- Thread starter
- #41
Wako kimyaa!DP world ni utapeli tu ndugu wale ni kama funza
Wako kimyaa!DP world ni utapeli tu ndugu wale ni kama funza
Hizo trilioni 16 zimekopwa lini tena juzi kati tu ilikuwa trilion 100!Salaam!
Rais Samia na serikali yake walitwambia kuwa ujio wa DP World utaongeza mapato ya serikali kwa kiasi kikubwa na kufadhili budget yetu.
Sasa maswali yanakuja je! Ikiwa mapato yameongezeka serikalini,iweje deni likue, kwanini lisilipwe kwa amount kubwa ikibidi limalizwe sababu ya ujio wa kampuni hii ilotajwa kuwa mkombozi?
Ikiwa mapato makubwa yameongezeka kupitia DP World, iweje deni lizidi kupaa badala ya kulipwa likaisha Katika kipindi hiki Serikali ya mpito ya Rais Samia inaenda ukingoni?
Kulipa deni likaisha inawezekana, Rais Mkapa alikuta deni lililoachwa na Mwendazake Mwinyi na aliweza kulipa lote na hakumwachia Rais Kikwete deni lolote.
Sasa zikifanyika Reforms kwenye katiba kupata tume huru ya uchaguzi na katiba mpya, tukabahatika kupata Rais mpya mwaka huu 2025, ataongoza vipi kwa mzigo huu wa madeni?
Rip Ndugai.
NRNE 💪 🔥
Nawasilisha 🙏
Mashekhe wanalipa?KANISA KATOLIKI NA MAASKOFU NA WAO WALIPE KODI TULIPE DENI LA TAIFA,TUMEWALEA LEA SANA
Huwezi linganisha hawa na wa huku. Traore nje ya kusoma mambo ya kijeshi pia ni Geologist.Duh na ukibwa Gani mi ndugu😁
Mnisaidie kazi ya jeshi jmn
Hakuna Kina Traole mindset huko
Makaa ya mawe walimuuzia rostsm aziz sio yetu tena lbd kodiHizo Hela za makaa ya mawe wachukue walipe huko wasituchoshe
OkayHuwezi linganisha hawa na wa huku. Traore nje ya kusoma mambo ya kijeshi pia ni Geologist.
Wale wa A/magharibi unakuta wana taaluma nyingi nje ya kuwa mjeshi tu.
MakubwaMakaa ya mawe walimuuzia rostsm aziz sio yetu tena lbd kodi
Halafu anataka Tena ridhaa,Hapa tunaonekana wote makalulu, yaani mtu anakopa hadi Tlikion 116 afu taifa tunakenua mimeno wote.
Daah.....imefika mahali kama taifa tunaulilia msaada wa the Big Show?
Aisee