa, ni kweli kabisa hatutakwepa a debt crisis.. ni suala la muda tu.

Na hilo ndilo analolisema Ndugai kuwa tusipoangalia nchi itakuja pigwa mnada!!! Kuna madeni nchi ilikopa enzi ya Kikwete kutoka kwenye private banks , fedha zile mpaka hivi leo haijulikani kama zililetwa nchini na kama zililetwa zilitumika kwa shuhuri zipi!! Mustapha Mkullo Akiwa waziri wa fedha na ni kati ya hiyo mikopo kutoka benki za USWISS!!!
I wish a special audit was conducted to find out how those loans were expended!!!

Hopefully, utamaduni alioanzisha Rais Samia wa kutangaza kiasi nchi ilichokopa nje ya nchi na jinsi itakavyotumika utakuwa ENDELEVU for the sake of transparency by the government!!
 
Kwa muundo huo tuangalie uwiano wa miradi iliyokuwepo awamu ya tano na kilichokopwa.

SGR....

Stiglers....

Bombardier & dreamliners...

Ujenzi wa barabara, vituo vya afya, n.k..

Kununua wapinzani...
Exactly... mfano kwenye mandege.. umekopa zaidi ya Trillioni umeweka kwenye loss making company..

hapo haina tofauti na mwalimu aliokopa akanunua gari la kula bata. wote wanaumia maana ili serikali ilipe deni itabidi itafute pesa kwenye vyanzo vingine kwa sababu hayo mandege hayagenerate chochote...
 
Hongera kwa uchambuzi wako mzuri umetupa elimu kubwa .Sasa kama ulivoeleza inajulikana kabisa mikopo yetu mingi ni ya kama mwalimu kununua gari ya kutembelea it means mikopo inaenda kwenye miradi ambayo haizalishi faida .
Tunakuomba utoe solusheni nini kifanyike ili tusije kuwa kama Nchi ya Ugiliki serikali yao ilivofilisikaga.
 
Exactly... mfano kwenye mandege.. umekopa zaidi ya Trillioni umeweka kwenye loss making company..

hapo haina tofauti na mwalimu aliokopa akanunua gari la kula bata. wote wanaumia maana ili serikali ilipe deni itabidi itafute pesa kwenye vyanzo vingine kwa sababu hayo mandege hayagenerate chochote...
But huoni kama faida inaweza kuwa generated mbele ya safari hali ya soko itakapokaa vizuri, inawezekana hizi hasara ni za muda fulani tu wakati mambo mengine yakiendelea kuwekwa sawa.

Mfano, issue kama ujenzi wa bwawa la umeme, nchi ikija kuwa na viwanda vya kutosha ikatengeneza ajira na kuongeza uzalishaji hapa pesa itaongezeka kwa watu.

Pia, patakuwepo na ongezeko la usafirishaji wa mizigo ( bidhaa toka viwandani) na abiria, hivyo pato la mtanzania likiongezeka kwa sababu ya uwepo wa ajira, hata ndege nazo zitaongeza wasafiri na kuanza kutengeneza faida.
 
Hii dhana ya deni la taifa huwa inawapa shida sana watu wengi.

Shida kubwa inakuja kwenye usahihi wa upimaji wa deni la taifa.

Kuna njia mbili za kuangalia deni la taifa.

1. Absolute term - hii ni kama Ndugai alichofanya leo. Kuangalia deni la taifa kama namba mfano ni kusema deni limefika Trillioni 70. Madhara ya kuangalia deni in absolute term ni kwamba haitoi picha halisi na haisemi maana yake ni nini?.. Wala haiwezi kukuambia kama deni ni kubwa au dogo. Hichi ndo kafanya Ndugai leo.. anasema deni linakuwa kwa kasi limefika Trillioni 70.. So, what does it mean? Je ni kubwa au ni dogo? Na kwanini?

Ukiangalia absolutely huwezi kamwe kujijibu hayo maswali hapo juu.

Njia ya pili ya kuangalia deni la taifa ni

2. Relative terms - hapa ni unafananisha deni la taifa na pato la taifa (GDP). Kwa mfano, ikiwa deni la Taifa ni Trillioni 70 na pato la taifa ni Trillioni 145 maana yake in relative terms deni la taifa litakuwa 70/145 au 48% ambayo ki masuala ya mikopo hiyo bado ni stahimilivu ki nadharia, ukichukulia mfano kama una mshahara wa Sh. 145k na unadeni la Sh. 70k maana yake ni kwamba unaweza wa kulipa unachodaiwa na bado ukabakiwa na salio la karibu nusu.

Idea hapa ni kwamba kasi ya ukuaji wa GDP kama ni kubwa itafuta kabisa impact za deni kwa nchi, ila vice versa is true, GDP ikidondoka deni lazima litakuua.

Kwa maana hiyo, ukiwa unamulika in relative terms, ni kweli deni la taifa linaweza kukua in absolute terms mfano kutoka 70 Trillioni to 80 Trillioni to 90 Trillioni.. So hapo Ukitumia jicho la Ndugai maana yake deni linapaa, lakini ukiangalia in relative terms, kama GDP yaani pato la taifa nalo linakuwa kwa kasi kubwa kuliko ukuaji wa deni la taifa maana yake ile ratio ya deni la taifa to GDP itakuwa inashuka hata kama deni la taifa linakuwa in absolute terms.

Hivo basi, swali kubwa la kuulizwa siku zote ni' ..... Je, uchumi wetu unakuwa kwa kasi kuzidi deni la taifa?

Hilo ndilo swali ambalo Ndugai na watanzania wote tunapaswa kuuliza.. Maana yake kama uchumi haukui kwa kasi kuzidi ukuaji wa deni la taifa, then ni kweli kwamba tunaelekea kwenye debt crisis kama hofu ya Ndugai na watanzania wengine. Yaani debt crisis itakuwa ni kwamba pato la nchi halitaweza kuhimili madeni yanayokopwa na impact ya hichi kitu huwa ni mpasuko wa kiuchumi wa nchi husika, madhara yake huwa hayapimiki.

Kwa maana hiyo basi, kama tumeelewana kwenye hoja namba moja kuhusu tafsiri haswa ya deni la taifa, nataka kugusia hoja yangu namba mbili, ambayo ndiyo haswa shida kubwa mimi binafsi nnayoiona kwenye deni la taifa la Tanzania.

"Matumizi ya kinachokopwa"

Matumizi ya deni ndo mchawi mkubwa wa deni la taifa la Tanzania.

Kwa sababu ni aina ya matumizi ya mkopo ambayo itakuambia kwamba, mikopo unayokopa itakuza uchumi (GDP) au la. Angalia mfano hapa chini tuelewane vema

Mfano. mwalimu mwenye mshahara wa laki 7 anaweza kukopa Milioni 10 benki kwa mkopo wa makato ya laki 3 kwa mwezi.

Kuna utofauti mkubwa wa kati ya haya matumizi ya mkopo ambayo ni possible kwa mwalimu

1. Kununua gari la kutembelea - Hii haitakuza uchumi wa mwalimu kwasababu gari ambalo amenunua mwalimu halitaweza kutengeneza kipato kwa sababu lenyewe litakuwa linataka kuhudumiwa kila mwezi. Mafuta, service etc, ukichanganya hizi gharama na marejesho ya mkopo, unaona kabisa kwamba mkopo aliokopa mwalimu utakuwa ni chanzo cha kurudisha maendeleo yake nyuma. Maana mshahara ukitoka, akitoa laki 3 ya kulipa mkopo, pesa ya service, pesa ya mafuta, kodi ya nyumba... Tayari habakiwi na chochote... anaendelea kuwa masikini mwenye misururu ya madeni.

2. Lakini vipi kama mwalimu akitumia mkopo wake wa milioni 10 kununua uba au taxi au daladala? maana yake ni kwamba amewekeza mkopo wake kwenye wealth generating mashine ambayo kwanza itatoa ajira, itampa kipato yeye mwenyewe na atafanya maendeleo yake mwenyewe.. Yes in relative term deni au mkopo aliokopa mwalimu utakuwa umezaa utajiri kwa mwalimu na madhara ya hilo deni wala hayawezi kamwe kumuumiza mwalimu.

Tafasiri
Mfano wa kwanza. Mwalimu kachukua mkopo ambao matumizi yake hayana economic benefit.

At national level, haina tofauti na Magufuli kukopa na kujenga uwanja chato..no economic benefit.. kuna project chungu mbovu za dizaini hiyo katika nchi yetu tunazishughudia kila siku...

Most of these loans, huwa inaishia kwenye Operating expenses ambazo huwa hazina mchango kwenye kukuza uchumi wa nchi.

Ili kukuza uchumi wa nchi inatakiwa mikopo ielekezwe kwenye capital expenditure na tena kuwe na feasibility study za kutosha na wananchi tupewe mda wa kuchambua na kutoa maoni juu ya matumizi ya mikopo ili tuone kama itakuza uchumi au la.

Hayo ni kwa ufupi tu hili suala jinsi lilivo.

Ukiingia deep sana, utaanza kujiuliza, Je, wabunge ambao ndio wanapitisha hizi matumizi ya mikopo, wanaelewa kiasi gani?

Je, demokrasia ya kuwapata ipoje?

Kuna mlolongo mrefu sana, na kwa mfumo uliopo Tanzania kwa sasa, ni kweli kabisa hatutakwepa a debt crisis.. ni suala la muda tu.
Umezunguka saana umeogopa kusema GDP ni ngapi ili ilinganishwe na 70T..
 
But huoni kama faida inaweza kuwa generated mbele ya safari hali ya soko itakapokaa vizuri, inawezekana hizi hasara ni za muda fulani tu wakati mambo mengine yakiendelea kuwekwa sawa.

Mfano, issue kama ujenzi wa bwawa la umeme, nchi ikija kuwa na viwanda vya kutosha ikatengeneza ajira na kuongeza uzalishaji hapa pesa itaongezeka kwa watu.

Pia, patakuwepo na ongezeko la usafirishaji wa mizigo ( bidhaa toka viwandani) na abiria hasa bidhaa za viwandani, na pato la mtanzania likiongezeka kwa sababu ya uwepo wa ajira, hata ndege nazo zitaongeza wasafiri.
Umezungumzia kitu sahihi kabisa "Multiplier effect"
 
Na hilo ndilo analolisema Ndugai kuwa tusipoangalia nchi itakuja pigwa mnada!!! Kuna madeni nchi ilikopa enzi ya Kikwete kutoka kwenye private banks , fedha zile mpaka hivi leo haijulikani kama zililetwa nchini na kama zililetwa zilitumika kwa shuhuri zipi!! Mustapha Mkullo Akiwa waziri wa fedha na ni kati ya hiyo mikopo kutoka benki za USWISS!!!
I wish a special audit was conducted to find out how those loans were expended!!!
Tatizo linaanzia hapa kwenye Serikali fisadi.
 
Back
Top Bottom