mika micah
Senior Member
- Dec 25, 2015
- 183
- 277
Dadeq mama anaupiga mwingi sanaaGDP ya Tz ni 67.8Bil usd ambayo ni sawa na Tril 159
Deni letu ni Tril 91
Ukigawa ni 56%
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dadeq mama anaupiga mwingi sanaaGDP ya Tz ni 67.8Bil usd ambayo ni sawa na Tril 159
Deni letu ni Tril 91
Ukigawa ni 56%
RC wa Dar alisha”gugu” hakuona nchi iliyowahi kuuzwa, usiwe na wasiwasi mkuu.Nimeona hii habari huko tweeter. Mimeshika kichwa.. ndani ya mda mfupi sana awamu ya sita imekopa hadi imevunja record. Mama anaupiga mwingi.
View attachment 2441817
watu wema hawafi mapema.Nimeona hii habari huko tweeter. Mimeshika kichwa.. ndani ya mda mfupi sana awamu ya sita imekopa hadi imevunja record. Mama anaupiga mwingi.
View attachment 2441817
Wewe kichwa maji, Magufuli aliacha deni Trillioni 60.1 Kama ilivyosemwaa Waziri wa Fedha Mwaka mmoja baada ya kifo cha Magufuli,Yule jamaa aliyepandisha mpaka kufikia 70tr, kwa mamiradi yake ya ajabu ndiyo wa kumlaumu, mamiradi mengi ni lazima kuyamalizia hakuna jinsi, Kwanini tusiuze hayo ma Boeing tuliyoyavundika tukamaliza miradi ya kimsingi na kimkakati, tukaja kuyanunua wakati mwingine pale kutakapokuwa na hitajiko la kweli, miradi ya sifa za kijinga ndio shida tunajimwambafayi kuliko uwezo kibaya hata organisation ya hayo mandege na lobbying ili ya operate kwa faida hatuna.
Lakini siyo mbaya kwakuwa serikali yake inakusanya kodi nyingi kuliko serikali zilizo pita
Wewe kichwa maji, Magufuli aliacha deni Trillioni 60.1 Kama ilivyosemwaa Waziri wa Fedha Mwaka mmoja baada ya kifo cha Magufuli,
HIVI NI KWELI DENI LA TAIFA LIMEFIKA TRILLIONI 91.?
Acha uongo wako jamaa yenu alituachia deni la 78 trillion. Almost 80,bwana jakaya aliwacha deni la 49 trillion.Wewe kichwa maji, Magufuli aliacha deni Trillioni 60.1 Kama ilivyosemwaa Waziri wa Fedha Mwaka mmoja baada ya kifo cha Magufuli,
HIVI NI KWELI DENI LA TAIFA LIMEFIKA TRILLIONI 91.?
Uko Twitter na Jamii forum kuna watu washaanza kumsingizia Hayati Rais Magufuli, sasa niliweke sawa jambo hili, baada ya kifo cha Hayati Rais Magufuli,Waziri wa fedha alitoa taarifa kuhusu deni la Taifa nami nanukuu;-
"Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba leo amewasilisha bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023.
Dkt. Mwigulu Nchemba amesema hadi Aprili 2022, deni la Serikali lilikuwa shilingi trilioni 69.44 ikilinganishwa na shilingi trilioni 60.72 kipindi kama hicho mwaka 2021."
Shame on you mnaemsingizia Marehemu.
Watoe control number kabisa,mi nilipe deni langu.Kutokana na deni la Taifa kuwa Shilingi Trilioni 91.03. Kila M-Tanzania anadaiwa Shilingi Milioni 1 na laki 5 Haya Wa-Tanzania tuchange kila mmoja wetu ili tupate kulipa Deni la Taifa. Mwenye kuwa na Ng'ombe,Mbuzi,nyumba mashamba na Vitu vingine auze ili tupate kulipa deni la Taifa letu Serikali ya CCM imeshindwa kulipa hayo madeni kila mwezi Madeni yanazidi kuongezeka kazi kweli ipo. Serikali ya CCM inakopa kila kukicha na pesa hazijulikani zinakwenda wapi? Lohh Majangaa makubwa nchi yetu itauzwa mpaka na Wananchi wake watauzwa kwa wingi wa madeni tunayo kopa kila kukicha.
Bado unapambana na Marehemu?Yule jamaa aliyepandisha mpaka kufikia 70tr, kwa mamiradi yake ya ajabu ndiyo wa kumlaumu, mamiradi mengi ni lazima kuyamalizia hakuna
Wenyewe husema ni himirivuDadeq mama anaupiga mwingi sanaa
Tunazungumzia madeni na rekodi za viongozi waliosababisha, kupindisha deni au kushusha deni au kupandisha deni isivyokawaida.
Hahahaha Himirivu nahisi sababu kwenye hizo 91 trilioni 64 ndio Deni la nje 29 zibazobaki ni deni la ndani . Kwenye debt to gdp ni 40% sababu hizo 29 hawahesabu maana mambo yakienda vibaya wanawapiga chini kimya kimya ni sawa wamemkopesha baba yao.Wenyewe husema ni himirivu
Tril 78?? Aliyeleta hii mada kichwani ni empty na wewe pia ni empty. Report za BOT zipo wazi kwa nn hamsomi?Acha uongo wako jamaa yenu alituachia deni la 78 trillion. Almost 80,bwana jakaya aliwacha deni la 49 trillion.
Sasa #SSH kuongeza ngapi mpaka iwe nongwa, kupenda upofu hafuati hata rekodi, isitoshe rais wetu si muumini wa kukopa China,na akikopa si mikopo ya kibenki kama ya yule mungu wenu.
Hatukopi kwa mchina? Tunakopa vizuri tu ila sio kubwa kivile kwa Sasa ni Kama tril 4"Kwa bahati nzuri sana hata tukikopa hatukopi kwa Mchina. "
Tatizo mnawaza kukinukisha ambapo nadhani ndio hatua ya mwisho, yani mtoke kwenye kulalamika mitandaoni na mruke moja kwa moja hadi hatua ya kuingia field kukinukisha? Ndio maana maandamano yanayopangwa huwa yanafeli halafu mnasema watu waoga.Tutaishia kulialia tu mitandaoni ila likija suala la kuingia field kukinukisha tunamsubiri mbowe na lissu
Achana na huyo...hajawahi kuwa serious na chochoteRC wa Dar alisha”gugu” hakuona nchi iliyowahi kuuzwa, usiwe na wasiwasi mkuu.
Ufisadi ndo cancer ya hii Nchi mwendazake alijua tu tatizo la Nchi hii ni usimamizi wa kile unachokipata sasa huku Miradi umetengewea bilioni 20 halafu bado tuishi unazidi kuongezewa tu pesa kwa kigwzo cha variation mpaka unakamilika unakuta 40b ndo zinamalizia tukija mtaani tunasifia mama anamalizia Miradi na kusifia ujingaKuna miradi inabidi imaliziwe, afe kipa afe beki na kwa kasi ya awamu iliyopita katika kukopa huku miradi mingi ikiwa haijaisha. Naamini hata ingeendelea bado mkopo ungeshoot tu kuja juu
Nafuu ambayo ingekuwepo ni moja tu, kudhibiti matumizi ya serikali kwenye kuajiri, posho, warsha na semina ambazo kwa kiasi flani zimerudi..
All in all ngoja nifunge bakuli langu maana hela ya kumlipa mtu aliyepona rungu la law school sina