Deni la Taifa: Nini kimepelekea uongozi wa Rais Samia kukopa kiasi hiki?

Ex Spy

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2007
Posts
346
Reaction score
2,968
Sikiliza hii video:

Your browser is not able to display this video.
 
Ukitembea dodoma na kuona aina za nyumba zinajengwa na watumishi wa serikali huhitaji kuuliza..kuna rushwa kubwa kubwa ndani ya serikali na huko ndiko pesa zinazokopwa zinaishia..mtumishi wa serikali anajenga nyumba ya million 400 ndani ya miezi 3 hata mshahara wa Rais hauwezi kutosha.
 
Ni trillion 157 sio 107,subiri report ya CAG baada ya uchaguzi utashangaa.
Mpaka SASA NI trillion 140. After October 157 t mpaka January 200 trillion. Mpaka anamaliza 2030 itakuwa quadrillion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…