Sijijui
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 7,877
- 8,804
Mnyonge aliyezoea kunyonywa,uongo kwake ndo ukweli,na Magu anawapatia sanaTumechoka na mambo ya zito.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnyonge aliyezoea kunyonywa,uongo kwake ndo ukweli,na Magu anawapatia sanaTumechoka na mambo ya zito.
hata kama unaweza kuwa upande wangu na kinyume chake sitakaa nikuunge mkono katika hoja zako endapo utaendelea kuandika mwandiko huu usiokuwa na mashiko hapo juuMkuu jifunze kusoma katika ya mistari,unless Kama wewe ni mnyonge
Mkuu nakuelewa sana,watu wa aina yako,ninauzoefu nao sanahata kama unaweza kuwa upande wangu na kinyume chake sitakaa nikuunge mkono katika hoja zako endapo utaendelea kuandika mwandiko huu usiokuwa na mashiko hapo juu
HOngera kwa kutambua na kusahihisha baadae, appreciated
kinyume chake pia kuna chembe chembe za ukweli unaoishiMkuu nakuelewa sana,watu wa aina yako,ninauzoefu nao sana
teh teh aah.. [emoji23] [emoji23] Wakati ili sakata la Barick limekolea,nipo zangu Pub moja hivi ninapata 2/3 baridi za kutafutia usingizi... itv Wakarusha habari, mkuu akichambua namna hiyo bulk money ingeweza mfaidisha kila mtanganyika.Kwanza nina uchungu niliambiwa kuwa nitapewa noa yangu mara baada ya barick kutupa mlungula wetu.kingine niliambiwa kila kijiji kitapewa milioni 50 mpaka sasa tunapumulia mashine.
Jamani Acheni upotoshaji,sisi tunajenga,reli,mashule,vyuo,na tunanunua ndege kwa pesa zetu za ndani.Mwaka 2017, nchi yetu ilipata mkopo wa dola za kimarekani kutoka benki ya Exim ya Uturuki ya dola za kimarekani bilion 1.2 ambazo ni sawa na takriban shilingi Trillion 2.76 za kitanzania kwa ajili ya Ujenzi wa kipande cha Dar es salaam mpaka Morogoro tu.
Kwa mujibu wa tweet ya mheshimiwa Zitto ya october mwaka 2017, Ndugu Zitto aliufahamisha umma kuwa riba ya mkopo huo ni 9%
Ndugu Zitto alikuwa anashangaa aina ya mkopo huo kutoka kwa waturuki wakati Wachina hapo mwanzoni tulishakubalina nao waijenge hiyo reli kwa riba ya 1% tu na mkopo huo kutoka kwa wachina tulikuwa na unafuu wa kuanza kuulipa baada ya miaka 20 kupita kwanza!
Sasa mimi nitajikita kwenye riba ya mkopo wa kipande kifupi tu cha reli hiyo cha kutoka Dar es salaam mpaka Morogoro halafu wewe mwenyewe msomaji utajaza mwenyewe ni pesa ngapi tutalipa kwa mikopo ya kujenga vipande vingine vya reli hiyo kama kile cha kutoka Morogoro mpaka Makutopora, na Makutoora mpaka sehemu nyingine hadi mwisho
Nimechukua pesa tuliyokopa, dola bilion 1.2 kama principle, na interest ya 9% aliyoisema mheshimiwa Zitto kisha nikatumia calculator ya online kuangalia, Je deni la kipande hicho pekee cha Dar es salam Morogoro baada ya miaka 20 itakuwa shilingi ngapi?
Nimetumia calculator inayopatikana hapa:
Compound Interest Calculator - The Calculator Site
matokeo niliyopata ni kuwa jumla ya riba tutakayopaswa kulipa ni takriban dola bilion 6 sawa na shilingi Trillion 13. 8 kwa kipande kidogo tu cha Dar hadi Morogoro baada ya miaka 20.
Sasa najiuliza, Je tumejipangaje kama taifa kuja kubeba mzigo huu wa deni?
Kama kipande kifupi tu cha hiyo reli kinaweza kutupelekea kulipa shilingi Trillion 13. 8 kama riba baada ya miaka 20, Je tutalipa shilingi ngapi kwa ajili ya kulipia mikopo yote ya reli nzima?
Tunaweza kuwa tunaimba na kufurahia SGR kumbe ikageuka kuw kitanzi cha kutunyonga kiuchumi huko mbeleni.
View attachment 1541204
Ulisema Dar hadi Moro tunajenga kwa pesa za ndani, now source hii uliyoleta inasema kuna mkopo wa standard chartered unacover kuanzia Dar mpaka Makutopora.
Hizo pesa za ndani ni zipi sasa?
Kuna kitu serikali hii haitoi taarifa za kutosha kuhusu financing ya huu mradi maana naona inarukaruka katika kutafuta financiers
Huo mkopo hauwezi peke yake ukatosha kukamilisha km hizo zote za dar dodoma. Dar moro tu peke yake ni $1.2 bilion na huo mkopo ni $1.46 bil. Hapo bado hujaileta morogoro-makutupora.
Bado tu huoni pesa ya ndani hapo?
Serikali ilishajicommit kumaliza phase ya kwanza kwa pesa za ndani mradi ulioanza 2017 na ulitakiwa kuisha 2019 november. Na huo mkopo pia umesainiwa may 2020. Hesabu kipande cha kwanza kimeshakamilika huo mkopo ni boost kwa awamu ya pili iliyo hatua za mwanzo kabisa.
Exim ni benki ya China na si Uturuki, Uturuki haina uwezo wa kutoa mkopo wa pesa hiyo kwa Tanzania na yenyewe ina hali mbaya sana ya uchumi, fatilia hilo ujue.
Kipande cha dar es salaam-morogoro kinajengwa kwa pesa za ndani. Hilo ni kweli.
Kipande cha pili cha morogoro-makutupora ndio kinajengwa kwa pesa ya mkopo ya Exim.
Tahadhari: usimwamini sana Zitto Kabwe
😂😂😂😂😂 Hatuna hulka ya kuwa na subra na kujudge Mambo ndio maana tunadanganywa kirahisiteh teh aah.. [emoji23] [emoji23] Wakati ili sakata la Barick limekolea,nipo zangu Pub moja hivi ninapata 2/3 baridi za kutafutia usingizi... itv Wakarusha habari, mkuu akichambua namna hiyo bulk money ingeweza mfaidisha kila mtanganyika.
meza Jiran nikamsikia jamaa mmoja akisema:, kweli tumeibiwa sana...hii nchi bado miezi 3 mbele kila mtanzania ataona manufaa ya Magufuli.
Hatujengi kwa fedha zetu za ndani kama tunavyo ambiwa siku zote??????Mwaka 2017, nchi yetu ilipata mkopo wa dola za kimarekani kutoka benki ya Exim ya Uturuki ya dola za kimarekani bilion 1.2 ambazo ni sawa na takriban shilingi Trillion 2.76 za kitanzania kwa ajili ya Ujenzi wa kipande cha Dar es salaam mpaka Morogoro tu.
Kwa mujibu wa tweet ya mheshimiwa Zitto ya october mwaka 2017, Ndugu Zitto aliufahamisha umma kuwa riba ya mkopo huo ni 9%
Ndugu Zitto alikuwa anashangaa aina ya mkopo huo kutoka kwa waturuki wakati Wachina hapo mwanzoni tulishakubalina nao waijenge hiyo reli kwa riba ya 1% tu na mkopo huo kutoka kwa wachina tulikuwa na unafuu wa kuanza kuulipa baada ya miaka 20 kupita kwanza!
Sasa mimi nitajikita kwenye riba ya mkopo wa kipande kifupi tu cha reli hiyo cha kutoka Dar es salaam mpaka Morogoro halafu wewe mwenyewe msomaji utajaza mwenyewe ni pesa ngapi tutalipa kwa mikopo ya kujenga vipande vingine vya reli hiyo kama kile cha kutoka Morogoro mpaka Makutopora, na Makutoora mpaka sehemu nyingine hadi mwisho
Nimechukua pesa tuliyokopa, dola bilion 1.2 kama principle, na interest ya 9% aliyoisema mheshimiwa Zitto kisha nikatumia calculator ya online kuangalia, Je deni la kipande hicho pekee cha Dar es salam Morogoro baada ya miaka 20 itakuwa shilingi ngapi?
Nimetumia calculator inayopatikana hapa:
Compound Interest Calculator - The Calculator Site
matokeo niliyopata ni kuwa jumla ya riba tutakayopaswa kulipa ni takriban dola bilion 6 sawa na shilingi Trillion 13. 8 kwa kipande kidogo tu cha Dar hadi Morogoro baada ya miaka 20.
Sasa najiuliza, Je tumejipangaje kama taifa kuja kubeba mzigo huu wa deni?
Kama kipande kifupi tu cha hiyo reli kinaweza kutupelekea kulipa shilingi Trillion 13. 8 kama riba baada ya miaka 20, Je tutalipa shilingi ngapi kwa ajili ya kulipia mikopo yote ya reli nzima?
Tunaweza kuwa tunaimba na kufurahia SGR kumbe ikageuka kuw kitanzi cha kutunyonga kiuchumi huko mbeleni.
View attachment 1541204
Reli si inajengwa kwa pesa zetu za kodi jamaniMwaka 2017, nchi yetu ilipata mkopo wa dola za kimarekani kutoka benki ya Exim ya Uturuki ya dola za kimarekani bilion 1.2 ambazo ni sawa na takriban shilingi Trillion 2.76 za kitanzania kwa ajili ya Ujenzi wa kipande cha Dar es salaam mpaka Morogoro tu.
Kwa mujibu wa tweet ya mheshimiwa Zitto ya october mwaka 2017, Ndugu Zitto aliufahamisha umma kuwa riba ya mkopo huo ni 9%
Ndugu Zitto alikuwa anashangaa aina ya mkopo huo kutoka kwa waturuki wakati Wachina hapo mwanzoni tulishakubalina nao waijenge hiyo reli kwa riba ya 1% tu na mkopo huo kutoka kwa wachina tulikuwa na unafuu wa kuanza kuulipa baada ya miaka 20 kupita kwanza!
Sasa mimi nitajikita kwenye riba ya mkopo wa kipande kifupi tu cha reli hiyo cha kutoka Dar es salaam mpaka Morogoro halafu wewe mwenyewe msomaji utajaza mwenyewe ni pesa ngapi tutalipa kwa mikopo ya kujenga vipande vingine vya reli hiyo kama kile cha kutoka Morogoro mpaka Makutopora, na Makutoora mpaka sehemu nyingine hadi mwisho
Nimechukua pesa tuliyokopa, dola bilion 1.2 kama principle, na interest ya 9% aliyoisema mheshimiwa Zitto kisha nikatumia calculator ya online kuangalia, Je deni la kipande hicho pekee cha Dar es salam Morogoro baada ya miaka 20 itakuwa shilingi ngapi?
Nimetumia calculator inayopatikana hapa:
Compound Interest Calculator - The Calculator Site
matokeo niliyopata ni kuwa jumla ya riba tutakayopaswa kulipa ni takriban dola bilion 6 sawa na shilingi Trillion 13. 8 kwa kipande kidogo tu cha Dar hadi Morogoro baada ya miaka 20.
Sasa najiuliza, Je tumejipangaje kama taifa kuja kubeba mzigo huu wa deni?
Kama kipande kifupi tu cha hiyo reli kinaweza kutupelekea kulipa shilingi Trillion 13. 8 kama riba baada ya miaka 20, Je tutalipa shilingi ngapi kwa ajili ya kulipia mikopo yote ya reli nzima?
Tunaweza kuwa tunaimba na kufurahia SGR kumbe ikageuka kuw kitanzi cha kutunyonga kiuchumi huko mbeleni.
View attachment 1541204
Tatizo mnayoelezwa kwenye majukwaa ya siasa siyo hali halisi.
Wenzako wanaposema "kwa pesa zetu" wanakuwa wanamaanisha eti kwa kuwa mkopo tutaulipa basi hizo ni pesa zetu ati!
Hebu tazama hii uone jinsi tulivyoomba mkopo kwa Waturuki!
View attachment 1541439
Kwa taarifa zaidi juu ya namna tulivyokopa kwa waturuki soma hapa:
Turkey wins bid to finance, build $1.9b second phase of Tanzania railway | The East African
Mkuu jitahidi uwe unasoma na kuelewa
Acha tu Kashazoea kupiga kwenye barabara hadi huku ni UPIGAJI tu.
CCM kwenye kampeni njoo na majibu sio kupotosha na kusema reli barabara zinajengwa kwa pesa za ndaniMwaka 2017, nchi yetu ilipata mkopo wa dola za kimarekani kutoka benki ya Exim ya Uturuki ya dola za kimarekani bilion 1.2 ambazo ni sawa na takriban shilingi Trillion 2.76 za kitanzania kwa ajili ya Ujenzi wa kipande cha Dar es salaam mpaka Morogoro tu.