Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Huyo ni Giant Donors kaondoka na ni EU member bibi ajitafakari....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maneno mazito toka kwa waziri wa mambo ya nje wa Dermark .
hahahahhahaBalozi baada ya kuona magaidi ni waliowahi kuwa wanaccm ameamua kufunga vilago.
Hili ni pigo kubwa sana, mimi binafsi nimefaidi sana huu ushirikiano kwa miaka zaidi ya 10.Mmmh.
Kama ni kweli
Samia Ajitafakari Sanaaa.
Tatizo wazungu wako kama wamasai, kesho kutwa utashangaa nchi nyingine nayo inajiondoa, mwishowe wote.Naona Trend ya democracy Tanzania haina outlook nzuri
Faller weweWafunge tu. Tuna ela
Denmark itafunga ubalozi wake nchini Tanzania wakati ikibadilisha mfumo wake wa mashirikiano ili kutekeleza vipaumbele vya serikali. Nchi hiyo imesema kujipanga upya kutachangia utekelezaji wa mkakati wake mpya wa maendeleo na ushirikiano.
Waziri wa Mambo ya nje Jeppe Kofod alisema Upangaji huu upya ni kusaidia juhudi za nchi hiyo inazofanya nyumbani na duniani ili kuleta mabadiliko makubwa iwezekanavyo.
"Kipaumbele changu kama Waziri wa Mambo ya nje ni kuhakikisha usalama wa watu wa Denmark katika ulimwengu ambao demokrasia, haki za binadamu, na madili yetu vinakandamizwa."
Tanzania na Denmark zimekuwa na uhusiano mzuri katika miaka iliyopita. Wanasiasa wengi, maafisa wa serikali, wanasayansi, wafanyabiashara, viongozi wa dini na watendaji wa asasi za kiraia kutoka mataifa husika wameunda uhusiano wa karibu na kushiriki mazungumzo yenye tija.
Tanzania ndiyo nchi ya kwanza ya Kiafrika ambayo Denmark ilianzisha nayo ushirikiano wa kutoa misaada ya kimaendeleo mnamo 1963, muda mfupi baada ya Tanzania (wakati huo Tanganyika) kupata uhuru.
=====
View attachment 1911371
Denmark's Foreign Affairs Minister Jeppe Kofod in Copenhagen on August 13, 2021
Denmark will close its embassies in Tanzania as it restructures its foreign service in order to deliver on the government’s priorities, it announced Friday.In the statement seen by The EastAfrican, Denmark said the reorganisation will contribute to the implementation of the country’s new strategy for development cooperation.
“This reorganisation is to help us target the efforts we make, both here at home and out in the world, so that we can make the biggest possible difference,” Foreign Affairs Minister Jeppe Kofod said.
“My first priority as Minister of Foreign Affairs is to ensure the security and safety of the Danish people in a world where democracy, human rights, and our values are coming under increasing pressure.”
Tanzania and Denmark have enjoyed outstanding relations over the years. Many politicians, government officials, scientists, businesspeople, religious leaders and civil society actors from respective nations have formed close relations and engaged in constructive and lively discussions.
The East African nation was the first African country with which Denmark initiated a development assistance partnership in 1963 shortly after the Tanzanian mainland, called Tanganyika, became independent.
Source: The East African
Na kweli, wapinzani si magaidi?Wapo sahihi kabisa.Siyo kitu kirahisi kuwa na balozi kwenye nchi zenye ugaidi kama Tanzania.
Si kuna watu kadhaa wapo lockup kwa tuhuma za ugaidi?Na juzi pia gaidi Hamza si aliuweka ubalozi wa ufaransa under presha hadi mlizi wao akauawa?
Nashauri pia nchi nyingine za Ulaya na Marekani wafunge balozi zao pia kwa sababu kuna threat kubwa sana ya security Tanzania kutokana na ugaidi.
Madelu kuwa Waziri sio sawa, ila Freeman Aikael Mbowe, BSc. MSc , Ph.D.Harvard, kuwa mwenyekiti wa Chadema ndio sawa sawa.
Na wewe hutaki avae ushungi?Bibi anasafiri tu na kuvaa ushungi
Vaa weweNa wewe hutaki avae ushungi?
wapi pameandikwa hivyo? acha porojo. Leta ushahidiDenmark ilijengwa kwa mijeledi na damu na sio kuleanaleana na kubembelezana...
Hamza ni kweli ni gaidi kutoka CCM kwa sababu ameua watu mchana kweupe na kila mtu ameliona hilo kwa macho yake.Upinzani wana ugaidi gani/upi?Na kweli, wapinzani si magaidi?
Hamza naye si gaidi?
Hawa magaidi wamefanya wahisani waondoke[emoji38]
Mkuu kwa mujibu wa Sirro, RPC Kinondoni na Samia, Mbowe ni gaidi.Hamza ni kweli ni gaidi kutoka CCM kwa sababu ameua watu mchana kweupe na kila mtu ameliona hilo.Upinzani wana ugaidi gani/upi?View attachment 1911464
naona na wewe umavaa ushungi kwenye avatarNa wewe hutaki avae ushungi?
Unafanya mzahaa na mimi?Samia,Sirro na huyo RPC ni mahakama?Siku hizi Samia,Sirro na RPC wa Kinondoni ni mahakama za kuthibitisha kuwa mtu fulani ametenda kosa fulani?Mkuu kwa mujibu wa Sirro, RPC Kinondoni na Samia, Mbowe ni gaidi.
Si wameyataka wenyewe?Unafanya mzahaa na mimi?Samia,Sirro na huyo RPC ni mahakama?Siku hizi Samia,Sirro na RPC wa Kinondoni ni mahakama?
Nadhani Arise BV ni Norwegians & Dutch.Walokuwa NMB ni hawa au wa Norway?
Hujajibu swali langu.Unaelewa kuwa kila mtu hana kosa ni mpaka ithibitike mbele ya sheria kuwa ana kosa?Si wameyataka wenyewe?
Hao wafadhili wanajua kila uovu kuliko hata tujuavyo...acha waondoke