Deni langu la bodi limebaki 1.5 milioni

Wakati huo mlifurahi sana kupata boom
sasa wakati wa kulipa mnakiona cha moto.. mzazi kama ana uwezo asomeshe kwa pesa yake mikopo ni jela

Heri mimi nimeishia la tatu c kutwa nazunguka na kapu langu la samaki mimi mwana wa mwendazake
 
Niuzie ndugu mimi langu linasoma 7.2m

Sent from my SM-A015F using JamiiForums mobile app
 
I'm speechless [emoji51]
 
Mkuu kachukue statement, kati ya milioni 3-4.5 utakuta imeongezeka
 
Siku nikimaliza deni la lon boad naoa mke wa pili πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Siku nikimaliza deni la lon boad naoa mke wa pili πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Mimi naenda ufukweni kuanzia asubuhi nalala na kipensi huku nikiangalia jua. Redio yangu pembeni, vinywaji na kuku mzima wa kuchoma plus ndizi mzuzu. Huku nikimsifu Mungu kwa ukuu wake.
 
Bora yako , hongera,mi ndo kwanza Bado mill.14 na points.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…