Deni la Taifa lafika TZS trilioni 91.03

Wewe kichwa maji, Magufuli aliacha deni Trillioni 60.1 Kama ilivyosemwaa Waziri wa Fedha Mwaka mmoja baada ya kifo cha Magufuli,

HIVI NI KWELI DENI LA TAIFA LIMEFIKA TRILLIONI 91.?

Uko Twitter na Jamii forum kuna watu washaanza kumsingizia Hayati Rais Magufuli, sasa niliweke sawa jambo hili, baada ya kifo cha Hayati Rais Magufuli,Waziri wa fedha alitoa taarifa kuhusu deni la Taifa nami nanukuu;-

"Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba leo amewasilisha bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023.

Dkt. Mwigulu Nchemba amesema hadi Aprili 2022, deni la Serikali lilikuwa shilingi trilioni 69.44 ikilinganishwa na shilingi trilioni 60.72 kipindi kama hicho mwaka 2021."

Shame on you mnaemsingizia Marehemu.
 
Lakini siyo mbaya kwakuwa serikali yake inakusanya kodi nyingi kuliko serikali zilizo pita

Ila deni limefika 56% ya GDP ya Tanzania. Miaka mitatu ijayo inaweza fika 65%. Hivyo ni hatari inabidi tuache kukopa kwa miaka kumi, tulipe madeni yote.
 
Tusema
Wewe kichwa maji, Magufuli aliacha deni Trillioni 60.1 Kama ilivyosemwaa Waziri wa Fedha Mwaka mmoja baada ya kifo cha Magufuli,

HIVI NI KWELI DENI LA TAIFA LIMEFIKA TRILLIONI 91.?

Kusema ukweli mama anakopansana. Trilioni karibia 30 kwa mwaka mmoja na miezi tisa.
 
Acha uongo wako jamaa yenu alituachia deni la 78 trillion. Almost 80,bwana jakaya aliwacha deni la 49 trillion.
Sasa #SSH kuongeza ngapi mpaka iwe nongwa, kupenda upofu hafuati hata rekodi, isitoshe rais wetu si muumini wa kukopa China,na akikopa si mikopo ya kibenki kama ya yule mungu wenu.
 
Watoe control number kabisa,mi nilipe deni langu.
Ila kwa sharti wasikope tena.
 
Wenyewe husema ni himirivu
Hahahaha Himirivu nahisi sababu kwenye hizo 91 trilioni 64 ndio Deni la nje 29 zibazobaki ni deni la ndani . Kwenye debt to gdp ni 40% sababu hizo 29 hawahesabu maana mambo yakienda vibaya wanawapiga chini kimya kimya ni sawa wamemkopesha baba yao.
 
Hizi numbers zinatisha

Hii ilikuwa Sep 2021 - deni lilisoma USD 26.5 Bil



Hii ni report ya mpaka Sep 2022 - Deni linasoma USD 38.4 Bil




Hilo ni ongezeko la USD 12Bil i.e Trillioni 28 Tzs.
 
Tril 78?? Aliyeleta hii mada kichwani ni empty na wewe pia ni empty. Report za BOT zipo wazi kwa nn hamsomi?
Kwa faida yako soma hapo[emoji116]
 
Anaupiga mwingi hadi unamwagikaa...
Mnalalamika katrilion 90 tuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mi sijaridhishwa na kasi ya ukopaji ni ndogo mno jaman huko wizara ya hela mbona mnakopa kioga oga kopeeni kopenii mpaka ifike ifke trillion 150 hivii ..
Maana tunaona kaz ya mikopo yenu..umeme unawaka sana mpaka tumesahau mara ya mwisho ulikatika lini...MAJI yanatoka ya kutosha mpaka tunayamwaga yaan ...
Wizi wa hela umeishaaa woteeeee maana watendaji wana maadili kweli ...HONGERA MAMA KAZI IENDELEEEEEEEEE
 
Tutaishia kulialia tu mitandaoni ila likija suala la kuingia field kukinukisha tunamsubiri mbowe na lissu
Tatizo mnawaza kukinukisha ambapo nadhani ndio hatua ya mwisho, yani mtoke kwenye kulalamika mitandaoni na mruke moja kwa moja hadi hatua ya kuingia field kukinukisha? Ndio maana maandamano yanayopangwa huwa yanafeli halafu mnasema watu waoga.
 
Ufisadi ndo cancer ya hii Nchi mwendazake alijua tu tatizo la Nchi hii ni usimamizi wa kile unachokipata sasa huku Miradi umetengewea bilioni 20 halafu bado tuishi unazidi kuongezewa tu pesa kwa kigwzo cha variation mpaka unakamilika unakuta 40b ndo zinamalizia tukija mtaani tunasifia mama anamalizia Miradi na kusifia ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…