Denmark kufunga Ubalozi wake nchini Tanzania ifikapo 2024

Simply wamechoka kukaa na "washenzi", tumepoteza muelekeo kama taifa now running like headless chicken, serikali imejaa matundu kila mahali kuanzia haki za raia, uchumi, mpaka mahusiano na jumuia ya kimataifa.
 
tuache kulialia na kutegemea watu kujenga nchi zetu.....wao walijengewa na nani...tujikaze watoto wa kiume tujenge Taifa letu nalo siku tukifunga ubalozi huko nao watetemeke.... kama wanaume wote tunaona na kukubalian CCM ndio shida tunashindwa nini kuitoa kwa kuivimbia ili tuache kulia lia kwa wazungu na kulilia passport zao ilihali mnakwetu na wenzenu wanakwao babu zao walikujenga...Jengeni kwenu watoto wenu wawe proud na passport za kwao...
 
Ila ubalozi sio kila nchi ipo kwenye nchi nyingine
 
Tanzania si Tanzania tena ...

wallahi nkipata permanent residence nchi ingine nasepa ..

Tushachoka mara hiki mara kile
 
tuache blah blah....wao waliijenga Denmark kwa demokrasia na diplomasia? Denmark ilijengwa kwa mijeledi na damu na sio kuleanaleana na kubembelezana.... Hizi issue ya demokrasia mara diplomasia ndio zinalemaza waAfrica na mataifa mengine masikini kwa kudanganywa Mzungu na Mchina atawaletea maendeleo mdomoni ilihali wao hawakuletewa maendeleo zaidi ya kushurutishwa kufanya kazi kwa mijeledi..
 
crap
 
Mawazo muflisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…