- Thread starter
- #21
Hii ni Tanzania,Seriously??? Jeshi??
Traole pia alisuburi?
Kule kwa Traole hakuna jeshi la wananchi.
Hii ni Tanzania,Seriously??? Jeshi??
Traole pia alisuburi?
Pm yangu iko wazi ukitaka kujua kwanini nimekuita hivyoDuh na ukibwa Gani mi ndugu😁
Mnisaidie kazi ya jeshi jmn
Hakuna Kina Traole mindset huko
Bila hivyo hapa sitasemaDuh na ukibwa Gani mi ndugu😁
Mnisaidie kazi ya jeshi jmn
Hakuna Kina Traole mindset huko
Kuna nn?Hii ni Tanzania,
Kule kwa Traole hakuna jeshi la wananchi.
Subiri Oct ipite🤣Pm yangu iko wazi ukitaka kujua kwanini nimekuita hivyo
Hawahusuki na unschokiongeleaKuna nn?
Na jwtz kazi yake nn ?
Eti riba imeongeza deni kwa Trilioni 8Si ili kuwa tril 107
Umenielewa?Hawahusuki na unschokiongelea
Hawaezi ikiwa wananchi wamelalaUmenielewa?
Jeshi haliwezi kuchukua nchi km mambo hayaeleweki?
Mwenyewe nimeshangaa mbn ghafla 😅😅Wameongeza tena? Si lilikuwa T108? 🥺🥺🥺🥺
Watakuwa wamekopa kimya kimyaMwenyewe nimeshangaa mbn ghafla 😅😅
KANISA KATOLIKI NA MAASKOFU NA WAO WALIPE KODI TULIPE DENI LA TAIFA,TUMEWALEA LEA SANA
MmhHawaezi ikiwa wananchi wamelala
PoaSubiri Oct ipite🤣
Sema tumeongeza, siyo wameongeza. Walipaji ni mimi na wewe ndo maana tumeongeza deni.Wameongeza tena? Si lilikuwa T108? 🥺🥺🥺🥺
Mkuu una chuki sana na kanisa, ila bahati mbaya ndo hivyo tena liko mbaaali sana na lavel za maustadh!!.KANISA KATOLIKI NA MAASKOFU NA WAO WALIPE KODI TULIPE DENI LA TAIFA,TUMEWALEA LEA SANA