Deni la Taifa lafika TZS trilioni 91.03

Deni la Taifa lafika TZS trilioni 91.03

Vipi na pesa za vieite na luxuries zote (including ufisadi) za viongozi nazo ziko kwenye hiyo bajeti au zimetolewa
Una uelewa finyu,ngoja nikuache ukueukue,Ila zamani hili halikua na watu dizaini yako
 
Nafikiri zitakuwa ni zile hatifungani za serikali zinazouzwa kupitia BoT. Inakuwa ni sawa umeikopesha serikali na wao wanakupa riba baada ya muda fulani.

@i stand to be corrected
au ni mikopo ya hifadhi ya jamiii
 
Kuna miradi inabidi imaliziwe, afe kipa afe beki na kwa kasi ya awamu iliyopita katika kukopa huku miradi mingi ikiwa haijaisha. Naamini hata ingeendelea bado mkopo ungeshoot tu kuja juu

Nafuu ambayo ingekuwepo ni moja tu, kudhibiti matumizi ya serikali kwenye kuajiri, posho, warsha na semina ambazo kwa kiasi flani zimerudi..

All in all ngoja nifunge bakuli langu maana hela ya kumlipa mtu aliyepona rungu la law school sina

Kila kitu marehemu taarifa zao za mwisho marehem alikua kakopa 57 trilion now wanasema 71trillion, wakija na taarifa tena watasema marehem alikopa 81trilion. Za mwongo ni arobain.
 
Kwa deni hilo Tz nzima tujiandae kama umelegea legea na unakula chipsi kama wanaume wa Dar lazima uolewe maana hautakua na nguvu ya kujitetea
Sio lugha stahiki hiyo inatukana jamii na kudharirisha !!
 
Walipsji ni mimi na wewe, swali la msingi pesa zote hizo zinaenda wapi?

Miradi ina tija na uchumi au ni matumizi ya kawaida ya serikali?
Serikali ikusanye Kodi Til.22 kwa mwaka iache kuweka kwenye matumizi ya kawaida ndio ije kukopa.kwa matumizi ya kawaida uliwahi sikia wapi? By the Way kwa mwaka OC Ni Til.2 maximum.

Mwisho acheni uzushi Waziri ametoa ufafanuzi wa uzushi wenu huo 👇
20221211_175151.jpg
 
Mamlaka husika zitoe mchanganuo wa mikopo yote ya nje na ndani.Ikionyesha jina la benki au taasisi iliyotukopesha na madhumuni ya mkopo.
-,ili wananchi wawajue wadai wetu ,malengo ya mkopo huo na Kama ulikuwa na manufaa kwa walipa kodi au la.
-Kama masharti ya mkopo yanazuia kuweka hadharani jina la mkopeshaji,Ni vema Mamlaka husika ikawaambia walipa kodi malengo ya mkopo eg ujenzi wa madaraja, barabara, hospital,shule etc.
-Nimesikia deni hili,linajumlisha na mikopo ya taasisi za binafsi.
-Mamlaka husika ,iweke wazi, kama Serikali yetu pendwa,iliwadhamini hao private sector.
-Kama Serikali ilidhamini wawekezaji wa private sector, hilo ni deni la taifa ,
-lakini kama Serikali haikutoa dhamana government guarantee, private sector wapambane na hali zao.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Ili nchi isonge mbele kukopa muhimu. Mama kopa hadi nauli ya Dar Tunduma iwe 150,000/=. Kilicho nifurahisha zaidi ni pale wanyama wanapokua na umuhimu yaani kondoo na mbuzi wanapandishwa coaster kutoka Serengeti hadi Tanga wakati wapo walimu wanao omba kuhamishwa na huambiwa wajihamishe wenyewe na wale waliojihamisha bado wanadai fedha zao za uhamisho !!!
 
Back
Top Bottom