Deni la ujenzi wa reli ya SGR ni kitanzi kitakachotunyonga tusipokuwa makini

Mkuu jifunze kusoma katika ya mistari,unless Kama wewe ni mnyonge
hata kama unaweza kuwa upande wangu na kinyume chake sitakaa nikuunge mkono katika hoja zako endapo utaendelea kuandika mwandiko huu usiokuwa na mashiko hapo juu

HOngera kwa kutambua na kusahihisha baadae, appreciated
 
hata kama unaweza kuwa upande wangu na kinyume chake sitakaa nikuunge mkono katika hoja zako endapo utaendelea kuandika mwandiko huu usiokuwa na mashiko hapo juu

HOngera kwa kutambua na kusahihisha baadae, appreciated
Mkuu nakuelewa sana,watu wa aina yako,ninauzoefu nao sana
 

Ulisema Dar hadi Moro tunajenga kwa pesa za ndani, now source hii uliyoleta inasema kuna mkopo wa standard chartered unacover kuanzia Dar mpaka Makutopora.
Hizo pesa za ndani ni zipi sasa?

Kuna kitu serikali hii haitoi taarifa za kutosha kuhusu financing ya huu mradi maana naona inarukaruka katika kutafuta financiers
 
Kwanza nina uchungu niliambiwa kuwa nitapewa noa yangu mara baada ya barick kutupa mlungula wetu.kingine niliambiwa kila kijiji kitapewa milioni 50 mpaka sasa tunapumulia mashine.
teh teh aah.. [emoji23] [emoji23] Wakati ili sakata la Barick limekolea,nipo zangu Pub moja hivi ninapata 2/3 baridi za kutafutia usingizi... itv Wakarusha habari, mkuu akichambua namna hiyo bulk money ingeweza mfaidisha kila mtanganyika.
meza Jiran nikamsikia jamaa mmoja akisema:, kweli tumeibiwa sana...hii nchi bado miezi 3 mbele kila mtanzania ataona manufaa ya Magufuli.
 
Jamani Acheni upotoshaji,sisi tunajenga,reli,mashule,vyuo,na tunanunua ndege kwa pesa zetu za ndani.
 

Huo mkopo hauwezi peke yake ukatosha kukamilisha km hizo zote za dar dodoma. Dar moro tu peke yake ni $1.2 bilion na huo mkopo ni $1.46 bil. Hapo bado hujaileta morogoro-makutupora.

Bado tu huoni pesa ya ndani hapo?

Serikali ilishajicommit kumaliza phase ya kwanza kwa pesa za ndani mradi ulioanza 2017 na ulitakiwa kuisha 2019 november. Na huo mkopo pia umesainiwa may 2020. Hesabu kipande cha kwanza kimeshakamilika huo mkopo ni boost kwa awamu ya pili iliyo hatua za mwanzo kabisa.
 

Kama tunatumia za ndani kutoka Dar mpaka moro, basi huo mkopo wa 1.46 billion dollars usingetaja kuwa unahusu phase zote mbili yaani Dar hadi Moro na then Moro hadi Makutopora. Huo mkopo ungesema ni wa Moro hadi Makutopora tu!

Sasa kwa nini huo mkopo uhusishe na Dar hadi Moro wakati unasema kipande hicho tunatumia pesa za ndani?
 

Tataizo hapa ni hayo mahesabu na uzito wa deni kwa Taifa na sio nani kasema!! The issue at stake is the substance of what is said and not the person who said it!!!
 
😂😂😂😂😂 Hatuna hulka ya kuwa na subra na kujudge Mambo ndio maana tunadanganywa kirahisi
 
Hatujengi kwa fedha zetu za ndani kama tunavyo ambiwa siku zote??????
 
Reli si inajengwa kwa pesa zetu za kodi jamani
 

Unajua kusoma kiingereza wewe huonu
Kwamba hapo ni phase 2 je phase 1 pesa imetoka wapi?
 
Ujenzi ulifikia asilimia 70 kwa fedha za serikali, kwa kipande cha Dar-Moro. Hizo KM za reli zilizobaki ndio ilibidi wakope kutoka benki ya standard chartered. Kwa kipande cha Moro-Makutpora ni mkataba mwingine na benki ya uturuki ambao una km 550.
 
CCM kwenye kampeni njoo na majibu sio kupotosha na kusema reli barabara zinajengwa kwa pesa za ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…