Salaam!
Rais Samia na serikali yake walitwambia kuwa ujio wa DP World utaongeza mapato ya serikali kwa kiasi kikubwa na kufadhili budget yetu.
Sasa maswali yanakuja je! Ikiwa mapato yameongezeka serikalini,iweje deni likue, kwanini lisilipwe kwa amount kubwa ikibidi limalizwe sababu ya ujio wa kampuni hii ilotajwa kuwa mkombozi?
Ikiwa mapato makubwa yameongezeka kupitia DP World, iweje deni lizidi kupaa badala ya kulipwa likaisha Katika kipindi hiki Serikali ya mpito ya Rais Samia inaenda ukingoni?
Kulipa deni likaisha inawezekana, Rais Mkapa alikuta deni lililoachwa na Mwendazake Mwinyi na aliweza kulipa lote na hakumwachia Rais Kikwete deni lolote.
Sasa zikifanyika Reforms kwenye katiba kupata tume huru ya uchaguzi na katiba mpya, tukabahatika kupata Rais mpya mwaka huu 2025, ataongoza vipi kwa mzigo huu wa madeni?
Rip Ndugai.
NRNE 💪 🔥
Nawasilisha 🙏