Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Exactly.This is just a diplomatic language but there must be other serious unsaid reasons....
Can it be due to deteriorating Tanzania's International diplomacy under deceased Magufuli administration and as for now under Samia Suluhu?
Tanzania si Tanzania tena ...Denmark itafunga ubalozi wake nchini Tanzania wakati ikibadilisha mfumo wake wa mashirikiano ili kutekeleza vipaumbele vya serikali. Nchi hiyo imesema kujipanga upya kutachangia utekelezaji wa mkakati wake mpya wa maendeleo na ushirikiano.
Waziri wa Mambo ya nje Jeppe Kofod alisema Upangaji huu upya ni kusaidia juhudi za nchi hiyo inazofanya nyumbani na duniani ili kuleta mabadiliko makubwa iwezekanavyo.
"Kipaumbele changu kama Waziri wa Mambo ya nje ni kuhakikisha usalama wa watu wa Denmark katika ulimwengu ambao demokrasia, haki za binadamu, na madili yetu vinakandamizwa."
Tanzania na Denmark zimekuwa na uhusiano mzuri katika miaka iliyopita. Wanasiasa wengi, maafisa wa serikali, wanasayansi, wafanyabiashara, viongozi wa dini na watendaji wa asasi za kiraia kutoka mataifa husika wameunda uhusiano wa karibu na kushiriki mazungumzo yenye tija.
Tanzania ndiyo nchi ya kwanza ya Kiafrika ambayo Denmark ilianzisha nayo ushirikiano wa kutoa misaada ya kimaendeleo mnamo 1963, muda mfupi baada ya Tanzania (wakati huo Tanganyika) kupata uhuru.
=====
View attachment 1911371
Denmark's Foreign Affairs Minister Jeppe Kofod in Copenhagen on August 13, 2021
Denmark will close its embassies in Tanzania as it restructures its foreign service in order to deliver on the government’s priorities, it announced Friday.In the statement seen by The EastAfrican, Denmark said the reorganisation will contribute to the implementation of the country’s new strategy for development cooperation.
“This reorganisation is to help us target the efforts we make, both here at home and out in the world, so that we can make the biggest possible difference,” Foreign Affairs Minister Jeppe Kofod said.
“My first priority as Minister of Foreign Affairs is to ensure the security and safety of the Danish people in a world where democracy, human rights, and our values are coming under increasing pressure.”
Tanzania and Denmark have enjoyed outstanding relations over the years. Many politicians, government officials, scientists, businesspeople, religious leaders and civil society actors from respective nations have formed close relations and engaged in constructive and lively discussions.
The East African nation was the first African country with which Denmark initiated a development assistance partnership in 1963 shortly after the Tanzanian mainland, called Tanganyika, became independent.
Source: The East African
Gaidi Hamza😁😁😁.Juzi ubalozi wa Ufaransa ulikuwa kwenye presha kubwa sana kwa sababu ya ugaidi pia.Nashauri Wazungu wafunge balozi zao kwa kweli.
Naona serikali inaongeza juhudi kuingiza new unemployed people kitaa 🤣 🤣 🤣Simply wamechoka kukaa na washenzi.
Kuna watu washakoseshwa kazi kupitia kuondoka kwao nchini,halafu huku serikali inakwambia inafanya kila juhudi ajira ziongezeke-Inaumiza sanaTanzania si Tanzania tena ...
wallahi nkipata permanent residence nchi ingine nasepa ..
Tushachoka mara hiki mara kile
hili jitu ni la hovyo , eti tuna mawaziri ... Madelu eti naye ni waziri.."Mweshimiwa mungu" 🤣 🤣 Tanzania sihami wallah
Gaidi Hamza😁😁😁.Juzi ubalozi wa Ufaransa ulikuwa kwenye presha kubwa sana kwa sababu ya ugaidi pia.Nashauri Wazungu wafunge balozi zao kwa kweli.
View attachment 1911384
Wamechoka kukaa na watu wanaosingizia mafaidi weginehuku wao ndio magaidi halisi
craptuache blah blah....wao waliijenga Denmark kwa demokrasia na diplomasia? Denmark ilijengwa kwa mijeledi na damu na sio kuleanaleana na kubembelezana.... Hizi issue ya demokrasia mara diplomasia ndio zinalemaza waAfrica na mataifa mengine masikini kwa kudanganywa Mzungu na Mchina atawaletea maendeleo mdomoni ilihali wao hawakuletewa maendeleo zaidi ya kushurutishwa kufanya kazi kwa mijeledi..
Hivi kutengeneza sanamu kama ile ya posta ni kiasi gani? kuna idea nnayoGaidi Hamza😁😁😁.Juzi ubalozi wa Ufaransa ulikuwa kwenye presha kubwa sana kwa sababu ya ugaidi pia.Nashauri Wazungu wafunge balozi zao kwa kweli.
View attachment 1911384
Mawazo muflisituache blah blah....wao waliijenga Denmark kwa demokrasia na diplomasia? Denmark ilijengwa kwa mijeledi na damu na sio kuleanaleana na kubembelezana.... Hizi issue ya demokrasia mara diplomasia ndio zinalemaza waAfrica na mataifa mengine masikini kwa kudanganywa Mzungu na Mchina atawaletea maendeleo mdomoni ilihali wao hawakuletewa maendeleo zaidi ya kushurutishwa kufanya kazi kwa mijeledi..