Deni la taifa limefikia Trilioni 116, Nafasi ya DP World iko wapi? Tuliambiwa mapato yataongezeka hivyo kupunguza deni

Hizo trilioni 16 zimekopwa lini tena juzi kati tu ilikuwa trilion 100!
 
Duh na ukibwa Gani mi ndugu😁
Mnisaidie kazi ya jeshi jmn
Hakuna Kina Traole mindset huko
Huwezi linganisha hawa na wa huku. Traore nje ya kusoma mambo ya kijeshi pia ni Geologist.
Wale wa A/magharibi unakuta wana taaluma nyingi nje ya kuwa mjeshi tu.
 
Huwezi linganisha hawa na wa huku. Traore nje ya kusoma mambo ya kijeshi pia ni Geologist.
Wale wa A/magharibi unakuta wana taaluma nyingi nje ya kuwa mjeshi tu.
Okay
Kwani wa kwetu Hawana elimu? Mbona tuna wasomi?

Hata kwenye kuchukua nchi iwe chini yao mpk elimu?
 
Hapa tunaonekana wote makalulu, yaani mtu anakopa hadi Tlikion 116 afu taifa tunakenua mimeno wote.
 
Hapa tunaonekana wote makalulu, yaani mtu anakopa hadi Tlikion 116 afu taifa tunakenua mimeno wote.
Halafu anataka Tena ridhaa,

Ili iweje ilhali hana maono ya kubadili Hali ya mambo
 
Majukwaani DP World haitajwi Tena.
 
Siku wabongo watakapokuja-kugundua kuwa DP World ni ROSTAM!...na ROSTAM NDIE DP WORLD!...Tutakuwa tumechelewa sana!....

Wachache kwenye system wanajua huu ukweli ila wamekausha tu!.. maandishi yanaishi!
 
Kwanini muuze jazina ya gold aloacha Magu ilhal DP world 🌎 wapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…