Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
- Thread starter
- #21
Confirm tu mkuu.. ila itakuwa kwenye 140 Trillioni..Umezunguka saana umeogopa kusema GDP ni ngapi ili ilinganishwe na 70T..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Confirm tu mkuu.. ila itakuwa kwenye 140 Trillioni..Umezunguka saana umeogopa kusema GDP ni ngapi ili ilinganishwe na 70T..
Ninachojua GDP yetu iko around 140T kama ulivyosema.Confirm tu mkuu.. ila itakuwa kwenye 140 Trillioni..
Kwel kabisa 💯But huoni kama faida inaweza kuwa generated mbele ya safari hali ya soko itakapokaa vizuri, inawezekana hizi hasara ni za muda fulani tu wakati mambo mengine yakiendelea kuwekwa sawa.
Mfano, issue kama ujenzi wa bwawa la umeme, nchi ikija kuwa na viwanda vya kutosha ikatengeneza ajira na kuongeza uzalishaji hapa pesa itaongezeka kwa watu.
Pia, patakuwepo na ongezeko la usafirishaji wa mizigo ( bidhaa toka viwandani) na abiria, hivyo pato la mtanzania likiongezeka kwa sababu ya uwepo wa ajira, hata ndege nazo zitaongeza wasafiri na kuanza kutengeneza faida.
Confirm tu mkuu.. ila itakuwa kwenye 140 Trillioni..Umezunguka saana umeogopa kusema GDP ni ngapi ili ilinganishwe na 70T..
Kwa lugha ya kiuchumi na kwa kuangalia ratios kwamba deni letu ni pungufu ya 50% kesho Mwigulu atakuambia deni ni stahimilivu kwa sababu tu definition ya ustahimilivu wa deni kwa world bank wanasema at least 65% ya deni to gdp ni stahimilivu.Ninachojua GDP yetu iko around 140T kama ulivyosema.
Kwa gdp hii uchumi wetu unasupport repayment ya deni? Tumeambiwa deni liko ndani ya viwango himilivu vya ulipaji.
Kama ni hivyo hoja ingekuwa mikopo inaenda kutumika kwenye miradi iliyokusudiwa ipasavyo?
Na usimamizi ni mzuri kiasi kwamba tunapata value for money? Na miundombinu inayosimikwa inafungua nchi kwa uzalishaji zaidi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye mambo ya uwekezaji kuna msemo huwa tunasema 'Market can remain irrational, for longer than you can stay solvent'But huoni kama faida inaweza kuwa generated mbele ya safari hali ya soko itakapokaa vizuri, inawezekana hizi hasara ni za muda fulani tu wakati mambo mengine yakiendelea kuwekwa sawa.
Mfano, issue kama ujenzi wa bwawa la umeme, nchi ikija kuwa na viwanda vya kutosha ikatengeneza ajira na kuongeza uzalishaji hapa pesa itaongezeka kwa watu.
Pia, patakuwepo na ongezeko la usafirishaji wa mizigo ( bidhaa toka viwandani) na abiria, hivyo pato la mtanzania likiongezeka kwa sababu ya uwepo wa ajira, hata ndege nazo zitaongeza wasafiri na kuanza kutengeneza faida.
Ni kwamba Deni letu hadi sasa ukiliangalia kwa takwimu za kiuchumi na sio kisiasa bado ni himilivu sana?.Confirm tu mkuu.. ila itakuwa kwenye 140 Trillioni..
Kwa lugha ya kiuchumi na kwa kuangalia ratios kwamba deni letu ni pungufu ya 50% kesho Mwigulu atakuambia deni ni stahimilivu kwa sababu tu definition ya ustahimilivu wa deni kwa world bank wanasema at least 65% ya deni to gdp ni stahimilivu.
Ila tukirudi kwenye uhalisia haswa, na ukiangalia matumizi ya haya madeni.. utagundua ya kwamba deni sio stahimilivu kwa sababu mikopo imewekeza kwenye projects ambazo hazikuzi uchumi na kuongeza tax base na revenues ambayo ndio italipa madeni.
Pia mikopo yetu na matumizi yake imeshindwa kuvutia FDI ambayo itakupa fedha za kigeni ili ulipe hiyo mikopo..
So technically, ndo mana mimi binafsi naamini Tanzania ipo kwenye valley of death.. and its a matter of time..
Hili bomu lazima lilipuke tu
Labda kama watu wanakuwa na wasiwasi wa je fedha tunayokopa inatumika kwa malengo tarajiwa na inatumika vizuri?Kwenye mambo ya uwekezaji kuna msemo huwa tunasema 'Market can remain irrational, for longer than you can stay solvent'
Unasema market itakuwa nzuri faida itapatikana.. je una uhakika gani kwamba by that time bado tutakuwa solvent?
Tafsiri ya ulichosema ni kwamba tutegemee speculation kwamba mambo yanaweza kuwa mazuri uko mbeleni.
Kwamba labda mji wa Chato utakuwa mkubwa watalii watamiminika, Uwanja wa chato utakuwa na economic benefit..
Hizo ni speculation ambazo hazipo supported na fundamentals zozote ndo mana huwa haishauriwi kufanya speculative decisions
Hawawezi kumjibu ndo maana wanamshambuliaNdugai kahoji tozo za miamala ya simu tulisema zitatumika kujenga shule. Iweje tena shule zimekopewa pesa aya madeni yatakua mzigo kwa taifa ili.
Majibu aliyokuja pewa ni muunganiki wa sgr, bwawa la nyerere
Hatutaki ujanja deni siyo himilivu.
Hongera Mkuu kwa kudadavua na kufanya uelewa uwe mwepesi hadi mwenye elimu ya darasa la 7 aweze kuelewaHii dhana ya deni la taifa huwa inawapa shida sana watu wengi.
Shida kubwa inakuja kwenye usahihi wa upimaji wa deni la taifa.
Kuna njia mbili za kuangalia deni la taifa.
1. Absolute term - hii ni kama Ndugai alichofanya leo. Kuangalia deni la taifa kama namba mfano ni kusema deni limefika Trillioni 70. Madhara ya kuangalia deni in absolute term ni kwamba haitoi picha halisi na haisemi maana yake ni nini?.. Wala haiwezi kukuambia kama deni ni kubwa au dogo. Hichi ndo kafanya Ndugai leo.. anasema deni linakuwa kwa kasi limefika Trillioni 70.. So, what does it mean? Je ni kubwa au ni dogo? Na kwanini?
Ukiangalia absolutely huwezi kamwe kujijibu hayo maswali hapo juu.
Njia ya pili ya kuangalia deni la taifa ni
2. Relative terms - hapa ni unafananisha deni la taifa na pato la taifa (GDP). Kwa mfano, ikiwa deni la Taifa ni Trillioni 70 na pato la taifa ni Trillioni 145 maana yake in relative terms deni la taifa litakuwa 70/145 au 48% ambayo ki masuala ya mikopo hiyo bado ni stahimilivu ki nadharia, ukichukulia mfano kama una mshahara wa Sh. 145k na unadeni la Sh. 70k maana yake ni kwamba unaweza wa kulipa unachodaiwa na bado ukabakiwa na salio la karibu nusu.
Idea hapa ni kwamba kasi ya ukuaji wa GDP kama ni kubwa itafuta kabisa impact za deni kwa nchi, ila vice versa is true, GDP ikidondoka deni lazima litakuua.
Kwa maana hiyo, ukiwa unamulika in relative terms, ni kweli deni la taifa linaweza kukua in absolute terms mfano kutoka 70 Trillioni to 80 Trillioni to 90 Trillioni.. So hapo Ukitumia jicho la Ndugai maana yake deni linapaa, lakini ukiangalia in relative terms, kama GDP yaani pato la taifa nalo linakuwa kwa kasi kubwa kuliko ukuaji wa deni la taifa maana yake ile ratio ya deni la taifa to GDP itakuwa inashuka hata kama deni la taifa linakuwa in absolute terms.
Hivo basi, swali kubwa la kuulizwa siku zote ni' ..... Je, uchumi wetu unakuwa kwa kasi kuzidi deni la taifa?
Hilo ndilo swali ambalo Ndugai na watanzania wote tunapaswa kuuliza.. Maana yake kama uchumi haukui kwa kasi kuzidi ukuaji wa deni la taifa, then ni kweli kwamba tunaelekea kwenye debt crisis kama hofu ya Ndugai na watanzania wengine. Yaani debt crisis itakuwa ni kwamba pato la nchi halitaweza kuhimili madeni yanayokopwa na impact ya hichi kitu huwa ni mpasuko wa kiuchumi wa nchi husika, madhara yake huwa hayapimiki.
Kwa maana hiyo basi, kama tumeelewana kwenye hoja namba moja kuhusu tafsiri haswa ya deni la taifa, nataka kugusia hoja yangu namba mbili, ambayo ndiyo haswa shida kubwa mimi binafsi nnayoiona kwenye deni la taifa la Tanzania.
"Matumizi ya kinachokopwa"
Matumizi ya deni ndo mchawi mkubwa wa deni la taifa la Tanzania.
Kwa sababu ni aina ya matumizi ya mkopo ambayo itakuambia kwamba, mikopo unayokopa itakuza uchumi (GDP) au la. Angalia mfano hapa chini tuelewane vema
Mfano. mwalimu mwenye mshahara wa laki 7 anaweza kukopa Milioni 10 benki kwa mkopo wa makato ya laki 3 kwa mwezi.
Kuna utofauti mkubwa wa kati ya haya matumizi ya mkopo ambayo ni possible kwa mwalimu
1. Kununua gari la kutembelea - Hii haitakuza uchumi wa mwalimu kwasababu gari ambalo amenunua mwalimu halitaweza kutengeneza kipato kwa sababu lenyewe litakuwa linataka kuhudumiwa kila mwezi. Mafuta, service etc, ukichanganya hizi gharama na marejesho ya mkopo, unaona kabisa kwamba mkopo aliokopa mwalimu utakuwa ni chanzo cha kurudisha maendeleo yake nyuma. Maana mshahara ukitoka, akitoa laki 3 ya kulipa mkopo, pesa ya service, pesa ya mafuta, kodi ya nyumba... Tayari habakiwi na chochote... anaendelea kuwa masikini mwenye misururu ya madeni.
2. Lakini vipi kama mwalimu akitumia mkopo wake wa milioni 10 kununua uba au taxi au daladala? maana yake ni kwamba amewekeza mkopo wake kwenye wealth generating mashine ambayo kwanza itatoa ajira, itampa kipato yeye mwenyewe na atafanya maendeleo yake mwenyewe.. Yes in relative term deni au mkopo aliokopa mwalimu utakuwa umezaa utajiri kwa mwalimu na madhara ya hilo deni wala hayawezi kamwe kumuumiza mwalimu.
Tafasiri
Mfano wa kwanza. Mwalimu kachukua mkopo ambao matumizi yake hayana economic benefit.
At national level, haina tofauti na Magufuli kukopa na kujenga uwanja chato..no economic benefit.. kuna project chungu mbovu za dizaini hiyo katika nchi yetu tunazishughudia kila siku...
Most of these loans, huwa inaishia kwenye Operating expenses na white elephant projects ambazo huwa hazina mchango kwenye kukuza uchumi wa nchi directly.. Kama kununua mindege ile.. return yake uki compare na projects cost unaona kabisa ni mimba kwenye uchumi...
Ili kukuza uchumi wa nchi inatakiwa mikopo ielekezwe kwenye capital expenditure na tena kuwe na feasibility study za kutosha na wananchi tupewe mda wa kuchambua na kutoa maoni juu ya matumizi ya mikopo ili tuone kama itakuza uchumi au la.
Hayo ni kwa ufupi tu hili suala jinsi lilivo.
Ukiingia deep sana, utaanza kujiuliza, Je, wabunge ambao ndio wanapitisha hizi matumizi ya mikopo, wanaelewa kiasi gani?
Je, demokrasia ya kuwapata ipoje?
Kuna mlolongo mrefu sana, na kwa mfumo uliopo Tanzania kwa sasa, ni kweli kabisa hatutakwepa a debt crisis.. ni suala la muda tu.
Kwenye page za TAMISEMI naona huwa wana toa takwimuKuhusu mikopo ni muhimu kuzingatia masharti ya mkopo kuepuka masharti magumu mfano kiwango kikubwa cha riba na muda mfupi wa kurudisha deni .
Kuhusu ela ya tozo za Kwenye matumizi ya simu na miamala tungeomba nayo itangazwe na kuonyeshwa inavyotumika kama ilivyofanyika ela ya WB .
Hivi uwanja wa ndege Chato uligharimu shilingi bilioni ngapi maana ndiyo imekuwa kisingizio kutwa kuchaHii dhana ya deni la taifa huwa inawapa shida sana watu wengi.

Mkuu swali zuri.. actually madhara ya kushindwa kulipa deni yatachofanya ni kwamba, nchi itakuwa down graded na wakopeshaji.Mi naomba tu unifafanulie ikiwa tutashindwa kabisa kulipa deni nini kitatokea, kuna kitu napanga kufanya. Sijawahi kusikia nchi yoyote imekabidhiwa kwa madalali ipigwe mnada toka nizaliwe
Statistically kwa sababu deni letu bado lipo bekow 65% of Gdp hiyo ni stahimilivu ila inapokuja uwezo wa kuli service deni sio stahimilivu..Labda kama watu wanakuwa na wasiwasi wa je fedha tunayokopa inatumika kwa malengo tarajiwa na inatumika vizuri?
Kwenye uchumi we go with numbers not words ndio tofauti yake. Na hiyo setup ya world bank ndio inatumiwa na wachumi wote.
Unless tuseme hatuna uwezo wa kuli service hilo deni. Mbona marekani deni lao limeshavuka 100% na wanajiona wapo sawa tu kwasababu uwezo wa kuli service deni wanao
Sent using Jamii Forums mobile app