Deni langu la bodi limebaki 1.5 milioni

Deni langu la bodi limebaki 1.5 milioni

Leverage

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2021
Posts
2,125
Reaction score
3,150
Safari ni ndefu kutoka 10.8 milioni hadi 1.5 milioni miaka zaidi ya saba sasa nalipia degree yangu ya miaka mitatu.
Hiyo ni kwenye slip yangu. Sijui Retention Fee waliyonayo kwao itakuwa kiasi gani?
Mama Samia akiondoa Retention Fee naenda kuwalipa 1.5 yao Cash tuagane moja kwa moja.
Mungu mkubwa.
 
Safari ni ndefu kutoka 10.8 mill hadi 1.5mill miaka zaidi ya saba sasa nalipia degree yangu ya miaka mitatu.

Inaonekana wewe sio mnyonge mshahara wako ni mkubwa.
 
Safari ni ndefu kutoka 10.8 mill hadi 1.5mill miaka zaidi ya saba sasa nalipia degree yangu ya miaka mitatu.
Hiyo ni kwenye slip yangu. Sijui Retention Fee waliyonayo kwao itakuwa kiasi gani?
Mama Samia akiondoa Retention Fee naenda kuwalipa 1.5 yao Cash tuagane moja kwa moja.
Mungu mkubwa.
Boss, kama mimi vile. Mi nasubiria mwezi wa 9-10 itakua imebaki kama Laki 5 au Laki 3 nitaenda Bodi ofisi zao kuuliza salio official.
 
Hiyo ya kwenye salary slip na kwao ni tofauti, deni halisi wanalo wao, usisahau july mwaka mpya wa fedha linaongezeka.... haitakua 1.5 tena
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]huu Ni unyanyasaji wa kiuchumi
 
Back
Top Bottom