KANISA KATOLIKI NA MAASKOFU NA WAO WALIPE KODI TULIPE DENI LA TAIFA,TUMEWALEA LEA SANA
DP World wallidai watafadhili budget kwa zaidi ya 50%,KANISA KATOLIKI NA MAASKOFU NA WAO WALIPE KODI TULIPE DENI LA TAIFA,TUMEWALEA LEA SANA
Hizo Hela za makaa ya mawe wachukue walipe huko wasituchosheSalaam!
Rais Samia na serikali yake walitwambia kuwa ujio wa DP World utaongeza mapato ya serikali kwa kiasi kikubwa na kufadhili budget yetu.
Sasa maswali yanakuja je! Ikiwa mapato yameongezeka serikalini,iweje deni like, kwanini lisilipwe kwa amount kubwa ikabili limalizwe sababu ya ujio wa kampuni hii ilotajwa kuwa mkombozi?
Ikiwa mapato makubwa yameongezeka kupitia DP World, iweje deni lizidi kupaa badala ya kulipiwa likaisha Katika kipindi hiki Serikali ya mpito ya Rais Samia inaenda ulingoni?
Kulipa deni likaisha inawezekana, Rais Mkapa alikuta deni lililoachwa na Mwinyi na aliweza kulipa lote na hakumwachia Rais Kikwete deni lolote.
Sasa zikifanyika Reforms kwenye katiba kupata tume huru ya uchaguzi na katiba mpya, tukabahatika kupata Rais mpya mwaka huu 2025, ataongoza vipi kwa mzigo huu wa madeni?
Nawasilisha 🙏
Wanadai ni riba kutokana na dola kupanda,Wameongeza tena? Si lilikuwa T108? 🥺🥺🥺🥺
Rost Tamu akamatwe haraka.Hizo Hela za makaa ya mawe wachukue walipe huko wasituchoshe
Yaani mtu mmoja eti ana nguvu jeshi linafanya nnRost Tamu akamatwe haraka.
Samia hatakiwi kugombea,Mwakani itafika Trilioni 125. Tupo hapa
SI mtu mmoja huyo, ni mfumo wa kilaghai wa nchi za west ziko nyuma yake kutufukarisha Ili tuendelee kuwa omba omba.Yaani mtu mmoja eti ana nguvu jeshi linafanya nn
Sielewi mimi
😄😄
Heshima yako wewe mtu mkubwa kabisaYaani mtu mmoja eti ana nguvu jeshi linafanya nn
Sielewi mimi
Nauliza Tena jeshi liko wapiSI mtu mmoja huyo, ni mfumo wa kilaghai wa nchi za west ziko nyuma yake kutufukarisha Ili tuendelee kuwa omba omba.
Duh na ukibwa Gani mi ndugu😁Heshima yako wewe mtu mkubwa kabisa
Linawasubiri wananchi mjitokeze Ili kupata justification,Nauliza Tena jeshi liko wapi
Seriously??? Jeshi??Linawasubiri wananchi mjitokeze Ili kupata justification,
Usilale Oct 29