Denmark kufunga Ubalozi wake nchini Tanzania ifikapo 2024

Kushinda Kenya ambayo inasumbuliwa na Alishabab?

Mbona huko hawafungi?

Hawa mabeberu wakigundua ka nchi kenu watu wake waoga wa maisha, wanapenda kulialia, wasumbua kishenzi!

Acheni ujinga, wafunge waondoke tu, kwa nini tulielie bhana
 
Who else? Why Tanzania? What is our government's take about this move?!
 
Kushinda Kenya ambayo inasumbuliwa na Alishabab?

Mbona huko hawafungi?

Hawa mabeberu wakigundua ka nchi kenu watu wake waoga wa maisha, wanapenda kulialia, wasumbua kishenzi!

Acheni ujinga, wafunge waondoke tu, kwa nini tulielie bhana
Mwisho wa siku anayepata hasara sio wao
 
Kushinda Kenya ambayo inasumbuliwa na Alishabab?

Mbona huko hawafungi?

Hawa mabeberu wakigundua ka nchi kenu watu wake waoga wa maisha, wanapenda kulialia, wasumbua kishenzi!

Acheni ujinga, wafunge waondoke tu, kwa nini tulielie bhana

tunapenda kudeka deka sana....pale kinshasa mbona hawafungi balozi zao na wengine wanaenda kufia goma kabisa kwenye mapigano ya kila siku.....

kuna siku vijana wataelewa kwanini wameweka jicho hapa....wenzao wanalazimisha maslahi zaidi kwa CCM ili iendelee kutawala bila pressure upande mwingine wanawatengenezea zengwe mtifuane muanze kuwa wakimbizi kwao waweze kuwabraiwash na kuwatumia vizuri na kuigeuza nchi ya misukule....
 
Kuna nchi jirani hapo inawachinja kila siku wapinzani na Rais anashindaga kwa 99% lakini hwafungi balozi....pale kwa jamaa yetu M7 balozi huwa hazifungwi na maisha yanaendelea pia.... tuanze kufikiri kwa vichwa sasa...
 
Hawa jamaa kuanzia masuala ya Covid na masuala ya kisiasa yamepelekea wafunge balozi zao, kuna kipindi walikataza raia wao kuja Tanzania...
 
Sasa nchi ikiamua kufunga ubalozi wake kwa sababu zao kuna shida gani? Hivi mnadhani nchi zinafungua balozi katika nchi nyingine kwa manufaa ya nchi mwenyeji? Mbona tunakuwa na kiwango kidogo sana akili ya kutafakari na kupambanua mambo? Na kwa hili vijana wa UFIPA st. Kino wanaongoza. Acheni ujinga.
 
"Kipaumbele changu kama Waziri wa Mambo ya nje ni kuhakikisha usalama wa watu wa Denmark katika ulimwengu ambao demokrasia, haki za binadamu, na madili yetu vinakandamizwa."
👆👆
Maneno mazito toka kwa waziri wa mambo ya nje wa Denmark .



MINISTRY OF FOREIGN AFFAIRS OF DENMARK​

Kofod presents changes in the Danish Ministry of Foreign Affairs​

27.08.2021 12:05
The Danish foreign service is to be restructured in order to be able to deliver on the Government’s priorities.

The restructuring means, among other things, that more of our missions will be bolstered, for example with regard to Denmark’s work in the EU, NATO, the UN, the Arctic, Africa, as well as with regard to our export initiatives. In all, 16 missions and 9 departments in the Ministry of Foreign Affairs’ headquarters in Copenhagen will be strengthened.

- My first priority as Minister of Foreign Affairs is to ensure the security and safety of the Danish people in a world where democracy, human rights, and our values are coming under increasing pressure.

This reorganisation is to help us target the efforts we make, both here at home and out in the world, so that we can make the biggest possible difference. The grave development in Afghanistan the last couple of weeks calls for reflection, and we need time to digest and analyse this in cooperation with the Danish Parliament.

Following that process, the government will at a later stage present a new foreign and security policy strategy, said Minister of Foreign Affairs Jeppe Kofod.

Prior to the reorganisation of the foreign service, the most comprehensive analysis of the work and the structure of the Danish foreign service since the Foreign Commission in 1989/90 at the end of the Cold War was carried out. The reorganisation will contribute to the implementation of Denmark’s new strategy for development cooperation "The world we share".

In connection with the reorganisation, the embassies in Argentina and Tanzania are also being closed, along with the Consulate General in Chongqing (China) and the trade mission in Barcelona (Spain). In addition, a number of efficiency measures will be carried out, for example in the areas of energy, procurement and properties.

Source : Kofod presents changes in the Danish Ministry of Foreign Affairs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…