#HABARI Waziri wa Fedha @mwigulunchemba1 ameishukuru serikali ya Jamhuri ya Korea kwa kutenga kiasi cha dola za Marekani bilioni 1 zitakazotolewa kwa njia ya mkopo nafuu kwa Tanzania kupitia EDCF kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo kwa kipindi cha miaka mitano.
ZanzibarUnasema 2025?...hiyo Mia ni hapo tu early next year.
Hela hii inaenda wapi yarabi?
Lakini siyo mbaya kwakuwa serikali yake inakusanya kodi nyingi kuliko serikali zilizo pitaTumpe PhD nyingine kwa kufikisha deni Trillioni 91,anaupia mwingi sana.
Sisiemu hoyeeee....Na bado.
Na hivi majuzi tena tumeambiwa .
Akiba ya serikali ya fedha za kigeni imeshuka toka tumepata uhuru.
Umeme hatuna na maji hatuna.
Hapa nipo nachaji simu mgahawani.
Sijui leo ntalala giza kama jana??
Nadhani kuangalia absolute number ya deni si kipimo sahihi cha kusema tutauzwa. Debt to gdp ratio ni 40% which means tunaweza kuongeza deni hadi zaidi ya trillioni 200 na bado tukawa na uwezo wa kulipa ndani ya mwaka mmoja.Nimeona hii habari huko tweeter. Mimeshika kichwa.. ndani ya mda mfupi sana awamu ya sita imekopa hadi imevunja record. Mama anaupiga mwingi.
View attachment 2441817
Hii ni nahau!!!anaupiga mwingi.
HAINA SHIDA BORA TUUZWE TUHAME TANZANIA NAAMINI ATAKAYE TUNUNUA ATAKUWA NA KATIBA NZURI KAMA "RASIMU YA WARIOBA"Nimeona hii habari huko tweeter. Mimeshika kichwa.. ndani ya mda mfupi sana awamu ya sita imekopa hadi imevunja record. Mama anaupiga mwingi.
View attachment 2441817
Usiogope sana Mchina mmoja wastani anadaiwa m12, Jirani zetu Kenya kwa wastani mtu mmoja anadaiwa milion 3.1 m USA mmoja anadaiwa m208 compare that with milion 1.5 za mtanzania. Vile vile kwa wastani mtz mmoja anazalisha m2+ kwa mwaka kwa io uwezo wa kulipa hio 1.5 bado upo.Kutokana na deni la Taifa kuwa Shilingi Trilioni 91.03. Kila M-Tanzania anadaiwa Shilingi Milioni 1 na laki 5 Haya Wa-Tanzania tuchange kila mmoja wetu ili tupate kulipa Deni la Taifa. Mwenye kuwa na Ng'ombe,Mbuzi,nyumba mashamba na Vitu vingine auze ili tupate kulipa deni la Taifa letu Serikali ya CCM imeshindwa kulipa hayo madeni kila mwezi Madeni yanazidi kuongezeka kazi kweli ipo. Serikali ya CCM inakopa kila kukicha na pesa hazijulikani zinakwenda wapi? Lohh Majangaa makubwa nchi yetu itauzwa mpaka na Wananchi wake watauzwa kwa wingi wa madeni tunayo kopa kila kukicha.
Ukienda Bank kuomba Mkopo na ukaweka Nyumba yako rehani kwa kuwakabidhi hati ya nyumba, Bank wanakuacha uendelee kuishi kwenye hiyo nyumba,but technically hiyo nyumba ni kama umeshaiuza na unabaki kupambana kuinunua upya..ila waswahili wanatumia lugha laini wanaita kuikomboa...Mbaya zaidi Bank hawawezi kukupatia pesa inayolingana na thamani ya nyumba yako,wanashusha thamani halisi , lakini wenyewe wanakudai pesa zaidi ya waliyokupatia...yaani ni tricky sana.Bora tuuzwe tu kuliko kutawaliwa na hawa weusi
Yule jamaa aliyepandisha mpaka kufikia 70tr, kwa mamiradi yake ya ajabu ndiyo wa kumlaumu, mamiradi mengi ni lazima kuyamalizia hakuna jinsi, Kwanini tusiuze hayo ma Boeing tuliyoyavundika tukamaliza miradi ya kimsingi na kimkakati, tukaja kuyanunua wakati mwingine pale kutakapokuwa na hitajiko la kweli, miradi ya sifa za kijinga ndio shida tunajimwambafayi kuliko uwezo kibaya hata organisation ya hayo mandege na lobbying ili ya operate kwa faida hatuna.Kweli wazuri hawafi. Trillioni 91?
"Kwa bahati nzuri sana hata tukikopa hatukopi kwa Mchina. "Wema hawafi. Wastan kila mbuzi anadaiwa 1.5 M.
Nabado hadi 2025 inatarajiwa kufikia 150 Trillion.
Haha.. unamwagikia itakuwa Nini??Hii ni nahau!!!
Tumakopa vya kula na kusafilia."Kwa bahati nzuri sana hata tukikopa hatukopi kwa Mchina. "
Alisema Mzee Wetu Mheshimiwa Makamba.Haha.. unamwagikia itakuwa Nini??
Bunge lenyewe lipo sababu ya E1TZHivi tumeshindwa kuchukua maamuzi magumu kwa ukopaji huu?
Tuelekee Bungeni
Kama wananchi tunahitaji maelezo
Kikundi cha watu au mtu mmoja anaamua hatma ya Tanganyika ?
Kwa tumelogwq
Mods tafadhalini msifute comments zetu… Sisi ndio walipa kodi tuna haki ya kuhoji……
GDP ya Tz ni 67.8Bil usd ambayo ni sawa na Tril 159Nadhani kuangalia absolute number ya deni si kipimo sahihi cha kusema tutauzwa. Debt to gdp ratio ni 40% which means tunaweza kuongeza deni hadi zaidi ya trillioni 200 na bado tukawa na uwezo wa kulipa ndani ya mwaka mmoja.
Waendelee tu kukopa na kugawana.
deni bado ni stahimilivu
Ila wewe jamaaUsiogope sana Mchina mmoja wastani anadaiwa m12, Jirani zetu Kenya kwa wastani mtu mmoja anadaiwa milion 3.1 m USA mmoja anadaiwa m208 compare that with milion 1.5 za mtanzania. Vile vile kwa wastani mtz mmoja anazalisha m2+ kwa mwaka kwa io uwezo wa kulipa hio 1.5 bado upo.
Deni bado ni stahimilivu
Hizo kampen za ushoga wanazo fanya huzion siyo kama unapenda kitonga utaolewa tu